Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

Tatizo ukiwa mkubwa sehemu,simu zinadukuliwa sana,mama na chawa wake wanawajua hawa watu vilivyo.
 
Yani Aidan na elimu yote ile anakubali kufutwa Kazi kizembeeee?
 
Utafanyaje kazi na mtu anamuita binadamu mwenzie mungu
Na mwingine yale aliyoyaropoka akiwa kanisani
Wacha wakalime
 
Haku taka Lukuvi ashtuke agombee uspika. Lukuvi kuwa spika inge mletea shida.
 
Usisahau mkoa wetu wa pwani una mawaziri watano
 
Maza kaamua kuwaacha anaoweza kuwamudu!
 
sasa wanatakiwa kutengeneza uasi ndani ya CCM
 
Ndio wanefutwa so what?
 
Mkuu wewe umeajuaje hawaendi tena ofisin? Umewaona wanacheza bao mtaani?

#Maendeleo hayana Chama.
 
Tatizo la wazenj ni uswazi mwingi! Aliwaweka pembeni ili spika wake apatikane!
 

Kwani mandate ya kuteua waziri au naibu si ni ya raisi mwenyewe? Waliachwa kiungwana tuuu hao,kwa sababu ya utu uzima wao,isingekuwa sawa kuwacha the same way kama akina Kitila na waitara.Ila hakuna jipya hapo,sema ukiachwa achika,fanya mengine. Huwezi kuwa mbunge halafu ukawa na kazi maalumu ya raisi,kazi ipi? zaidi ya uwaziri na unaibu ambayo mbunge anaweza pewa na mkuu wa nchi na kuendelea kubaki mbunge.labda tupeane uzoefu,je kufanya hivyo si ni kuvunja katiba .
 
Sasa mkuu ulitaka wapigane baada ya kufutwa kwa uwazir wao?? Lazima uheshimu maamuz ya mamlaka kama walivyofanya na c vinginevyo!!
 
Unawalaumu kwani waliombwa? Si anamamlka hayo aliyewatoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyetaka kuwekwa pembeni ni Lukuvi ili awaachie vijana (wachapa kazi) kiti.
Kalamaganda is a spent force, Hana madhara akiwapo au asiwemo.
 
Walikuwa wapewe kazi maalum pengine ya uchawa wa kikubwa Lakini system ikawakataa kwakuwa hata kwenye katiba hakuna hizo nafasi
 
Umefikia wapi na Umoja Party?

Umesharudi toka Kigali ulipoenda kufungua ofisi ndogo ya umoja party?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…