Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

Hebu tulieni waacheni hao wazee wale pension yao sie tunazindua Royal tour... Dahh kuongozwa na mzenji kazi kweli kweli hii ni kazi ya waziri wa utalii mama kaingia mzima mzima matokeo yake anakaribishwa na mayor.
 
Toka nipo primary Lukuvi Lukuvi wacha akae nje nchi yenu ina watu karibu milioni 60 bado mnababaika na lukuv hana mawazo mbadala zaidi ya kuitakia Zanzibar mabaya iendelee kukaliwa kijeshi ni Tanganyika
 
Ila wale si wabunge!
Mbona kule pia hawaonekani?
Wananchi wa Isimani na Kilosa wanawakilishwa na nani?
Ule wembe unaokata watu flani flani---mbona huku ni butu?
 
Watawala huwa wana kauli zao dhidi ya wanaotenguliwa kwenye teuzi. Ni kama tu yule mzee alivyokuwa akisema "watapangiwa kazi nyingine". Ni ustaha tu flani kwamba wasijisikie vibaya sana.


JESUS IS LORD
 
Mmoja ni Mwenyekiti wa umoja party na mwingine ni katibu.
 
Watu waliojiaminisha kuwa na madaraka kudanganywa ni rahisi sana. Kuna uzi humu uliwataka wale wote ambao walikuwa ama mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na nyadhifa zingine walitakiwa wajiuzulu nafasi hizo kuonesha kutoridhika na utawala ulipo lakini walishupaza shingo wakakimbilia asali feki na kikundi kilichopo sasa kimekusudia kuwapoteza moja kwa moja .

Tanzania itachukua sio chini ya miaka kumi kumpata mtu kama JPM tena walipo ni waoga, hawako tayari kupoteza kazi au maisha kwa sababu za kilaghai
 
Ni muda mrefu sijawasikia hawa Waheshimiwa. Je wako wapi na wana wadhifa gani?.
 
Bado ni wabunge, nenda Dodoma huko 'mjengoni' utawaona.
 
Make your friends close and your enemies closer...if you know you know.
 
Walipigwa na kitu kizito chenye ncha Kali.
Signature moja tu mtu unarudi jimboni, na usitegemee kupata ubunge Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…