Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

Ni muda mrefu sijawasikia hawa Waheshimiwa. Je wako wapi na wana wadhifa gani?.
Wote kutokana na kuwa Kwao na ukaribu na Hayati Rais Dkt. Magufuli wameshatupwa mazima Jalalani japo Kinafiki kabisa Watanzania mnaambiwa kuwa Wanatumika na Actress wenu wa Zanzibar katika Kazi zake fulani fulani.
 
Ukaribu upi?
 
Wakati wao uliisha, wa jalalani karudi kilosa anatoa macho na kiswahili chake cha kenda haamini kitu kizito kilichombwengua.
 
Wazee waking'olewa serikalini huwa nafanya Sherehe! haya mazee ndo yanaturudisha nyuma akili iko jioni kabisa!
 
Lukuvi angewazuia kwenye utoaji vibali uporaji ardhi yetu, thus wamemtoa wamemsogeza mtoto wa mlamba asali azoee ofisini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…