Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Heri kwenu nyote.

Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.

Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar

Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.

Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani

Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.

Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.

Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.

Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.

Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.

Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.

Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.

Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.

Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.

Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.

Nikazie wakuu ....

Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...

UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.

Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.

Poleni sana mlio oa wake Za watu.
FB_IMG_1739640865661.jpg
 
Poleni sana mlio oa wake Za watu.View attachment 3363916
Ndoa ni upuuzi mtupu 🫢
 
Wanaume nao ni hivyo hivyo punguzeni lawama kwa wanawake.

Halafu mkuu hii bikra mnayoitaja huwa mnaitoa na kuirudisha baada ya uzagamuaji au ndo inakua imetoka milele? Maana hata ukioa bikra ukaitoa wewe bado nyege zipo pale pale utaibiwa tu
 
Kabla mtu hujaoa/kuolewa chunguza kwanza historia na tabia za ukoo unakokwenda kupata mwenzi wako! Unaoa mke kwenye ukoo ambao uzinzi ni tabia yao unategemea nini?
Hizi ndoa za kufunga baada ya kukutana baa,barabarani,vyuoni,nk bila kuchunguza ndiyo zinaleta changamoto hizo.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Kabla mtu hujaoa/kuolewa chunguza kwanza historia na tabia za ukoo unakokwenda kupata mwenzi wako! Unaoa mke kwenye ukoo ambao uzinzi ni tabia yao unategemea nini?
Hizi ndoa za kufunga baada ya kukutana baa,barabarani,vyuoni,nk bila kuchunguza ndiyo zinaleta changamoto hizo.
🙄🤔😁
 
Huo muda wa kumchunguza mtu kwo ni mtwara kwenu labda ni kigoma unautoa wapi
 
Back
Top Bottom