mbona kama ushaachwa vileHeri kwenu nyote.
Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.
Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar
Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.
Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani
Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.
Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.
Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.
Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.
Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.
Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.
Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.
Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.
Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.
Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.
Nikazie wakuu ....
Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...
UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.
Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.
Poleni sana mlio oa wake Za watu.View attachment 3363916
Watu walio kwenye ndoa 95% HAWAPENDANI.
afadhali umewaeleza ukweli maana wao kila siku lawama kwa wanawake na hizo bikira zinazotakiwa kuwa renewed!Wanaume nao no hivyo hivyo punguzeni lawama kwa wanawake.
Halafu mkuu hii bikra mnayoutaja huwa mnaitoa na kuirudisha baada ya uzagamuaji au ndo inakua imetoka milele? Maana hata ukioa bikra ukaitoa wewe bado nyege zipo pale pale utaibiwa tu
Ukifa mkeo ataolewa tuHeri kwenu nyote.
Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.
Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar
Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.
Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani
Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.
Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.
Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.
Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.
Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.
Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.
Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.
Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.
Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.
Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.
Nikazie wakuu ....
Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...
UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.
Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.
Poleni sana mlio oa wake Za watu.View attachment 3363916
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtumba na special.Wanaume nao no hivyo hivyo punguzeni lawama kwa wanawake.
Halafu mkuu hii bikra mnayoutaja huwa mnaitoa na kuirudisha baada ya uzagamuaji au ndo inakua imetoka milele? Maana hata ukioa bikra ukaitoa wewe bado nyege zipo pale pale utaibiwa tu
Aisee kweli wanawake sio ndugu zako.Wanaume nao no hivyo hivyo punguzeni lawama kwa wanawake.
Halafu mkuu hii bikra mnayoutaja huwa mnaitoa na kuirudisha baada ya uzagamuaji au ndo inakua imetoka milele? Maana hata ukioa bikra ukaitoa wewe bado nyege zipo pale pale utaibiwa tu
Ajabu ni Nini hapo? Jambo likishaletwa hapa jukwaani sio binafisi TenaMambo ya ajabu sana kulaumu watu kwenye maamuzi yao binafsi.
Hawezi olewa mkuu Hilo toa wasiwasi Jimbo lipo salama kabisaYule uliyesema hata ukifa asiolewe kaolewa nini mkuu 😄
BIKIRA izingatiwe mkuuKabla mtu hujaoa/kuolewa chunguza kwanza historia na tabia za ukoo unakokwenda kupata mwenzi wako! Unaoa mke kwenye ukoo ambao uzinzi ni tabia yao unategemea nini?
Hizi ndoa za kufunga baada ya kukutana baa,barabarani,vyuoni,nk bila kuchunguza ndiyo zinaleta changamoto hizo.
100%✓Usimchukulie Mwanamke too serious wala usiweke nae malengo wala usimpe siri za mikakati ya maisha yako,huyo sio ndugu yako,
Kingine,ni kosa kubwa sana kumsamehe msaliti,huo ni udhaifu mkubwa sana,msaliti hua hasamehewi kabisa.
UHAKIKA Asee wanalika sanaMtaani kwetu kinachonishangaza ni wanawake walioolewa kuwa kama maharage ya Mbeya kuliko ambao hawajaolewa
Wengi wanaopigwa matukio ni wanaume dhaifu kataa au kukubaliNi kweli. Ila hii iko kwa binadamu wote. Si kwa mtoto baba wala mama! Inategemea na tukio au bahati yako.
Najua ndio maana natia angalizo usioe mke wa marehemuOyaaaa weeee oyaaa konde gang gang gang
😄😄😄😄
Sasa kama walijua Hilo why unatumia id inayo kataza ukifa mke wako asiolewe !!! Smh