Heri kwenu nyote.
Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.
Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar
Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.
Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani
Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.
Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.
Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.
Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.
Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.
Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.
Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.
Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.
Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.
Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.
Nikazie wakuu ....
Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...
UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.
Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.
Poleni sana mlio oa wake Za watu.
View attachment 3363916