Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Ugumu wa maisha ndio sababu kuu,Mtaani kwetu kinachonishangaza ni wanawake walioolewa kuwa kama maharage ya Mbeya kuliko ambao hawajaolewa
No reforms no election ⚒️ 💯
October tutakuwepo 😎
Ugumu wa maisha ndio sababu kuu,Mtaani kwetu kinachonishangaza ni wanawake walioolewa kuwa kama maharage ya Mbeya kuliko ambao hawajaolewa
wakati naoa nilijuaga ni mimi tu ndio nitakuwa napewa penzi peke yangu hadi nife kumbe kuna wengine nao watapewa penzi na niko hai. Nimejifunza uvumilivu nisije nikaua wazinzi kwa wivu wa kimapenzi. Ila nikisalitiwa natimua mtu akafanye uzinzi wake kwa uhuru huko aendapo, sipendagi kuchapiwaMkuu umenena vyema sana. Sijui wanaume wengine Huwa wanafikiria Nini kuzini na mke wa mtu halafu mbaya zaidi unaamua kuoa kabisa sijui Wana ujasiri wa aina Gani.
Naungana nawewe kugongewa hakukwepeki tuishi humo
Anachoongelea mtoa mada ni kuwekeza kwenye mapenzi. Kwa sababu katika jamii ishazoeleka mwanaume ni mkombozi basi wanawake wanatumia huo mwanya kimasilahi. Wakishafanikisha jambo lao wanamwacha solemba mwanaume aliewainua.Ndoa/mahusiano ni makubaliano. Kama mtu amekukataa, tafuta mtu wa hadhi yako, maisha yaendelee; Kulazimisha mahusiano ni moja ya chanzo cha kupigwa matukio kama hayo, na pia majanga yatokanayo na wivu mapenzi.
Probability ya bikira kuchepuka ni ndogo ukilinganisha na mwanamke ambaye ashatumika sana kabla ya kuolewa.Wanaume nao no hivyo hivyo punguzeni lawama kwa wanawake.
Halafu mkuu hii bikra mnayoutaja huwa mnaitoa na kuirudisha baada ya uzagamuaji au ndo inakua imetoka milele? Maana hata ukioa bikra ukaitoa wewe bado nyege zipo pale pale utaibiwa tu
Kila mtu ana haki ya kuwa na preferences zake. Kwani wanawake mnavyotaka mume ambae ashajipata nyie mmekatazwa kujitafuta? Kama mwanaume ana-prefer kuoa bikira basi maamuzi yake yaheshimiwe. Wasisitize mabinti zako na wadogo zako wa kike wajitunze ili watakapokutana na potential husband anae-prefer bikira basi wasichukulie kwamba wanasakamwa waoafadhali umewaeleza ukweli maana wao kila siku lawama kwa wanawake na hizo bikira zinazotakiwa kuwa renewed!
Tunawaacha vp Wakati tunaishi Dunia Moja?hebu waacheni hawa wanawake
Wacheni umalayaMuwage mnatafuta watu mnaoweza kuwamudu ili kupunguza malalamiko halafu msiwe mnakurupuka kuoa
Pole Sana Sanaa mkuu.Heri kwenu nyote.
Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.
Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar
Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.
Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani
Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.
Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.
Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.
Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.
Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.
Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.
Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.
Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.
Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.
Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.
Nikazie wakuu ....
Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...
UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.
Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.
Poleni sana mlio oa wake Za watu.View attachment 3363916
Hakika mwanamke hatakiwi awe mtawala Kwa Kitu chochote kabisa.Hapo shida siyo mke, shida ipo kwa mme. Wanaume wanashindwa kuwatawala wake zao. Mwanamke anatakiwa kutawaliwa na mme katika nyanja zote: kibiashara, kifedha, na kielimu. Mwanamke hatakiwi kufunguliwa biashara ili aiongoze, bali mwanaume anatakiwa kufungua biashara ili mke wake aisimamie akiwa chini ya uongozi wa mmewe. Katika hiyo biashara, mwanaume ahakikishe yeye ndiye anadhibiti miamala yote ya fedha. Ukijaribu kumwachia aongoze hiyo biashara, huna chako.
Jambo lingine ni mawasiliano kati ya mme na mke. Mwanamke hapaswi kuachwa peke yake kwa muda mrefu. Mme kumwacha mke wake na kwenda mkoa mwingine ni ishara ya kutojali ndoa au mahusiano. Hapo unakuwa umevunja mawasiliano, yatakuchukuliwa na mtu mwingine aliye karibu zaidi. Na hii ndiyo sababu ndoa nyingi za wafanyakazi zinasumbua, wakati ndoa za wafanyabiashara zinadumu. Wafanyakazi wanahamahama sana kikazi huku wakiwaacha wake zao mikoa mingine. Wakati wafanyabiashara wanakaa karibu zaidi na wake zao. Ibrahim alipo ambiwa aondoke kule aliko kua anaishi, alihama na kila kitu alichoku nacho, mke, mifugo na mali zake zote. Mwanzo 12:1-5
Lakini pia, wafanyakazi wengi wakipata kazi wanakuwa na tabia ya kuoa wake za watu au wanawake waliokuwa kwenye mahusiano na wanaume wengine. Katika kipindi hicho, utakuta wanaume walioporwa wake wao bado wako katika harakati za kujitafuta kimaisha au bado wanasoma. Kwa sababu ya wafanyakazi hao kuwa na ajira nzuri, hunyakua wake za watu, kuwaoa, na kuwahamishia mikoa mingine.
Baada ya hapo huwazalisha watoto, wakidhani kwamba kumzalisha mwanamke ndiyo kumemaliza na kumfanya ampende. Lakini kiukweli, mahusiano hayo huwa yamejengwa juu ya msingi wa ajira na fedha—na hali hiyo hutokea kwa sababu yule aliyenyang’anywa mpenzi hana ajira wala uwezo wa kifedha.
Hata hivyo, kadri siku zinavyosonga mbele, wanawake huanza kurudisha mapenzi kwa wanaume wao wa zamani, hasa baada ya wanaume hao kuanza kuwa na maisha mazuri wakiwa na ajira au fedha nyingi, pengine hata zaidi ya wale waliowanyang’anya wake. Mwisho wa siku, mke uliyemuoa kwa kumwanyang’anya lazima atarudi kwa mwanaume wake wa zamani.
Tatizo la wanawake kipindi cha mahusiano ya boyfriend and girlfriend wana kawaida ya kuigiza. Kwanza wanaficha tabia zao. Pili wanakubali kuolewa na mwanaume ambae ana tabia ambazo hawazipendi.Unajua tunaweza kumlaum mwanamke lakini hatujui ya mwanamume.
Kumjengea vitega uchumi haiwezi kuwa satisfaction. Hata jpm alituletea mambo mazuri lakini si unajua spana walizompa watz?
Kuna mtu anakufanyia vitu vizuri kwa nje lakini ndani ni Mkoloni havumiliki
Heri kwenu nyote.
Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.
Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar
Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.
Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani
Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.
Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.
Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.
Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.
Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.
Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.
Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.
Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.
Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.
Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.
Nikazie wakuu ....
Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...
UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.
Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.
Poleni sana mlio oa wake Za watu
UmemalizaTatizo la wanawake kipindi cha mahusiano ya boyfriend and girlfriend wana kawaida ya kuigiza. Kwanza wanaficha tabia zao. Pili wanakubali kuolewa na mwanaume ambae ana tabia ambazo hawazipendi.
TrueTatizo la wanawake kipindi cha mahusiano ya boyfriend and girlfriend wana kawaida ya kuigiza. Kwanza wanaficha tabia zao. Pili wanakubali kuolewa na mwanaume ambae ana tabia ambazo hawazipendi.
Unakuta mwanamke analalamika mumewe hamlizishi. Unabaki kuahangaa kabla hajamuoa si walitest mitambo. Kama aliona perfomance ya jamaa haimalizi haja zake si asingekubali kuolewa.
Wanawake wawe really vilevile wakiona tabia ambazo hawawezi kuzivumilia basi wakatae kuolewa n huyo mwanaume lakini kukubali kuolewa halafu kumtaka mwanaume abadilike ndoani hapo ni kusababisha matatizo
Kwaiyo umalaya wenu sio shida. Shida ni wanaume kushindwa kuwamudu. Kama kawaida accountability inawashinda.Muwage mnatafuta watu mnaoweza kuwamudu ili kupunguza malalamiko halafu msiwe mnakurupuka kuoa
kabxa mkuu, vijijn kuna wanawake wakutengeneza mji.Mlemle mkuu...kama unamtafuta mke
Nenda mwambao wa mbuga mbuga kama misungwi Hivi vijijini sio habar unaweza bahatisha mkuu.
Upo sehemu Gani mkuu? Mi Sasa nipo kahama
if you want to lose your woman just be a nice guy. Women hates that shit.Nakubaliana nawewe Nina uhakika jamaa alikuwa amempenda sana mke wake na kumuacha yeye ashike remote