Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

Hapo shida siyo mke, shida ipo kwa mme. Wanaume wanashindwa kuwatawala wake zao. Mwanamke anatakiwa kutawaliwa na mme katika nyanja zote: kibiashara, kifedha, na kielimu. Mwanamke hatakiwi kufunguliwa biashara ili aiongoze, bali mwanaume anatakiwa kufungua biashara ili mke wake aisimamie akiwa chini ya uongozi wa mmewe. Katika hiyo biashara, mwanaume ahakikishe yeye ndiye anadhibiti miamala yote ya fedha. Ukijaribu kumwachia aongoze hiyo biashara, huna chako.

Jambo lingine ni mawasiliano kati ya mme na mke. Mwanamke hapaswi kuachwa peke yake kwa muda mrefu. Mme kumwacha mke wake na kwenda mkoa mwingine ni ishara ya kutojali ndoa au mahusiano. Hapo unakuwa umevunja mawasiliano, yatakuchukuliwa na mtu mwingine aliye karibu zaidi. Na hii ndiyo sababu ndoa nyingi za wafanyakazi zinasumbua, wakati ndoa za wafanyabiashara zinadumu. Wafanyakazi wanahamahama sana kikazi huku wakiwaacha wake zao mikoa mingine. Wakati wafanyabiashara wanakaa karibu zaidi na wake zao. Ibrahim alipo ambiwa aondoke kule aliko kua anaishi, alihama na kila kitu alichoku nacho, mke, mifugo na mali zake zote. Mwanzo 12:1-5

Lakini pia, wafanyakazi wengi wakipata kazi wanakuwa na tabia ya kuoa wake za watu au wanawake waliokuwa kwenye mahusiano na wanaume wengine. Katika kipindi hicho, utakuta wanaume walioporwa wake wao bado wako katika harakati za kujitafuta kimaisha au bado wanasoma. Kwa sababu ya wafanyakazi hao kuwa na ajira nzuri, hunyakua wake za watu, kuwaoa, na kuwahamishia mikoa mingine.

Baada ya hapo huwazalisha watoto, wakidhani kwamba kumzalisha mwanamke ndiyo kumemaliza na kumfanya ampende. Lakini kiukweli, mahusiano hayo huwa yamejengwa juu ya msingi wa ajira na fedha—na hali hiyo hutokea kwa sababu yule aliyenyang’anywa mpenzi hana ajira wala uwezo wa kifedha.

Hata hivyo, kadri siku zinavyosonga mbele, wanawake huanza kurudisha mapenzi kwa wanaume wao wa zamani, hasa baada ya wanaume hao kuanza kuwa na maisha mazuri wakiwa na ajira au fedha nyingi, pengine hata zaidi ya wale waliowanyang’anya wake. Mwisho wa siku, mke uliyemuoa kwa kumwanyang’anya lazima atarudi kwa mwanaume wake wa zamani.
Kwa hiyo wanaenda kula makombo
 
wakati naoa nilijuaga ni mimi tu ndio nitakuwa napewa penzi peke yangu hadi nife kumbe kuna wengine nao watapewa penzi na niko hai. Nimejifunza uvumilivu nisije nikaua wazinzi kwa wivu wa kimapenzi. Ila nikisalitiwa natimua mtu akafanye uzinzi wake kwa uhuru huko aendapo, sipendagi kuchapiwa
Wanaume hatuoendi kuchapiwa japo tunachapiwa ila pale utakapofumania hakuna msamaha tena
 
Heri kwenu nyote.

Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.

Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar

Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.

Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani

Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.

Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.

Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.

Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.

Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.

Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.

Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.

Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.

Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.

Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.

Nikazie wakuu ....

Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...

UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.

Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.

Poleni sana mlio oa wake Za watu.View attachment 3363916
Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.Vp unaka-certificate ka Poultry farming
 
Ndio maana huwa nawachakata bila huruma
 
Hapo shida siyo mke, shida ipo kwa mme. Wanaume wanashindwa kuwatawala wake zao. Mwanamke anatakiwa kutawaliwa na mme katika nyanja zote: kibiashara, kifedha, na kielimu. Mwanamke hatakiwi kufunguliwa biashara ili aiongoze, bali mwanaume anatakiwa kufungua biashara ili mke wake aisimamie akiwa chini ya uongozi wa mmewe. Katika hiyo biashara, mwanaume ahakikishe yeye ndiye anadhibiti miamala yote ya fedha. Ukijaribu kumwachia aongoze hiyo biashara, huna chako.

Jambo lingine ni mawasiliano kati ya mme na mke. Mwanamke hapaswi kuachwa peke yake kwa muda mrefu. Mme kumwacha mke wake na kwenda mkoa mwingine ni ishara ya kutojali ndoa au mahusiano. Hapo unakuwa umevunja mawasiliano, yatakuchukuliwa na mtu mwingine aliye karibu zaidi. Na hii ndiyo sababu ndoa nyingi za wafanyakazi zinasumbua, wakati ndoa za wafanyabiashara zinadumu. Wafanyakazi wanahamahama sana kikazi huku wakiwaacha wake zao mikoa mingine. Wakati wafanyabiashara wanakaa karibu zaidi na wake zao. Ibrahim alipo ambiwa aondoke kule aliko kua anaishi, alihama na kila kitu alichoku nacho, mke, mifugo na mali zake zote. Mwanzo 12:1-5

Lakini pia, wafanyakazi wengi wakipata kazi wanakuwa na tabia ya kuoa wake za watu au wanawake waliokuwa kwenye mahusiano na wanaume wengine. Katika kipindi hicho, utakuta wanaume walioporwa wake wao bado wako katika harakati za kujitafuta kimaisha au bado wanasoma. Kwa sababu ya wafanyakazi hao kuwa na ajira nzuri, hunyakua wake za watu, kuwaoa, na kuwahamishia mikoa mingine.

Baada ya hapo huwazalisha watoto, wakidhani kwamba kumzalisha mwanamke ndiyo kumemaliza na kumfanya ampende. Lakini kiukweli, mahusiano hayo huwa yamejengwa juu ya msingi wa ajira na fedha—na hali hiyo hutokea kwa sababu yule aliyenyang’anywa mpenzi hana ajira wala uwezo wa kifedha.

Hata hivyo, kadri siku zinavyosonga mbele, wanawake huanza kurudisha mapenzi kwa wanaume wao wa zamani, hasa baada ya wanaume hao kuanza kuwa na maisha mazuri wakiwa na ajira au fedha nyingi, pengine hata zaidi ya wale waliowanyang’anya wake. Mwisho wa siku, mke uliyemuoa kwa kumwanyang’anya lazima atarudi kwa mwanaume wake wa zamani.
Cha muhimu hapa ni kuungana na joka jeusi kuoa mwanamke bikra.
 
Ndiyo maana unaambiwa tafuta hela, we ulishaona mwanamke yoyote hapa Duniani anamdhalilisha mwenye hela?

Hata kama ni mkeo hawezi kukupa tendo la ndoa bure kama hata kodi hulipii, gesi hununui, kodi ya meza huachi - yaani wewe ungoje tu usiku uipige bure bire kisa ati uliitolea mahari eee ha ha ha

Acha ujinga, tafuta hela.
 
Heri kwenu nyote.

Wiki iliyopita Hadi Jana nilikuwa sehemu Moja kijijni katika harakati za kukusanya mpunga Kwa wakulima.

Sehemu hiyo ni Geita wilaya ya Nyang'hwale msalala Kijiji Cha bumanda senta ya Zanzibar

Nikiwa nikiendelea na makusanyo ya mpunga maeneo hayo kumbuka Mimi ni mzaliwa wa huko hivyo Nina wenyeji mkubwa hakuna kitu kinaweza nipita ama kitokee nisijue.

Senta hiyo ilitukutanisha wakusanya mpunga wengi almost tulikuwa kama sita japo Mimi ilikuwa ikifika jioni naenda kulala Kwa wazee wangu nyumbani

Moja ya mambo niliyokutana nayo pale ni mke wa mwalimu mmoja KUOLEWA na mwanaume mwingine ( mkusanya mpunga) na Taarifa zinasema kapelekwa Tabora.

Huyo mwanamke alikuwa na watoto3 yeye na mmewe na alitolewa mahali ng'ombe Saba na laki4.

Mme wake akachukua mkopo akamfungulia duka la urembo pamoja na sendo za kike nk hapo hapo kwenye senta Ile.

Maisha yalikuwa poa sana mwalimu alijitoa kumpenda sana yule dada.

Nje na kazi za duka alimfugia kuku wa kienyeji mara ya mwisho Mimi kwenda pale kutoa ushauri waufugaji walikuwa na kuku 113 za kienyeji wakubwa bila kuhesabu vifaranga.

Kiangazi hiki baada ya mavuno kuanza wakaja wanunuzi wa mpunga wakapita nae Hadi Sasa mwalimu kaachiwa Watoto wake.

Miaka kama 3 nyuma mwalimu alimfumania mke wake na jamaa aliyefumaniwa akatozwa faini ya 800k mwalimu akasamehe akaendelea kuishi na mke Kwa sababu kisicho liziki hakiliki ndo kama hivi Teacher kaachiwa manyoya.

Tukio jingine palepale senta hiyohiyo kinyozi jina kampuni naye mke wake kaolewa na jamaa mwingine mwana zengo mwenzie na kumtorosha.

Jamaa baada ya kuoa akaona ajinyimenyime basi akamfungulia genge la mboga mboga hapo senta Ili wawe wanasaidiana katika kusukuma gurudumu la maisha.

Kupata chance hiyo tu mke akawa amepata kijamaa kimemuoa mke wake.

Nikazie wakuu ....

Mwanamke mzinzi kamwe hasamehewi !! HII HAIPINGWI WAKUU
Na...

UKIOA MWANAMKE ASIYE BIKIRA HAKIKA UMEOA MKE WA MTU.

Na hata ujitoe kiasi Gani Kwa mke wako ukope na mikopo Ili umfarahishe akiamua kuliwa ataliwa tu yaani hii HAIPINGWI pia.

Poleni sana mlio oa wake Za watu.View attachment 3363916
Watu wanasema mwanamke kumruhusu mwanaume kupita katikati ya mapaja siyo mistake.
 
Back
Top Bottom