Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Hivyo ndivyo tuishivyo yaani kama anafanya ujinga wake afanye lakini ukishamfuma hakuna kusamehewakati naoa nilijuaga ni mimi tu ndio nitakuwa napewa penzi peke yangu hadi nife kumbe kuna wengine nao watapewa penzi na niko hai. Nimejifunza uvumilivu nisije nikaua wazinzi kwa wivu wa kimapenzi. Ila nikisalitiwa natimua mtu akafanye uzinzi wake kwa uhuru huko aendapo, sipendagi kuchapiwa