Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

Ukweli ni kwamba mwanamke siyo ndg Yako hata kama umtunze vipi akiamua kukuacha atakuacha tu!

Wanaume wengi wanakosa uanaume, hawana maamuzi ya kiume.

Na mwanamke akiona tu huyu ni teketele lazima akupige matukio ya kwanza kukujaribu, akiona bado zoba hustuki basi anakuja na mengine makali zaidi.

Hao jamaa ni mazoba, ndio yale mambo ukute mke hana skills zozote za biashara, unamfungulia duka asiwe mpweke, tatizo linaanzia hapo. Mtu hana moyo wa biashara unamlazimisha, matokeo yake hafanyi biashara uliyomfungulia anabuni yake.

Sio kila mwanamke aliumbwa kupambana na kuvuja jasho kama wanaume, wengine ni goalkeepers by nature.
 
Hapo shida siyo mke, shida ipo kwa mme. Wanaume wanashindwa kuwatawala wake zao. Mwanamke anatakiwa kutawaliwa na mme katika nyanja zote: kibiashara, kifedha, na kielimu. Mwanamke hatakiwi kufunguliwa biashara ili aiongoze, bali mwanaume anatakiwa kufungua biashara ili mke wake aisimamie akiwa chini ya uongozi wa mmewe. Katika hiyo biashara, mwanaume ahakikishe yeye ndiye anadhibiti miamala yote ya fedha. Ukijaribu kumwachia aongoze hiyo biashara, huna chako.

Jambo lingine ni mawasiliano kati ya mme na mke. Mwanamke hapaswi kuachwa peke yake kwa muda mrefu. Mme kumwacha mke wake na kwenda mkoa mwingine ni ishara ya kutojali ndoa au mahusiano. Hapo unakuwa umevunja mawasiliano, yatakuchukuliwa na mtu mwingine aliye karibu zaidi. Na hii ndiyo sababu ndoa nyingi za wafanyakazi zinasumbua, wakati ndoa za wafanyabiashara zinadumu. Wafanyakazi wanahamahama sana kikazi huku wakiwaacha wake zao mikoa mingine. Wakati wafanyabiashara wanakaa karibu zaidi na wake zao. Ibrahim alipo ambiwa aondoke kule aliko kua anaishi, alihama na kila kitu alichoku nacho, mke, mifugo na mali zake zote. Mwanzo 12:1-5

Lakini pia, wafanyakazi wengi wakipata kazi wanakuwa na tabia ya kuoa wake za watu au wanawake waliokuwa kwenye mahusiano na wanaume wengine. Katika kipindi hicho, utakuta wanaume walioporwa wake wao bado wako katika harakati za kujitafuta kimaisha au bado wanasoma. Kwa sababu ya wafanyakazi hao kuwa na ajira nzuri, hunyakua wake za watu, kuwaoa, na kuwahamishia mikoa mingine.

Baada ya hapo huwazalisha watoto, wakidhani kwamba kumzalisha mwanamke ndiyo kumemaliza na kumfanya ampende. Lakini kiukweli, mahusiano hayo huwa yamejengwa juu ya msingi wa ajira na fedha—na hali hiyo hutokea kwa sababu yule aliyenyang’anywa mpenzi hana ajira wala uwezo wa kifedha.

Hata hivyo, kadri siku zinavyosonga mbele, wanawake huanza kurudisha mapenzi kwa wanaume wao wa zamani, hasa baada ya wanaume hao kuanza kuwa na maisha mazuri wakiwa na ajira au fedha nyingi, pengine hata zaidi ya wale waliowanyang’anya wake. Mwisho wa siku, mke uliyemuoa kwa kumwanyang’anya lazima atarudi kwa mwanaume wake wa zamani.
Mkuuu unanitisha
 
Aliye mfumania alikuwa mwanazengo Tena alikuwa anaenda kumla kwenye kitandan chake (mwalimu)

Baada ya watu wema kumtonya yule ticha hakuamini na kuapa mke wangu hawezi fanya Toka Nje.

Msela aliyefumwa alikuwa mfanya biashara wa ng'ombe (ananunua ng'ombe na kuuza minadani)

Siku ya siku mwalimu aliaga ana safiri kama kawaida yake jamaa akaingia mapema tu saa3 usiku mwalimu akiwa maeneo hayo hayo jirani basi jamaa alikula kuku mle ndani huku watu kadhaa wakipiga chabo...

Baada ya muda wakaelekea chumbani na ndipo mwalimu alipo gonga mlango na kufumania jamaa akiwa Bado hajaipiga.

Baada ya kutembezea kipigo alikili amekuwa akifanya hivyo mara kadhaa ndipo alipoomba aachiwe Kwa faini hiyo na pesa aliileta mfanya biashara mwenzie.
Msaliti hasamehewi nng'ooo
 
Wanaume wengi wanakosa uanaume, hawana maamuzi ya kiume.

Na mwanamke akiona tu huyu ni teketele lazima akupige matukio ya kwanza kukujaribu, akiona bado zoba hustuki basi anakuja na mengine makali zaidi.

Hao jamaa ni mazoba, ndio yale mambo ukute mke hana skills zozote za biashara, unamfungulia duka asiwe mpweke, tatizo linaanzia hapo. Mtu hana moyo wa biashara unamlazimisha, matokeo yake hafanyi biashara uliyomfungulia anabuni yake.

Sio kila mwanamke aliumbwa kupambana na kuvuja jasho kama wanaume, wengine ni goalkeepers by nature.
Mkuu hujakosea maamzi ya kiume ni muhimu mno Tena yafanyike on time bila kusita hata kama yatakuumiza kiasi Gani....hakika Hawa jamaa wasingefikishwa hapa
 
Wanawake wa kisukuma ukimtongoza hata kama ni mke wa mtu hasemi kuwa kaolewa
Mkuu ukisema msukuma in general unakosea fuatailia Kwa kina wasukuma wa sehemu Gani hao sisi wa bariadi mwanamke aliyeolewa kusimama na mwanaume popote kama haulizi njia ni waoga mnoo lkn hii kahama geita mwanza na vitongoji vyake Wala hawana aibu
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtumba na special.
Nguo hata kama imevaliwa mara1 na then ukauziwa thamani yake hushuka mara dufu.

Wala usiende mbali hiyo simu Yako ukiinunua dukani ukakaanayo masaa2 tu huwezi kuiuza kwa bei ileile.

Sikia kuoa mwanamke Bikira then akaanza kucheat hayo ni matokeo ya badae kuliko kuoa mwanamke Ambae kashatumika Tyr yaani unajua wazi hii ishaliwa mnoo na lazima ujiulize sijui majamaa yalikuwa dudu kubwa kuliko langu nk.
Kwa mawazo kama haya umri wako Bado. Hivi ulishawahi kutoa mtu bikra?
 
Back
Top Bottom