Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Huyo safi sana piga mashine vizuri acha visingizio..huyo anataka shooshoo jaribu na 69 mzee utanishukuru baadae
 
Jaribu pia matumizi ya hilo dole kwenye profile pic yangu sugua kwelikweli "in magufuli voice"
 
Mkuu Nashukuru sana kwa ushauriwako mzuri na wenyekujenga..

Kitu pekee ninachokipambania ni kupata utulivu wa nafsi nikiwa na familia ninayoipenda.Tatizo ni Hisia na huyu zimekata kabisa licha ya kujitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.Miezi mitano sasa sijawahi furahia uwepo wake😥
 
Sikutegemea ushauri kama huu kutoka kwako, kitu gani kinakusumbua au kilikusumbua?
Mapenz hakuna sikuhizi Kaka,yaan watu wanachaguachagua mno.....ndo maana nashauri afanye atakalo ili kulinda amani ya moyo wake kwanza
 
hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…