Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Tunaokushauri wenyewe yanatushinda.
Si unampandia juu kisha unaingiza nusu, si wewe ndo unajiingiza, mnakwama wapi?Utalisikilizia kifuani 🤣🤣🤣
Mkuu Nashukuru sana kwa ushauriwako mzuri na wenyekujenga..Mkuu,Kwa Mtazamo wangu,Kama shida yako ni kuoa na kuanzisha familia meaning watoto hata huyo OA.Kama lengo lako ni kutafuta soulmate wako mnayeshibana basi MY FRIEND ulizingua na umezingua.Ushauri wangu kama shida ni hiyo effect ya masturbation ambayo ndio inayomsumbua huyo binti basi ni kukaa na kuzungumza maan huyo hakuwa anasuguliwa na ME,it either alikuwa anasagana na KE wenzake au self PLEASURE.So cha muhimu ni kujua Kama unaweza kupata aliye BORA zaidi yake ama LA.
Maana Unapotafuta BIKRA wakati wewe ni Mzoefu hayo ndio unayokutana nayo.All in All Kama unaweza sogeza muda kidogo ila Mpate muda wa Kuweka Chemistry yenu SAWA basi Take time and see her as a woman,a mother and a friend.Mkiweza kujenga Hayo Ndio ya Msingi.Great SEX Utaipata POPOTE ila RESPECT,LOVE and FRIENDSHIP Haipatikani KIrahisi na ndicho TUNACHOHITAJI KWENYE NDOA.
Kumbe unakaa bonyokwa na husemi, lini nije nikutembelee?🤣🤣🤣🤣 Njoo kwangu bonyokwa unione
Kwa bikra ilikuwa yenyewe sina shakaKama huyo mwanamke Ni wa Tanga ujue ilikua bikira feki.
Mtajua hamjuiTutawagundua tu, maana damu itatoka ila K haitabana.
Yule dogo alitisha sijui aliweka nadhiri?Kama mdomo wa mwarabu aliefuga ndevu
Msitu kama haueleweki hv vaaa helmetYule dogo alitisha sijui aliweka nadhiri?
msitu hatari
Nywele zake zilikuwa nzuri sana mkuu.Msitu kama haueleweki hv vaaa helmet
Mapenz hakuna sikuhizi Kaka,yaan watu wanachaguachagua mno.....ndo maana nashauri afanye atakalo ili kulinda amani ya moyo wake kwanzaSikutegemea ushauri kama huu kutoka kwako, kitu gani kinakusumbua au kilikusumbua?
Haki ni aibu sana aisee! Sasa hapo mtoto genius atatoka wapi? 34 halijawa na mwelekeo si linakuja kuoa likiwa na 45 hili?Miaka 34,, kuweni serious basi wakuu mnatutisha
Yaani ni shidaHaki ni aibu sana aisee! Sasa hapo mtoto genius atatoka wapi? 34 hakijawa na mwelekeo si linakuja kuoa likiwa na 45 hili?
hakikaNdugu yangu ungemuacha tu na bikra yake manake from the beginning ulishajua she is not ur type, ila tatizo la wanaume hata akiona humfai atataka akulale kwanza ndo afanye maamuzi, umemkosea sana sana. But usijilazimishe kumuoa kisa umemtoa bikra it will get worse humo ndoani mana mwanaume hukaa na kutulia alipopenda sio alipopendwa na mkipenda mmependa na msipopenda hamjapenda sio kama sisi wanawake, ukijilazimisha huyo dada hakuna rangi ataacha ona humo ndani. Na kingine sio kama hizo relationship ndo zimemfanya awe hivyo, hicho anachopitia ni athari ya mustabation hajataka tu kukwambia ukweli, it seems ana fanya mustabation kiasi kwamba amepoteza hisia na mwanaume.