Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini si kweli,taifa la Israel lilianzishwa na Mungu mwenyewe kabla ya hapo.
Kudai kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948 Kwa tamko tata linaloitwa "The Balfour Declaration," ni utapeli wa famia ya akina Rothschild kuudanganya uma wa wanadamu, ili kuzidi kupotosha dhana nzima ya uwepo Waebrania, ambao ndio wenyeji halali wa taifa la Israel.Ukweli ni kwamba, Waisraeli halisi ambao ni Waebrania, ni watu weusi,na hata Yesu mwenyewe alikuwa mweusi.
Kwa nini nasema Bwana Yesu alikuwa mweusi.Kwanza naomba nihakikishie kuwa wanaoitwa Waisraeli ni actually Waebrania.
Soma Mwanzo 39:13-14,17
Inasema,
Mwanzo 39:13-14;17
13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje,
14 akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu, ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.
17 Naye akamwambia kama maneno hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Sasa maandiko haya yana maana gani,yana maana kwamba kwa kuwa Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo ambaye aliitwa pia Israel,na watoto wa Yakobo kumi na wawili ndio walioletelea taifa la Israel pamoja na Yusufu,basi Waisraeli wa kweli ni Waebrania.Lakini kufuatana na maandiko Mfalme Sulemani na Ayubu ambao ni Waisraeli na hivyo Waebrania, walikuwa weusi!
Angalia Mfalme Sulemani anavyosema katika Wimbo Ulio Bora.
Wimbo Ulio Bora 1:5-6
5 Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
6 Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.
Lakini Ayubu naye ambaye alikuwa Mwebrania alikuwa mweusi!Soma hapa chini.
Ayubu 30:30
30 Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.
Summary ni nini hapa.Ni hivii,kama Ayubu na Mfalme Sulemani walikuwa weusi,na walikuwa Waebrania,it follows that Jesus Christ because he was Hebrew and an Israel was also black.Nadhani hiyo ipo wazi.
Historia pia inatuambia kuwa wakazi wa kwanza wa Israel waliitwa Waebrania,ambao walihusisha makabila yaliyoundwa na watoto kumi na mbili wa Yakobo kama ifuatavyo:Yuda, Reubeni,Gadi,Asheri, Naftali,Manase, Simeoni, Lawi Isakari,Zabuloni,Yusufu na wa mwisho, Benyamini.Hata hivyo jambo la kushangaza ni kuwa ushahidi wa uwepo wa makabila haya leo haupo,ni kama wamepotelea hewani tu.Makabila hayo eti yanaitwa "makabila kumi na mbili ya Israel yaliyopotea."Lakini "a people," watu, hawawezi kupotea hivi hivi tu,lazima kuwepo na mpango mahususi wa kuwapoteza na kufuta historia yao.
Jambo la kujiuliza ni nani alifanya mpango huo na kwa maslahi ya nani.Ikumbukwe kwamba kufanya kitu kama hicho kunahitaji juhudi nyingi ,kubwa na za makusudi kabisa.
Israel ni taifa ambalo liliumbwa na Mungu,kwa makusudi ya Mungu ya kumkomboa mwanadamu kupitia kwa Yesu Kristo.Sasa siku zote Shetani anapinga mipango yote ya Mungu,ambayo kwa ujumla wake inamlenga Mwanadamu.
Waebrania wakiwa msingi ambao Mungu tayari alishauweka kwa ajili ya mkakati huo,Shetani alikuwa na chuki sana nao,kwa hiyo aliwatesa kwa njia nyingi(angalia Ufunuo 2:9),akiamini kuwa kwa kufanya hivyo hatimaye Mungu atashindwa kutekeleza mpango wake,he failed miserably,na leo mwanadamu amekombolewa, akimuamini Kristo ambaye ni Mwebrania,anaurithi Ufalme wa Mungu.
Katika Kitabu cha Ufunuo wa Yohana,tunaona wale ambao walishiriki mpango huo muovu kabisa wa kupoteza makabila kumi na mbili ya Waebrania.Bwana Yesu aliwaita Sinagogi la Shetani katika Ufunuo 2:9-10 na Ufunuo 3:9.
Ufunuo wa Yohana 2:9-10
9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Ukiangalia kwa umakini maandiko hayo ,unaona kwamba wapo Wairael wasio wa kweli ambao Bwana Yesu anawaita Sinagogi la Shetani.Hawa walishirikiana na Ibilisi kuwaletea Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli,mateso ambayo tunayaona katika Ufunuo 2:9-10
Lakini, je Shetani atashinda?Hapana,atashindwa kama ambavyo nimeshatangulia kusema.Soma Ufunuo 3:9 chini.Sinagogi la Shetani litakuja kusujudu mbele ya Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli .
Ufunuo wa Yohana 3:9
9 Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
Na mwisho wa Shetani ambaye alifanya uovu na hila zote hizi ni nini,ni kutupwa kwenye ziwa la moto liwakalo moto wa kiberiti.
Ufunuo wa Yohana 20:10
10 Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
Naomba usikilize clip ifuatayo kwa taarifa zaidi.
View: https://youtu.be/DTy15somdgo?si=Arg5y6x5GUDZ42gY
NB:SITEGEMEI KABISA MTU MWEUSI KUPINGA HII MADA