Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi

Kama ni ujinga ni huu uliouandika!!
 
Kama upo Dodoma naukom a sana uwahi harała sana kwenye Hospitali ya Milembe ukapate tiba kabla hali haijawahi mbaya zaidi.
 
Tuanze apo ulipo ishia kujibu Baada ya kumuasi Babu yako Akampeleka wapi!!???

History hiii ililenga kupiga Tafu Ukristo Tanzania!!!!! Ajabu UISLAM Aukuyumba na Bado Watu Waliujua Ukweli Zaid na Zaid!!!

Dini hiiii ni ya mungu Binadam Awezi kuizuiya Iishashindikana leo Uslamu Tanzania kwengineko ndio inakuwa Zaid ipo misikiti apa Dar siwezi kuitaja lkn kila Ijumaa lazima Usikie Kike au kiume Anaingia Uslamu Mmoja au wawili kila IJUMAA

na Akuna chochote mtu Anapewa Zaidi ya uwongo Wawa Ongo!!!!

Dini ipo kwenye moyo Uwezi kutumia Uwongo Ukadumu milele ata hiii History itafutwa tu kwakua ni ya Uwongo lilenga kumtukuza Mzungu na Kumbebesha zigo Mwarabu !!!!

lkn Kizazi kipya kinataka kujua Ukweli mbona Babu yangu yupo Kwa Wazungu na kwanini UN pia ilishutumu Mzungu na Sio Mwarabu ????

nenda Google Andika Siku ya kupinga utumwa Dunian fungua yoyote itakupa mwangaza Kuusu Biashara ya Utumwa fungua Habari yoyote ata Vatican news Soma kilicho Andikwa kama Utaona Mwarabu katajwa umo ????

Waliotajwa ni WAZUNGU japo mala chache Chache kwa kuficha ficha lkn Ukisoma utaelewa kwanini Babu yangu Alichukuliwa Sababu ni Mashamba!!!!

kutokana na maitaji makubwa ya rasilimali watu mwanzo Wazungu walikuwa Wanawatumia ( Waindi Wekundu )

kwenye Mashamba yao lkn Ikatokea Tatizo Wale Waindi Wekundu Walikuwa Wanakufa Sana Sababu ile Jamii ilijitenga na Dunia miaka mingi Sana ivyo Wakikutana na Wazungu Walikuwa Wanaumwa Adi Kifo !!!

Kwasababu iyo ya Mashamba yao Wakapata Akili ya kuchukua Waafrika Alaka Waliwakubari Zaid kwakuwa Walikuwa na nguvu !!!

Ivo Biashara ya Utumwa kumuusu Mweusi Ikashika kasi sana sasa mwarabu anamiliki Shamba wapi !!!

leo Nikisema UISLAM ulimpa Hadhi Mweusi Sababu ktk UISLAM Yupo Mweusi alikuwa SWAWABA muimu Sana Akiitwa Bilal Uyu ndio Mwasisi wa Adhqna Duniani mtu Mweusi

lkn ktk Alakati za UISLAM kujitafuta Waliwai kusaidiwa na Ethiopia Pale kulikuwa na Mfalme Mweusi tena Alikuwa Kristo

Ata ukipata kusoma history ya
MALCOLM X
Utagundua Alisema baada ya kuusoma UISLAM Akiwa Jela uko Marekani apo apo yeye MALCOLM X Alikuwa Msomi mkubwa wa Historia ya Dunia

Apo Sasa ndio Akaiva Vizuli na kufaam UISLAM ndio Dini pekee Duniani ilio muheshim mtu Mweusi !!!!

UISLAM umeweka Usawa wa langi pale Mtume Muhammad S.A.W. aliposema Akuna m'bora Miongoni mwenu kwasababu ya Langi yake Au kwa Sababu ya Kabila lake mtu m'bora kwa Mwenyezi Mungu ni Yule Mchamungu tu sio vinginevo!!!!


MALCOLM X kufikia apo Akelewa mbivu na mbichi Alakati ya kumtetea m tu Mweusi ilimvaaa pamoja na kuupinga Ukristo kwa watu WEUSI !!!?

hii 4 / 3 / 2025 mtu Mweusi m'bantu mwenzangu unanafasi Gani kwenye UKRISTO tuanzie MAPAPA wote WAZUNGU malaika Wote Wazungu heeee basi Je Watakatifu eti nao Wote Wazungu Yani M'bantu mwenzangu Ata Utakatifu Atumo !!!!

Wazungu watupu hiii niwazi Ni Dini ya Kibaguzi aiwezekani ikawa ya Mungu
Mungu Alieniumba na kunipenda awezi kujibagua kama Ivi !!!!

uyu Mzungu!!! tuwe Wakweli nani Anampenda Kristo zaid Walokole wetu utawakuta vituo vya Daladala Jua kali lkn Wanaeneza Injili

Basi ata Mwamposa Asiwe Mtakatifu kwanini mtu Anaijaza Kawe watu wanatoka adi mikoani kuja kwake kama ni Usafi Awa Watakatifu wa Kizungu Tunaaminije kweli ni Wasafi !!!!

Ukisoma history ya Mapapa wapo Walikuwa Adi walevi !!!

Kwa ushaidi huu nimeweka ikiwa wewe ni mkristo na bado umejawa na chuki kumuusu Mwarabu na apo apo Unampenda Mizungu nikupe pole tu.

Mana akili sio nzima.!!!! Pia niliwai Toa hoja kuusu USHODA na Wazungu mzungu ndio msambaza USHOGA KTK AFRICA NA KWENGINEKO Bado mzungu uyouyo ndio Mtakatifu kuliko mtu Mweusi!!!?

Utumws ni mzungu ubaguzi wa langi Ni Mzungu Ushoga ni Mzungu sio mweusi lkn Watakatifu wote WAZUNGU poleni tena na tens majilan !!!!!!

Niwape siri ukweli wote huu Mzungu atatetewa juilize wewe uyu Anaemtetea mzungu kwann japo kila kitu kipo Wazi kwasasa jibu awa ni Wachungaji Wanapigania Ugali wao kupitia jina la Yesu !!!

ndio atakazsnia Mwarabu ndio Afai tena Afai ni njaa yao ya kuwa pola pesa kupitia Sadaka mchungaji Awezi kukili Mwarabu ana Hatia ya Utumwa!!!.

Lazima ashikilie apo apo na Vijiwe vyao kusambaza huu uwongo waumini wao Wasiwakimbie!!!!!!!!!!

Kazi ipo. Dunia inafunguka yenyewe kila kitu kitakuwa wazi Sijui mtajifichia Wapi Wachungaji...
 
Hii mbona ipo wazi.Waisrael unaowaona leo ni wazungu hawana uhusiano na waisrael kabisa.
Kwa taarifa yako Yesu ni black kabisa huyu wanayetuonyesha leo hafanani na Yesu hata kwa 2%.
 
Wahi hospitali ukapimwe akili yako!! Huwezi kuwasafisha waarabu na biashara ya utumwa!!
 
Utter nonsense.
 
Akipinga itakuwaje?
Nianze ni hapa.
Mwebrania alikuwa ni Ibrahim, sasa Ibrahim hakuwa mweusi, ametoka URU huko kwa asili siyo weusi wala siyo waarabu lakini ni weupe .
Njoo mpaka Daudi hakuaa mweusi,bali mmoja kati ya wake zake alikuwa mweusi,ndiye mamaye sereman.
Tukienda mbele kidogo, Musa alioa mwanamke mweusi kiasi miliamu akamteta kwa Harun, Mungu akampiga ukoma kwa kosa hilo.
Hivyo si kweli kwamba kizazi chote cha waebrania, wayahudi hadi Israel iwe ya zamani au ya sasa wote ni weusi, hapana.
Hao wamechanganya hata hivyo weusi wao siyo kama wa wakurya!
Baada ya yerusalem kupigwa nawarumi kizazi cha wayahudi waliokuwa wamerejea kutoka maeneo mbalimbali duniani walikimbia tena kwenda Asia, ulaya na hata Afirca maeneo ya Morocco, Libya, Ethiopia. Kutokana na kukaa miaka mingi wengine walio wanawake weusi wakazaa machotara, ambao ndo wanarudi Israel wakiwa weusi, na wanaitwa walowezi wengi wao.
Hiyo ndiyo asili ya weusi kuwepo katika waebrania, wayahudi hadi waisraeli. Lakini pia ujue hili kuna mwanamke aliolewa na Boaz huyo siyo mwebrania bali alikuwa ni mmoabu hao siyo weupe. Mwanamke huyo aliitwa Ruth, alikuwa mkamwana wa Naomi mke wa mwanaye ambaye alifia katika nchi ya moabu na mumewe naomi pia alifia huko, walikumbilia huko kuotokana na njaa kali katika nchi ya uyahudi. Huyo mwanamke Ruth ambaye hakuwa mweupe aliolewa na Boaz,ndiy bibi yake Daudi mfalme baba yake Seleman, nadhani sasa umepata picha ya weusi ulivyoingia kwa. Waebrania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…