King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,077
- 2,705
Mkuu mathanzua sio weusi bali ni wabantu wa Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHujitambui kabisa,so wewe self esteem sio muhimu!You are half human or not human at all.
Wewe kilichokuleta unalijua?Tuachane navyo tufanye yaliyotuleta
YeahWewe kilichokuleta unalijua?
Hongera sana mkuu.Yeah
Kwa niniHongera sana mkuu.
Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini si kweli,taifa la Israel lilianzishwa na Mungu mwenyewe kabla ya hapo.
Kudai kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948 ni utapeli wa famia ya Rothschild kuudanganya uma wa wanadamu, ili kuzidi kupotosha dhana nzima ya uwepo Waebrania ambao ndio wenyeji halali wa taifa la Israel.Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi na hata Yesu mwenyewe alikuwa mweusi.
Kwa nini nasema Bwana Yesu alikuwa mweusi.Kwanza naomba nikuhakikishie kuwa wanaoitwa Waisraeli ni actually Waebrania.
Soma Mwanzo 39:13-14,17
Inasema,
Mwanzo 39:13-14;17
13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje,
14 akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu, ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.
17 Naye akamwambia kama maneno hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Sasa maandiko haya yana maana gani,yana maana kuwa kwa kuwa Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo ambaye aliitwa pia Israel,na watoto wa Yakobo kumi na wawili ndio walioletelea taifa la Israel pamoja na Yusufu,basi Waisraeli wa kweli ni Waebrania.Lakini kufuatana na maandiko Mfalme Sulemani na Ayubu ambao ni Waisraeli na hiyo Waebrania, walikuwa weusi!
Angalia Mfalme Sulemani anavyosema katika Wimbo Ulio Bora.
Wimbo Ulio Bora 1:5-6
5 Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
6 Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.
Lakini Ayubu naye ambaye alikuwa Mwebrania alikuwa mweusi!Soma hapa chini.
Ayubu 30:30
30 Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.
Summary ni nini hapa.Ni hivii,kama Ayubu na Mfalme Sulemani walikuwa weusi,na walikuwa Waebrania,it follows that Jesus Christ because he was Hebrew and an Israel was also black.Nadhani hiyo ipo wazi.
Historia pia inatuambia kuwa wakazi wa kwanza wa Israel waliitwa Waebrania,ambao walihusisha makabila yaliyoundwa na watoto kumi na mbili wa Yakobo kama ifuatavyo:Yuda, Reubeni,Gadi,Asheri, Naftali,Manase, Simeoni, Lawi Isakari,Zabuloni,Yusufu na wa mwisho, Benyamini.Hata hivyo jambo la kushangaza ni kuwa ushahidi wa uwepo wa makabila haya leo haupo,ni kama wamepotelea hewani tu.Makabila hayo eti yanaitwa "makabila kumi na mbili ya Israel yaliyopotea."Lakini "a people," watu, hawawezi kupotea tu,lazima kuwepo na mpango mahususi wa kufuta historia yao.
Jambo la kujiuliza ni nani alifanya mpango huo na kwa maslahi gani.Ikumbukwe kwamba kufanya kitu kama hicho kunahitaji juhudi ngingi ,kubwa na za makusudi kabisa.
Israel ni taifa ambalo liliumbwa na Mungu,kwa makusudi ya Mungu ya kumkomboa mwanadamu kupitia kwa Yesu Kristo.Sasa siku zote Shetani anapinga mipango yote ya Mungu,ambayo kwa ujumla wake inamlenga Mwanadamu.
Waebrania wakiwa msingi ambao Mungu tayari alishauweka kwa ajili ya mkakati huo,Shetani alikuwa na chuki sana nao,kwa hiyo aliwatesa kwa njia nyingi(angalia Ufunuo 2:9),akiamini kuwa kwa kufanya hivyo hatimaye Mungu atashindwa kutekeleza mpango wake,he failed miserably,na leo mwanadamu amekombolewa, akimuamini Kristo ambaye ni Mwebrania,anaurithi Ufalme wa Mungu.
Katika Kitabu cha Ufunuo wa Yohana,tunaona wale ambao walishiriki mpango huo muovu kabisa wa kupoteza makabila kumi na mbili ya Waebrania.Bwana Yesu aliwaita Sinagogi la Shetani katika Ufunuo 2:9-10 na Ufunuo 3:9.
Ufunuo wa Yohana 2:9-10
9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Ukiangalia kwa umakini maandiko hayo ,unaona kwamba wapo Wairael wasio wa kweli ambao Bwana Yesu anawaita Sinagogi la Shetani.Hawa walishirikiana na Ibilisi kuwaletea Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli,mateso ambayo tunayaona katika Ufunuo 2:9-10
Lakini, je Shetani atashinda?Hapana,atashindwa kama ambavyo nimeshatangulia kusema.Soma Ufunuo 3:9 chini.Sinagogi la Shetani litakuja kusujudu mbele ya Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli .
Ufunuo wa Yohana 3:9
9 Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
Na mwisho wa Shetani ambaye alifanya uovu na hila zote hizi ni nini,ni kutupwa kwenye ziwa la moto liwakalo moto wa kiberiti.
Ufunuo wa Yohana 20:10
10 Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
Naomba usikilize clip ifuatayo kwa taarifa zaidi.
View: https://youtu.be/DTy15somdgo?si=Arg5y6x5GUDZ42gY
NB:SITEGEMEI KABISA MTU MWEUSI KUPINGA HII MADA
JAPO leo umeendika kitu chenye Ukweli na chenye kuelimisha Wana Jamii Forums tukisema Yesu sio Mzungu kuwa watu Wanaona Tunawatukana la kushangaza wanaoumia ni Weusi Wemzetu..Wataalam wa mambo ya kale na wanatheolojia ya kale, na wataalam wa vinasaba, na pia kwa kuangalia picha zilizochorwa karne ya 2 mpaka ya 3, wanasema kuwa Waisrael au waebrania hawakuwa weupe kama watu wa Ulaya, na wala hawakuwa weusi kama Waafrika, bali walikuwa na rangi ya kati, yaani brownish.
Kama ulivyosema, watu hawa walikuwa wakipakana na watu weusi kwa upande wa kusini, yaani nchi ya Misri na Kush.
Wataalaam wa vinasaba wanasema pia bara la Afrika, inaonekana ndiyo mwanzo wa mwanadamu. Migration ya mwanadamu ilianzia kusini mwa Dunia kuelekea kaskazini. Ifahamike kuwa siku zote wanaohama kutafuta maisha ni watu wabunifu na comparatively more intelligent kuliko wasojishughulisha na kuamua kubakia eneo moja siku zote. Hii ina maana kutoka vizazi hivyo vya kale, wengi wa wenye akili ya ubunifu na utafutaji waliondoka toka bafa la Afrika kuelekea kaskazini wakitafuta maisha baada ya kushuhudia vipindi vingi vya ukame. Hapa ujue tunaongeleea karibia miaka zaidi ya 250,000 iliyopita. Watu hawa waliohama na kuingia mazingira mapya, taratibu miili yao ilibadilika kuendana na mazingira mapya ya hali ya hewa kama vile kuwa na light colour skin lakini yenye mafuta mengi ili kuhimili baridi kali. Lakini hayo ni mabadiliko yaliyotokea taratibu sana ndani ya vizazi vingi maana yanahusisha evolution ya DNA.
Vitabu vya dini vinatuambia kuwa mwanadamu wa kwanza aliishi bustani ya Eden. Bustani hiyo ipo katikati ya mto Tigris na Euphrates, ambapo kwa sasa mto Tigris upo Iraq, Euphrates umepotea, haupo popote Dunia. Lakini studies nyingi zilizofanyika huko Iraq maeneo yanayoukaribia mto huo, mabaki ya zamani kabisa ya mwanadamu yana umri wa miaka 10,000+ tu. Wakati mabaki ya zamani kabisa ya mwanadamu yapo Afrika, mengi yakionekana ukanda wa Botswana. Na hiyo ndiyo sababu ya baadhi ya watu kuamini kuwa eneo hilo ndiyo chimbuko la maisha ya mwanadamu.
Why can't we find the Garden of Eden?
One of the main reasons we are not able to pinpoint an exact location is the changes in the world that happened after the flood. It's quite possible and highly likely that the flood changed the makeup of the earth.
Really Eden Garden Was in Africa.
The real Garden Of Eden has been traced to the African nation of Botswana, according to a major study of DNA. Scientists believe our ancestral homeland is south of the Zambezi River in the country's north.
Tuambie kwanini una amini Bwana Yesu na Waebrania sio watu weusi,Mimi nimeshatoa hoja zangu kwa nini nasema Waebrania ni weusi.Ukiwahishwa hospital unapona kabisa wewe.
Yesu na waebrania ni watu weusi! Usipuuze wahi ugonjwa huu unapona kabisa.
Huyu huyu anauewekewa mtego wa UKIMWI na anajaa kama furukobe?!Huyo huyo!!!!
Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini si kweli,taifa la Israel lilianzishwa na Mungu mwenyewe kabla ya hapo.
Kudai kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948 ni utapeli wa famia ya Rothschild kuudanganya uma wa wanadamu, ili kuzidi kupotosha dhana nzima ya uwepo Waebrania ambao ndio wenyeji halali wa taifa la Israel.Ukweli ni kwamba Waisraeli halisi ambao ni Waebrania ni watu weusi na hata Yesu mwenyewe alikuwa mweusi.
Kwa nini nasema Bwana Yesu alikuwa mweusi.Kwanza naomba nikuhakikishie kuwa wanaoitwa Waisraeli ni actually Waebrania.
Soma Mwanzo 39:13-14,17
Inasema,
Mwanzo 39:13-14;17
13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje,
14 akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu, ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.
17 Naye akamwambia kama maneno hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.
Sasa maandiko haya yana maana gani,yana maana kuwa kwa kuwa Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo ambaye aliitwa pia Israel,na watoto wa Yakobo kumi na wawili ndio walioletelea taifa la Israel pamoja na Yusufu,basi Waisraeli wa kweli ni Waebrania.Lakini kufuatana na maandiko Mfalme Sulemani na Ayubu ambao ni Waisraeli na hiyo Waebrania, walikuwa weusi!
Angalia Mfalme Sulemani anavyosema katika Wimbo Ulio Bora.
Wimbo Ulio Bora 1:5-6
5 Mimi ni mweusi-mweusi, lakini ninao uzuri, Enyi binti za Yerusalemu, Mfano wa hema za Kedari, Kama mapazia yake Sulemani.
6 Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.
Lakini Ayubu naye ambaye alikuwa Mwebrania alikuwa mweusi!Soma hapa chini.
Ayubu 30:30
30 Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.
Summary ni nini hapa.Ni hivii,kama Ayubu na Mfalme Sulemani walikuwa weusi,na walikuwa Waebrania,it follows that Jesus Christ because he was Hebrew and an Israel was also black.Nadhani hiyo ipo wazi.
Historia pia inatuambia kuwa wakazi wa kwanza wa Israel waliitwa Waebrania,ambao walihusisha makabila yaliyoundwa na watoto kumi na mbili wa Yakobo kama ifuatavyo:Yuda, Reubeni,Gadi,Asheri, Naftali,Manase, Simeoni, Lawi Isakari,Zabuloni,Yusufu na wa mwisho, Benyamini.Hata hivyo jambo la kushangaza ni kuwa ushahidi wa uwepo wa makabila haya leo haupo,ni kama wamepotelea hewani tu.Makabila hayo eti yanaitwa "makabila kumi na mbili ya Israel yaliyopotea."Lakini "a people," watu, hawawezi kupotea tu,lazima kuwepo na mpango mahususi wa kufuta historia yao.
Jambo la kujiuliza ni nani alifanya mpango huo na kwa maslahi gani.Ikumbukwe kwamba kufanya kitu kama hicho kunahitaji juhudi ngingi ,kubwa na za makusudi kabisa.
Israel ni taifa ambalo liliumbwa na Mungu,kwa makusudi ya Mungu ya kumkomboa mwanadamu kupitia kwa Yesu Kristo.Sasa siku zote Shetani anapinga mipango yote ya Mungu,ambayo kwa ujumla wake inamlenga Mwanadamu.
Waebrania wakiwa msingi ambao Mungu tayari alishauweka kwa ajili ya mkakati huo,Shetani alikuwa na chuki sana nao,kwa hiyo aliwatesa kwa njia nyingi(angalia Ufunuo 2:9),akiamini kuwa kwa kufanya hivyo hatimaye Mungu atashindwa kutekeleza mpango wake,he failed miserably,na leo mwanadamu amekombolewa, akimuamini Kristo ambaye ni Mwebrania,anaurithi Ufalme wa Mungu.
Katika Kitabu cha Ufunuo wa Yohana,tunaona wale ambao walishiriki mpango huo muovu kabisa wa kupoteza makabila kumi na mbili ya Waebrania.Bwana Yesu aliwaita Sinagogi la Shetani katika Ufunuo 2:9-10 na Ufunuo 3:9.
Ufunuo wa Yohana 2:9-10
9 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani.
10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Ukiangalia kwa umakini maandiko hayo ,unaona kwamba wapo Wairael wasio wa kweli ambao Bwana Yesu anawaita Sinagogi la Shetani.Hawa walishirikiana na Ibilisi kuwaletea Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli,mateso ambayo tunayaona katika Ufunuo 2:9-10
Lakini, je Shetani atashinda?Hapana,atashindwa kama ambavyo nimeshatangulia kusema.Soma Ufunuo 3:9 chini.Sinagogi la Shetani litakuja kusujudu mbele ya Waebrania ambao ndio Waisraeli wa kweli .
Ufunuo wa Yohana 3:9
9 Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.
Na mwisho wa Shetani ambaye alifanya uovu na hila zote hizi ni nini,ni kutupwa kwenye ziwa la moto liwakalo moto wa kiberiti.
Ufunuo wa Yohana 20:10
10 Na yule Ibilisi, mwenye kuwadanganya, akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele.
Naomba usikilize clip ifuatayo kwa taarifa zaidi.
View: https://youtu.be/DTy15somdgo?si=Arg5y6x5GUDZ42gY
NB:SITEGEMEI KABISA MTU MWEUSI KUPINGA HII MADA
Una point mkuu,ila uandishi ndio tatizo.JAPO leo umeendika kitu chenye Ukweli na chenye kuelimisha Wana Jamii Forums tukisema Yesu sio Mzungu kuwa watu Wanaona Tunawatukana la kushangaza wanaoumia ni Weusi Wemzetu..
Mzungu ajawai Ata kuwa Mtume yoyote kwenye Dunia Wala DADA Zao sio Maraika wala MARIA sio yule Mzungu Watu wameaminishwa Ujinga Usio na Ukweli mzungu kafiri tangu na tangu!!!!
Mungu Fundi Awezi kufanana na mijitu kama hiii Mizungu Yani USHOGA!!! wao kukwiba mali na rasilimali za Watu !!! kuuwa watu Ovyo!!
WANAMACHuKI kwa mtu Mweusi uyu angefanana na Mungu kweli Sisi Wamatumbi Tusingekuwepo ktk Dunia mweusi acha Ujinga imetosha kuwa Minga Amka sasa !!!
Ona Watu WEUSI wenye Majina Makubwa wengi Wameuwawa kimafia LUTHER king Malcolm X Bob marley Michael Jackson kama sio kujisalimisha kuiga Uzungu Wangeshamuua Zamani,, mijitu yenye Chuki kama hiii Vip Ifanane na Mungu!!!!
au na Mtume wa Mungu au na Malaika wa Mungu. Mtu mweusi Wewe ndio mwenye kufanana na WATUKUFU Muimu Mwafrika apendi Vita Atujawai Vamia nchi yoyote popote ktk dunia !!!
Mungu ametubariki zama kwa Zama Wazungu Wanatuonea WIVU ndio Mana Wazungu wamekuja Afrika kutualibia Tamaduni zetu ma kutuibia rasilimali Zetu!!!!!!
, mwarabu ajawai kuwa na shida na mtu mweusi hii ni Propaganda za Wazungu. Mtu MWEUSI ALIKOMBOLEWA NA Kusaminiwa na UISLAM MIAKA MINGI UKO NYUMA Mwarabu ammtazani mweusi kwa Chuki lkn mzungu ndio Tatizo.
Umefika eneo gan kati ya Israel au nchi zinazowazunguka ili kupata baadhi ya majibu ya tafiti yako mkuu.Wewe unalolijua ni lipi tujuze na sisi tuelimike.Mwenzio nimefanya utafiti wa kina,hii ni summary tu,tupe na wewe matokeo ya utafiti wako.
Yes,alikuwa Mwebrania which means alikuwa Mwisraeli,si nimeweka andiko?Au Kwa kuwa uneziea akina Ayubu ni Waarabu,msikariri,Waarabu wamechukua Kwa Wairael.Kumbuka kwamba wakati Kitabu cha Ayubu kikiandikwa,Uislamu hata ulikuwa haujafikirika.Ayubu alikuwa muisraeli?
A very stupid question indeed.Umefika eneo gan kati ya Israel au nchi zinazowazunguka ili kupata baadhi ya majibu ya tafiti yako mkuu.
Ni swali la kizushi ambalo wala sija haja ya kulijibuUmefika eneo gan kati ya Israel au nchi zinazowazunguka ili kupata baadhi ya majibu ya tafiti yako mkuu.
Mimi hata siko huko.Yes,alikuwa Mwebrania which means alikuwa Mwisraeli,si nimeweka andiko?Au Kwa kuwa uneziea akina Ayubu ni Waarabu,msikariri,Waarabu wamechukua Kwa Wairael.Kumbuka kwamba wakati Kitabu cha Ayubu kikiandikwa,Uislamu hata ulikuwa haujafikirika.
Unaona ulivyomjinga. Unataka historia ya Israel ukiwa gongo la mboto kenge kweli. Mpuuz mmoja unaejifqnya kujua usichokijua unafikiri huku ni kundi la wajinga wenzio sio. Unajua Jerusalem japo ulikuwa mji wa Israel lakin umetawaliwa kwa nyakati tofauti tofauti na mataifa tofauti na jews walichananganya damu mapema sana na mataifa mengine. Ndio maana kuna jews black, waarabu,waajemi, wazungu, nk. Eti kwamba ukienda kanisa la mashariki Yesu alikuwa black hatukatai ila ukweli jamaa walichanganya damu mapema so wako rangi tofauti tofauti tangu mwanzo. Na sio jews tu eneo lote la northen afrika lilikuwa la waafrika design ya Ethiopian. Sasa wewe chagua mwl wa kukufundisha acha kusoma na kwenda maeneo tofauti kupata elimu kwa kinaA very stupid question indeed.
Ni swali la kizushi ambalo wala sija haja ya kulijibu