Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Kazi kwelikweli nani aliyekwambia wafilisti ndio wapalestina?? Wafilisti wametokea ukoo wa caphtor mwana wa mizraim sasa wapi na wapi na wapalestina?? Hivi hii story mnaitoaga wapi kuwa wapalestina ni wafilisti??? Kwanni mnapotosha hata makanisani nasikiaga sana hadi nashangaa mnatoa wapi hizo taarifa....

Alafu kingine nchi ya ahadi kibiblia inafika hadi Euphrates na inaanzia mto nile mbona sijawahi sikia wakienda kuishi misri au iraq ambapo ndipo mto frati upo?? Why palepale mashariki ya kati?? Kana kwamba ardhi wanayodai kupewa ndio palepale tu kwanini hili kiasi wawatese wapalestina wasio na hatia

Mwisho kusema wapalestina warudi walipotoka ni kauli ya ajabu sababu hta wayahudi walihamia tu pale na walikuta wazawa......hivyo basi hakuna sababu yeyote ya kuwatesa wapalestina kama waliishi wa wagibeoni vizuri ingawa waliwakalia kimabavu basi waishi hivyo hivyo na palestina yaani nchi moja yenye haki sawa wakumbuke hata wao walipokuwa utumwani walipokelewa na nchi nyingi tu kwanni leo hii wawaone wapalestina kama hawana haki eti sababu walipewa hiyo nchi..... Mbona wao walipewa hifadhi nchi nyingi tu sembuse leo hii waone wengine ndio hawafai kuishi hapo!! Sio undumilakuwili huu

Mimi ni mkristo ila kiukweli hawa wayahudi wenye nywele nyeupe na macho ya blue!! Wanakosea sana
 
Kasome tena mipaka ya NCHI YA AHADI kwenye hesabu ndio mrudi hapa kupotosha..... hyo miji ya kwenye biblia iliyotajwa mbona mmeipitiliza?? Hadi mkaiba ardhi Jordan syria na misri??? Wapi mambo haya yapo kwenye ramani ya NCHI YA AHADI if at all ndio hoja yenu humu
 
Hivi hizi hoja mnatoa wapi.... Unasema canaan alilaaniwa kuwa atakuwa mtumwa hivyo unabii ukatimizwa?? Vipi kuhusu waisrael kuwa utumwani misri je nayo walilaaniwa?? Au waafrika kwenda utumwani nao tulilaaniwa.... Hivi kuna ufalme enzi hizo haukuburuzwa utumwani sasa why utumie hoja ya canaan kulaaniwa kuhalalisha issue ya israel kuikalia palestina?? Zina uhusiano gani??
 
Halafu ni ni kisingizio tu kumtumia Abraham kuhalarisha uporaji ardhi ya watu,
Hats kama ni kweli aliwahi kuwepo Abraham,
Ahadi alipewa ABRAHAM kwa uzao wake ,
Wao wakajimilikisha eti ahadi ilikuwa ya wana wa Jacobi mjukuu wa Abraham,
So kweli maana sentensi ziko wazi kabisa,ahadi ni ya uzao wa abraham
Bila kubagua watoto wa ketura,Sara ama yule kijakazi .
Wao wanadai eti ahadi ilimuhusu Jacob,usanii kuu ya usanii
 
Uko sawa ila hawa wayuda waliobaki walikuwa wanatafutwa ili wauwawe wote
Na waliporudi hapo mashariki ya kati kutoka ulaya waarabu wa sasa wa kiislamu waliungana kumpiga mwisrael wakamzunguka lakini akisaidiwa na Marekani alishinda vita hiyo na katika vita hiyo ndipo alipoteka baadhi ya hayo maeneo unayoyataja
 
Hivi unajua jina la palestina limetokana na nini au unabisha tu
 
Hakuna mtu aliyesema wapalestina ndio wafilisti soma uelewe
 
Misri ni nchi inayojulikana mipaka yake iko toka enzi za abraham na ilijulikana hivyo wataendaje kuishi huko
 
Hili swala la kusema hawaitambui Israel kama taifa ndio itawafanya waendelee kuwa watumwa wa waisrael siku zote
 
Inaonekana hata hujui wana wa yakobo na yakobo walifikaje misri na kuishi humo
Chanzo cha wao kuwepo misri sio walipelekwa Bali walijipeleka wenyewe kwa kuwa kulikuwa na njaa kali mno huko kanaan hivyo ikawabidi yakobo baba yao awatume watoto wake kwenda kununua chakula huko misri kwa kuwa kulikuwa na nafaka nyingi
Kufika huko ndio wakakutana na ndugu yao waliemuuza Yusuf huku wakijua kuwa alishakufa kitambo
Wakati huo Yusuf ni waziri mkuu wa misri katika utawala wa farao ndipo alipowaambia njaa kanaan itaendelea kwa miaka mitano akawasihi wakamchukue baba yao yakobo wakaishi misri na kupewa eneo huko misri lililokuwa likiitwa gosheni huko ndiko walikoongezekea na kuwa wengi kumbuka waliishi misri miaka 400 kabla hawajatoka
 
Sijui kama unaelewa maana ya kizazi cha abraham mkuu
Isaka yakobo watoto wa yakobo na kadhalika
 
Mkuu hii hoja uliyotoa ina mashiko sana hata kwenye biblia wanayoiquote inasema Abraham ni baba wa mataifa yote na hata ahadi zake zinarithiwa na wakristo wote duniani sasa najiuliza huu mstari huwa hawausomi na kwanni walazimishe hyo ardhi iwe ya wayahudi tu ilihali Hata hawa wapalestina wa sasa ni uzao wa Abraham kihistoria!!
 
Sijui kama unaelewa maana ya kizazi cha abraham mkuu
Isaka yakobo watoto wa yakobo na kadhalika
Kijana unapingana na biblia yako

Wagalatia 3
28 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi
.

Ila bado mnaamini waisraeli wana ahadi zao wakati biblia imeshahitimisha hapa kuwa wote ni sawa na uzao wa Abraham ni wakristo wote sasa kwanni muamini ile nchi ni ya wayahudi pekeee?? Kwanni mnaipinga biblia yenu wenyewe!!??
 
Sasa kwanini hamsemi haya kwa uwazi mnajificha kwenye mwavuli kuwa ni nchi ya ahadi.... Mpka wa nchi ya ahadi upo kwenye hesabu ila leo hii kuna maeneo hayapo ndani ya ramani ile ila wayahudi wanayakalia je ni haki hiyo??
 
Walifanywa watumwa irrespective walifikaje misri ndio najengea hoja kwamba ni kwanini unahalalisha laana ya Nuhu kwa canaan kwamba ndio ilisababisha canaan ije kutawaliwa na israel ila wana wa israel utumwani mbona hamsemi ni laana??huoni kuna undumilakuwili..... Je ina maana waafrika kwenda utumwani ulaya ni laana pia???
 
Hili swala la kusema hawaitambui Israel kama taifa ndio itawafanya waendelee kuwa watumwa wa waisrael siku zote
Ni nabii gani kawarudisha hawa wayahudi wazungu israel maana miaka yote ni manabii ndio huwarudisha wayahudi kwao ssa naomba unitajie ni nabii gani kawarudisha hawa wayahudi feki israel??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…