Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Aliekwambia kila dini inamfuata Mungu wa kweli ni nani
 
safi sana ..mwana Lumumba hiyo aya ya mwisho "" iko vyema sana "" yaaani haya mapopoma yapo radhi kuwa tetra waarabu na wazungu " kuliko hata ndugu zao " wakulima na wafugaji ""...haya ndio ma waste sperm yenyewe sasa ""....
 
Hawawezi kurudi kwa kuwa tayari wana eneo la kuishi
Kilichowafanya wayahudi kuteseka Europe ni kuwa hawakuwa na sehemu wanayoweza kuiita ni yao kwa kuwa maeneo yote yalikuwa na wenyeji ndipo walipoanza kuitafuta asili yao na Kuanza kurejea
Wakurd wana sehemu wanapaita kwao?? Gypsies je?? Tukienda hivyo kila mtu akidai eneo lake vita hazitoisha duniani hao wayahudi walikaribishwa mpaka china na wakapewa ardhi hata leo wapo kibao tu na sijawahi sikia walichinjwa au kutimuliwa sasa kivp propaganda za nchi ya ahadi zirudishwe?? Ni hivi wayahudi kila walipoenda walikuwa wanajinufaisha wenyewe tu na wanaishi kwa kubaguana kama unavyoona wahindi wa hapa TZ ndio maana wakachukiwa na ndio maana walichinjwa maeneo mengi ila hoja ya kusema kila walipoenda kuna watu haina mashiko kabisa maana almost dunia nzima imeishi maeneo ya makabila mengine rejea watutsi/wahutu ama wazanaki au wasukuma wote hapo wanapoishi sio asili yao kabisa sasa hyo hoja inatoka wapi kwa wayahudi.....
 
Sasa hapa ukubali mimi niwe mwalimu wako
Sio kila anayeishi katika Jamii husika naye atafanana na Jamii hiyo labda atakachochukua ni lugha zao tu lakini haimaanishi nae atakuwa mwarabu kama wao ila anaweza kukopy lugha yao tu
Narudi kukupa stori za baba yake Terra labda naweza kukufungua macho kidogo
 
hahaha Hawa wayaudi "" wenye nywele nyeupe na macho ya blue " sijui wametokea wapi ""..
dunia ina mambo kweli hiii"'mkuu wangu "...
 
Jibu swali ibrahim ni race gani kama sio muarabu..... Na nimekuuliza kwanini waisraeli wenyewe (wawe halisi au feki) wakibaguliwa wanasema ni Anti-semitism??? Na sio race nyingine yeyote duniani...

Nasubiri jibu
 
Ni nabii gani kawarudisha hawa wayahudi wazungu israel maana miaka yote ni manabii ndio huwarudisha wayahudi kwao ssa naomba unitajie ni nabii gani kawarudisha hawa wayahudi feki israel??
ha haha haha wayahudi wenye nywele nyeupe na macho ya blue ...ama kweli ujinga ni kifusi
 
Aiseeee ....kumbe ""!?
 
Hilo andiko lako la Amos 9/7 haliwezi kuondoa ukweli kwamba yakobo ambaye ni Israel alikuwa kanaan kabla hawajaamia misri kutokana na njaa ya muda mrefu huko kanaan mkuu elungata

Yeah,lakini hapo jehova anawambia waisrael kuwa kwake yeye,wafilist,waethiopia na wasyria ni sawa tu na waisrael,kwa kuwa aliwatoa waethiopia huko kwao akawaleta caanan,akawatoa wafilist huko Crete akawaleta hapo na akawatoa waisrael misri,wrote kwake ni sawa,hiyo aya ni kwa mjibu wa Amos wa mwenye bible.
Binafsi siamini eti jehova ndo alipeleka wacush caanan,waisrael toka misri ama wafilist toka visiwa vya Crete,
Jamii zilkua zinajitanua na movements zilikuwa nyingi tu,ishu ya Israel haiwezi kuwa special case,
Wa aram waliangushwa na waasyria,na kupelekwa utumwani kir,
Wafilist walikuwa wanahama kutafuta maisha,na hats Abraham alihama toka ur kutafuta malisho,etc
Jehova anachukua credit kuwa yote aliyafanya yeye.
Case za hawa hazina tofauti na case za wangoni toka Africa kusini,
Ama kina Tipp tippu toka uarabuni kujaTanganyika.
Wajanja haya mambo wakayafanya ni spiritual.
Ukisoma kitabu cha Jeremiah vizuri utaona wazi hakuna spirituality pale Bali kuna Nationalism tu.
Wakati Abraham anahamia caanan,had I anamzaa isaack,anakufa na Isaac anaoa na kuzaa,ilikuwa ni family moja tu,na wakigombea malisho na maji na wafilist chini ya mfalme Abimael.walikuwa nchi ya watu wakiishi kwa kufuata sheria ya hapo,mpaka Isaac anakufa,
Mpaka Jacobi anaoa na kuzaa bado ilikuwa ni family tu ndani ya caanan,
Mpaka Yusuf anakwenda misri,Jacobi anakufa,bado hawa kuwa watawala wa caanan.
Wanasayansi wanasema hakujawahi kuwa na exodus,
Kwamba kama kuna waisrael walitoka misri,itakuwa ni kikundi kidogo cha watu 100 -2000, lakini scriber wakaja wakaoverate story na kuifanya spiritual.
Ukweli ni kuwa hata mfalme Saul,alikuwa ni kama chief tu wa jamii ndogo iliyojikusanya sehemu
Moja,sawa na mwenyekiti wa mtaa vile.
Pia waisrael wameendelea kuabudu miungu mbalimbali,mpaka wanarudi toka babel kipindi cha Ezra ndo sasa rasmi wakaanza kuabudu dini ya kiyahudi
Kabla ya hapo,akina Solomon,daud etc wote walifanya mambo ya kipagani
 
mkuu naahidi "" kupitia trd zako zote " mpaka ziweze kuning'amua toka kwenye usingizi wa pono nilionao kuhusu propaganda za Hawa waya hudi fake
 
Hahaha,lakini mkuu huoni kuwa wayahudi walichange?
Hiyo netanyahu so ni mungu kabisa yule?
Akina Jacob Rothschild,so ni wazungu wale,
Yaani hao ndo walibadilika mpaka race.
 
Wewe unajua historia safi san
BALFOUR DECLARATION
 
Hawa wenzetu wanasikitisha sana mkuu [emoji23]
 
Ni malisho gani Abrahamu akayatafute huko kanaan mkuu
Hivi unajua Uru ilikuaje mkuu haikuwa sehemu maskini Bali jiji lililostaarabika na usasa mwingi unaweza kulifafanisha na mji wa new York
Hivi unajua abraham alipata tabu sana kuhama Uru bila kujua aendako na sababu kuu ilikuwa ni wakazi wa Uru kuwa na matendo yasiyompendeza yeye binafsi
 
Kinachonishangaza unaamini sana wanasayansi kuliko historia ya kweli inayosimuliwa na Biblia kupitia waandishi wa zama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…