Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Ha haha haha dini zina amrisha uchochezi " na ufanyaji maafa " kuliko hata serikali ya " mkoloni "" halafu hapo hapo mtu anasema " kwamba mungu ni Mwenye upendo kwa wote " na muweza wa yote " kwanini asingetumia uweza wake " kumuumbia huyo Abraham nchi nyingine aishi"" ili aweze kuepusha maafa ya takayo sababishwa na vita toka kwa huyo Abraham Mwenye lengo LA kufanya uvamizi kwenye nchi ya watu ""
Aliekwambia kila dini inamfuata Mungu wa kweli ni nani
 
Kwa hiyo leo hii Wamasai wakianza kuuwa Wachaga kwamba waondoke Kilimanjaro warudi kwao Kongo ni sawa?
Isitoshe Ukristo au Uislamu wote umeanzia Mashariki ya Kati na wala hauna uhusiano na Ulaya!

Kingine labda usichokifahamu ugomvi wa Wayahudi na Wapalestina wewe kama mtu mweusi haukuhusu kwa maana hauelewi na kwanza wote wawili Wayahudi na Wapalestina hawakupendi na wanakuona nyani tu!
safi sana ..mwana Lumumba hiyo aya ya mwisho "" iko vyema sana "" yaaani haya mapopoma yapo radhi kuwa tetra waarabu na wazungu " kuliko hata ndugu zao " wakulima na wafugaji ""...haya ndio ma waste sperm yenyewe sasa ""....
 
Hawawezi kurudi kwa kuwa tayari wana eneo la kuishi
Kilichowafanya wayahudi kuteseka Europe ni kuwa hawakuwa na sehemu wanayoweza kuiita ni yao kwa kuwa maeneo yote yalikuwa na wenyeji ndipo walipoanza kuitafuta asili yao na Kuanza kurejea
Wakurd wana sehemu wanapaita kwao?? Gypsies je?? Tukienda hivyo kila mtu akidai eneo lake vita hazitoisha duniani hao wayahudi walikaribishwa mpaka china na wakapewa ardhi hata leo wapo kibao tu na sijawahi sikia walichinjwa au kutimuliwa sasa kivp propaganda za nchi ya ahadi zirudishwe?? Ni hivi wayahudi kila walipoenda walikuwa wanajinufaisha wenyewe tu na wanaishi kwa kubaguana kama unavyoona wahindi wa hapa TZ ndio maana wakachukiwa na ndio maana walichinjwa maeneo mengi ila hoja ya kusema kila walipoenda kuna watu haina mashiko kabisa maana almost dunia nzima imeishi maeneo ya makabila mengine rejea watutsi/wahutu ama wazanaki au wasukuma wote hapo wanapoishi sio asili yao kabisa sasa hyo hoja inatoka wapi kwa wayahudi.....
 
Uhakika ni kwamba jamii za upande wa shem pale zilipotajwa kwenye biblia kihistoria ziliishi jamii za kisemiti kabisa ambazo kwa sasa zinafahamika kama waarabu ndio maana tunaconclude hivyo sasa wwe kwa mawazo yako Abraham ni jamii gani?? Na kwanini wayahudi wakibaguliwa wanasema ni ANTI-SEMITISM?? Sio Anti-jewish??

Anyway abraham alikuwa race gani
Sasa hapa ukubali mimi niwe mwalimu wako
Sio kila anayeishi katika Jamii husika naye atafanana na Jamii hiyo labda atakachochukua ni lugha zao tu lakini haimaanishi nae atakuwa mwarabu kama wao ila anaweza kukopy lugha yao tu
Narudi kukupa stori za baba yake Terra labda naweza kukufungua macho kidogo
 
Kazi kwelikweli nani aliyekwambia wafilisti ndio wapalestina?? Wafilisti wametokea ukoo wa caphtor mwana wa mizraim sasa wapi na wapi na wapalestina?? Hivi hii story mnaitoaga wapi kuwa wapalestina ni wafilisti??? Kwanni mnapotosha hata makanisani nasikiaga sana hadi nashangaa mnatoa wapi hizo taarifa....

Alafu kingine nchi ya ahadi kibiblia inafika hadi Euphrates na inaanzia mto nile mbona sijawahi sikia wakienda kuishi misri au iraq ambapo ndipo mto frati upo?? Why palepale mashariki ya kati?? Kana kwamba ardhi wanayodai kupewa ndio palepale tu kwanini hili kiasi wawatese wapalestina wasio na hatia

Mwisho kusema wapalestina warudi walipotoka ni kauli ya ajabu sababu hta wayahudi walihamia tu pale na walikuta wazawa......hivyo basi hakuna sababu yeyote ya kuwatesa wapalestina kama waliishi wa wagibeoni vizuri ingawa waliwakalia kimabavu basi waishi hivyo hivyo na palestina yaani nchi moja yenye haki sawa wakumbuke hata wao walipokuwa utumwani walipokelewa na nchi nyingi tu kwanni leo hii wawaone wapalestina kama hawana haki eti sababu walipewa hiyo nchi..... Mbona wao walipewa hifadhi nchi nyingi tu sembuse leo hii waone wengine ndio hawafai kuishi hapo!! Sio undumilakuwili huu

Mimi ni mkristo ila kiukweli hawa wayahudi wenye nywele nyeupe na macho ya blue!! Wanakosea sana
hahaha Hawa wayaudi "" wenye nywele nyeupe na macho ya blue " sijui wametokea wapi ""..
dunia ina mambo kweli hiii"'mkuu wangu "...
 
Sasa hapa ukubali mimi niwe mwalimu wako
Sio kila anayeishi katika Jamii husika naye atafanana na Jamii hiyo labda atakachochukua ni lugha zao tu lakini haimaanishi nae atakuwa mwarabu kama wao ila anaweza kukopy lugha yao tu
Narudi kukupa stori za baba yake Terra labda naweza kukufungua macho kidogo
Jibu swali ibrahim ni race gani kama sio muarabu..... Na nimekuuliza kwanini waisraeli wenyewe (wawe halisi au feki) wakibaguliwa wanasema ni Anti-semitism??? Na sio race nyingine yeyote duniani...

Nasubiri jibu
 
Ni nabii gani kawarudisha hawa wayahudi wazungu israel maana miaka yote ni manabii ndio huwarudisha wayahudi kwao ssa naomba unitajie ni nabii gani kawarudisha hawa wayahudi feki israel??
ha haha haha wayahudi wenye nywele nyeupe na macho ya blue ...ama kweli ujinga ni kifusi
 
Wwe umesema wapalestina ni waarab waliohamia tu ila unasahau wapalestin ni uzao wa Abraham pia kiufupi waisrael na wapalestina wote ni watoto wa baba mmoja hata utafiti wa DNA wa American journal of human genetics umethibitisha hilo sasa kwanni muwatenge hao kutoka urithi wa baba yao?? Nani alisema baraka ni za Yakobo peke ake hadi ajimilikishe ardhi??
Aiseeee ....kumbe ""!?
 
Hilo andiko lako la Amos 9/7 haliwezi kuondoa ukweli kwamba yakobo ambaye ni Israel alikuwa kanaan kabla hawajaamia misri kutokana na njaa ya muda mrefu huko kanaan mkuu elungata

Yeah,lakini hapo jehova anawambia waisrael kuwa kwake yeye,wafilist,waethiopia na wasyria ni sawa tu na waisrael,kwa kuwa aliwatoa waethiopia huko kwao akawaleta caanan,akawatoa wafilist huko Crete akawaleta hapo na akawatoa waisrael misri,wrote kwake ni sawa,hiyo aya ni kwa mjibu wa Amos wa mwenye bible.
Binafsi siamini eti jehova ndo alipeleka wacush caanan,waisrael toka misri ama wafilist toka visiwa vya Crete,
Jamii zilkua zinajitanua na movements zilikuwa nyingi tu,ishu ya Israel haiwezi kuwa special case,
Wa aram waliangushwa na waasyria,na kupelekwa utumwani kir,
Wafilist walikuwa wanahama kutafuta maisha,na hats Abraham alihama toka ur kutafuta malisho,etc
Jehova anachukua credit kuwa yote aliyafanya yeye.
Case za hawa hazina tofauti na case za wangoni toka Africa kusini,
Ama kina Tipp tippu toka uarabuni kujaTanganyika.
Wajanja haya mambo wakayafanya ni spiritual.
Ukisoma kitabu cha Jeremiah vizuri utaona wazi hakuna spirituality pale Bali kuna Nationalism tu.
Wakati Abraham anahamia caanan,had I anamzaa isaack,anakufa na Isaac anaoa na kuzaa,ilikuwa ni family moja tu,na wakigombea malisho na maji na wafilist chini ya mfalme Abimael.walikuwa nchi ya watu wakiishi kwa kufuata sheria ya hapo,mpaka Isaac anakufa,
Mpaka Jacobi anaoa na kuzaa bado ilikuwa ni family tu ndani ya caanan,
Mpaka Yusuf anakwenda misri,Jacobi anakufa,bado hawa kuwa watawala wa caanan.
Wanasayansi wanasema hakujawahi kuwa na exodus,
Kwamba kama kuna waisrael walitoka misri,itakuwa ni kikundi kidogo cha watu 100 -2000, lakini scriber wakaja wakaoverate story na kuifanya spiritual.
Ukweli ni kuwa hata mfalme Saul,alikuwa ni kama chief tu wa jamii ndogo iliyojikusanya sehemu
Moja,sawa na mwenyekiti wa mtaa vile.
Pia waisrael wameendelea kuabudu miungu mbalimbali,mpaka wanarudi toka babel kipindi cha Ezra ndo sasa rasmi wakaanza kuabudu dini ya kiyahudi
Kabla ya hapo,akina Solomon,daud etc wote walifanya mambo ya kipagani
 
thanks a lot nimefarijika sana kusikia hivyo ila kuna wakristo wengi sana bado ni mashabiki wa israel wengi wao hawana uelewa tu hata mimi nilikuwa hivyo zamani sishangai sana jitahidi hata na wewe kwa nafasi yako kuelimisha na wengine
kuna siri kubwa sana kuhusu israel ya kweli na si ajabu ukakuta wale wanaoitwa wapalestina leo hii ndio wakawa ndio wayahudi halisi! ila hawa waliopo pale leo hii ni fake sio wayahudi kama wengi wetu wanavyodhani
mkuu naahidi "" kupitia trd zako zote " mpaka ziweze kuning'amua toka kwenye usingizi wa pono nilionao kuhusu propaganda za Hawa waya hudi fake
 
Sasa hapa ukubali mimi niwe mwalimu wako
Sio kila anayeishi katika Jamii husika naye atafanana na Jamii hiyo labda atakachochukua ni lugha zao tu lakini haimaanishi nae atakuwa mwarabu kama wao ila anaweza kukopy lugha yao tu
Narudi kukupa stori za baba yake Terra labda naweza kukufungua macho kidogo
Hahaha,lakini mkuu huoni kuwa wayahudi walichange?
Hiyo netanyahu so ni mungu kabisa yule?
Akina Jacob Rothschild,so ni wazungu wale,
Yaani hao ndo walibadilika mpaka race.
 
Kuhusu ardhi inayo piganiwa kati ya hayo mataifa mawili utata ulianzia pale ambapo Israelites walioyokuwa ujerumani kutokana na propaganda za mataifa yenye chuki na German kwa kipindi hicho.
Ikasemekama Hitler ana watesa na kuwaua sana sasa ikafika kipindi waisrael wanasema wanateswa na hapo wanajua kabisa sio kwao.

Lakini karibia asilimia kubwa ya biashara na viwanda vikubwa vya ujerumani vilikuwa vinamilikiwa na wayahudii sasa propanda ikaanza kwa wananchi wakijerumani kushinikiza hawa wayahudi warudi kwao na ukizingatia wayahudi walikuwa wanajua kabisa kwa muda huo hawana pakwenda na huku sekeseke la vita ya dunia inaanza na sekeseke la muingereza akiungana na marafiki zake kwa pamoja ili kupugana na mjerumani chini ya hitler anajipanga kupigana.

Huku mjerumani akiwa na silaha zenye technologia safi kabisa (kipindi hicho) kuliko nchi zote walizokuwa wanataka wapigane nazo mfano vifaru vinavyoweza kurusha makombora yake umbali mrefu na vyenye kumuona adui wakiwa kwa ndani pamoja na technoligia ya nyambizi inayosemekana ilikuwa imeanza chini ya uongozi wa Hitler huku german akiwa amejipanga kabisa kwa ajili ya vita na ikiwa imeshaanza baina yake na uingereza inakuja kuibuka familia yenye utajiri kuliko yote duniani (Rothschild family) hii ni familia inayoishi england ila wana asili ya kiyahudi hii familia inaanza kumshauri malkia kuhusu kuwapa wayahudi eneo la palestina huku wapelestina wakinyimwa uhuru wao.

Wakati kipindi muingereza anaacha makolini yake aliwapa kila koloni uhuru wao lakini wapelestina wakanyimwa uhuru na badala yake anaepewa myahudi na hapa ndio ugomvi mkuu unapoibuka zaidi (nimefupisha... Itaendelea siku nyingine..)
Wewe unajua historia safi san
BALFOUR DECLARATION
 
Ha haha haha dini zina amrisha uchochezi " na ufanyaji maafa " kuliko hata serikali ya " mkoloni "" halafu hapo hapo mtu anasema " kwamba mungu ni Mwenye upendo kwa wote " na muweza wa yote " kwanini asingetumia uweza wake " kumuumbia huyo Abraham nchi nyingine aishi"" ili aweze kuepusha maafa ya takayo sababishwa na vita toka kwa huyo Abraham Mwenye lengo LA kufanya uvamizi kwenye nchi ya watu ""
Hawa wenzetu wanasikitisha sana mkuu [emoji23]
 
Yeah,lakini hapo jehova anawambia waisrael kuwa kwake yeye,wafilist,waethiopia na wasyria ni sawa tu na waisrael,kwa kuwa aliwatoa waethiopia huko kwao akawaleta caanan,akawatoa wafilist huko Crete akawaleta hapo na akawatoa waisrael misri,wrote kwake ni sawa,hiyo aya ni kwa mjibu wa Amos wa mwenye bible.
Binafsi siamini eti jehova ndo alipeleka wacush caanan,waisrael toka misri ama wafilist toka visiwa vya Crete,
Jamii zilkua zinajitanua na movements zilikuwa nyingi tu,ishu ya Israel haiwezi kuwa special case,
Wa aram waliangushwa na waasyria,na kupelekwa utumwani kir,
Wafilist walikuwa wanahama kutafuta maisha,na hats Abraham alihama toka ur kutafuta malisho,etc
Jehova anachukua credit kuwa yote aliyafanya yeye.
Case za hawa hazina tofauti na case za wangoni toka Africa kusini,
Ama kina Tipp tippu toka uarabuni kujaTanganyika.
Wajanja haya mambo wakayafanya ni spiritual.
Ukisoma kitabu cha Jeremiah vizuri utaona wazi hakuna spirituality pale Bali kuna Nationalism tu.
Wakati Abraham anahamia caanan,had I anamzaa isaack,anakufa na Isaac anaoa na kuzaa,ilikuwa ni family moja tu,na wakigombea malisho na maji na wafilist chini ya mfalme Abimael.walikuwa nchi ya watu wakiishi kwa kufuata sheria ya hapo,mpaka Isaac anakufa,
Mpaka Jacobi anaoa na kuzaa bado ilikuwa ni family tu ndani ya caanan,
Mpaka Yusuf anakwenda misri,Jacobi anakufa,bado hawa kuwa watawala wa caanan.
Wanasayansi wanasema hakujawahi kuwa na exodus,
Kwamba kama kuna waisrael walitoka misri,itakuwa ni kikundi kidogo cha watu 100 -2000, lakini scriber wakaja wakaoverate story na kuifanya spiritual.
Ukweli ni kuwa hata mfalme Saul,alikuwa ni kama chief tu wa jamii ndogo iliyojikusanya sehemu
Moja,sawa na mwenyekiti wa mtaa vile.
Pia waisrael wameendelea kuabudu miungu mbalimbali,mpaka wanarudi toka babel kipindi cha Ezra ndo sasa rasmi wakaanza kuabudu dini ya kiyahudi
Kabla ya hapo,akina Solomon,daud etc wote walifanya mambo ya kipagani
Ni malisho gani Abrahamu akayatafute huko kanaan mkuu
Hivi unajua Uru ilikuaje mkuu haikuwa sehemu maskini Bali jiji lililostaarabika na usasa mwingi unaweza kulifafanisha na mji wa new York
Hivi unajua abraham alipata tabu sana kuhama Uru bila kujua aendako na sababu kuu ilikuwa ni wakazi wa Uru kuwa na matendo yasiyompendeza yeye binafsi
 
Yeah,lakini hapo jehova anawambia waisrael kuwa kwake yeye,wafilist,waethiopia na wasyria ni sawa tu na waisrael,kwa kuwa aliwatoa waethiopia huko kwao akawaleta caanan,akawatoa wafilist huko Crete akawaleta hapo na akawatoa waisrael misri,wrote kwake ni sawa,hiyo aya ni kwa mjibu wa Amos wa mwenye bible.
Binafsi siamini eti jehova ndo alipeleka wacush caanan,waisrael toka misri ama wafilist toka visiwa vya Crete,
Jamii zilkua zinajitanua na movements zilikuwa nyingi tu,ishu ya Israel haiwezi kuwa special case,
Wa aram waliangushwa na waasyria,na kupelekwa utumwani kir,
Wafilist walikuwa wanahama kutafuta maisha,na hats Abraham alihama toka ur kutafuta malisho,etc
Jehova anachukua credit kuwa yote aliyafanya yeye.
Case za hawa hazina tofauti na case za wangoni toka Africa kusini,
Ama kina Tipp tippu toka uarabuni kujaTanganyika.
Wajanja haya mambo wakayafanya ni spiritual.
Ukisoma kitabu cha Jeremiah vizuri utaona wazi hakuna spirituality pale Bali kuna Nationalism tu.
Wakati Abraham anahamia caanan,had I anamzaa isaack,anakufa na Isaac anaoa na kuzaa,ilikuwa ni family moja tu,na wakigombea malisho na maji na wafilist chini ya mfalme Abimael.walikuwa nchi ya watu wakiishi kwa kufuata sheria ya hapo,mpaka Isaac anakufa,
Mpaka Jacobi anaoa na kuzaa bado ilikuwa ni family tu ndani ya caanan,
Mpaka Yusuf anakwenda misri,Jacobi anakufa,bado hawa kuwa watawala wa caanan.
Wanasayansi wanasema hakujawahi kuwa na exodus,
Kwamba kama kuna waisrael walitoka misri,itakuwa ni kikundi kidogo cha watu 100 -2000, lakini scriber wakaja wakaoverate story na kuifanya spiritual.
Ukweli ni kuwa hata mfalme Saul,alikuwa ni kama chief tu wa jamii ndogo iliyojikusanya sehemu
Moja,sawa na mwenyekiti wa mtaa vile.
Pia waisrael wameendelea kuabudu miungu mbalimbali,mpaka wanarudi toka babel kipindi cha Ezra ndo sasa rasmi wakaanza kuabudu dini ya kiyahudi
Kabla ya hapo,akina Solomon,daud etc wote walifanya mambo ya kipagani
Kinachonishangaza unaamini sana wanasayansi kuliko historia ya kweli inayosimuliwa na Biblia kupitia waandishi wa zama hizo
 
Back
Top Bottom