Hilo andiko lako la Amos 9/7 haliwezi kuondoa ukweli kwamba yakobo ambaye ni Israel alikuwa kanaan kabla hawajaamia misri kutokana na njaa ya muda mrefu huko kanaan mkuu elungata
Yeah,lakini hapo jehova anawambia waisrael kuwa kwake yeye,wafilist,waethiopia na wasyria ni sawa tu na waisrael,kwa kuwa aliwatoa waethiopia huko kwao akawaleta caanan,akawatoa wafilist huko Crete akawaleta hapo na akawatoa waisrael misri,wrote kwake ni sawa,hiyo aya ni kwa mjibu wa Amos wa mwenye bible.
Binafsi siamini eti jehova ndo alipeleka wacush caanan,waisrael toka misri ama wafilist toka visiwa vya Crete,
Jamii zilkua zinajitanua na movements zilikuwa nyingi tu,ishu ya Israel haiwezi kuwa special case,
Wa aram waliangushwa na waasyria,na kupelekwa utumwani kir,
Wafilist walikuwa wanahama kutafuta maisha,na hats Abraham alihama toka ur kutafuta malisho,etc
Jehova anachukua credit kuwa yote aliyafanya yeye.
Case za hawa hazina tofauti na case za wangoni toka Africa kusini,
Ama kina Tipp tippu toka uarabuni kujaTanganyika.
Wajanja haya mambo wakayafanya ni spiritual.
Ukisoma kitabu cha Jeremiah vizuri utaona wazi hakuna spirituality pale Bali kuna Nationalism tu.
Wakati Abraham anahamia caanan,had I anamzaa isaack,anakufa na Isaac anaoa na kuzaa,ilikuwa ni family moja tu,na wakigombea malisho na maji na wafilist chini ya mfalme Abimael.walikuwa nchi ya watu wakiishi kwa kufuata sheria ya hapo,mpaka Isaac anakufa,
Mpaka Jacobi anaoa na kuzaa bado ilikuwa ni family tu ndani ya caanan,
Mpaka Yusuf anakwenda misri,Jacobi anakufa,bado hawa kuwa watawala wa caanan.
Wanasayansi wanasema hakujawahi kuwa na exodus,
Kwamba kama kuna waisrael walitoka misri,itakuwa ni kikundi kidogo cha watu 100 -2000, lakini scriber wakaja wakaoverate story na kuifanya spiritual.
Ukweli ni kuwa hata mfalme Saul,alikuwa ni kama chief tu wa jamii ndogo iliyojikusanya sehemu
Moja,sawa na mwenyekiti wa mtaa vile.
Pia waisrael wameendelea kuabudu miungu mbalimbali,mpaka wanarudi toka babel kipindi cha Ezra ndo sasa rasmi wakaanza kuabudu dini ya kiyahudi
Kabla ya hapo,akina Solomon,daud etc wote walifanya mambo ya kipagani