Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Unaupungufu wa maarifa kichwani mwako, hiyo bible walioandika si Wayahudi, au hujui? Wewe ni goym tuu.
1Balfour declaration
2 Moral n Dogma by albert pike
3 Aahikenazi jew. Acha upoyoyo.
 
We tatizo lako unaikurupukia Biblia
Biblia inasema Mungu alimwambia abraham hivi nitalithibitisha agano langu nawe, wazawa wako na vizazi vyao vyote milele
Tena nitakuwa Mungu wako na Mungu wa wazawa wako milele
Nitakupa wewe na wazawa wako nchi hii ambapo unaishi kama mgeni, yaani nchi yote ya kanaan iwe Mali yenu milele nami nitakuwa Mungu wao
Mwanzo 17/7-8
Hyo mipaka ya kanaan mbona wameshaivuka ila bado mnaita ni nchi ya ahadi??? Hivi golan heights ipo ndani ya nchi ya ahadi??? Walipoikalia eneo la lebanon tokea miaka ya 80 na yenyewe ipo ndani ya nchi ya ahadi?? Vipi sinai peninsula na yenyewe ilikuwa ndani ya nchi ya ahadi??? Hivi mipaka ya nchi ya ahadi kibiblia kama haifuatwi kwanni mnasema bado ni nchi ya ahadi hadi maeneo ambayo hayapo kibiblia???
 
Israel
Hao waarabu wangebaki huko kwao tu
Mfano hapa kwetu tanzania wenyeji hasa walikuwa mbilikimo wenyewe tu wakaona hawawezi kujichanganya na watu wa Jamii zingine wakasepa sehemu nyingine
Wangebaki kwao??? Kwani hao israel hapo ni kwao???

Nimekuuliza nitajie kabila moja hapa duniani ambapo hapo linapoishi ndipo chimbuko lao...... Mfano ukisema wakurya walikuwepo tarime tokea miaka enzi za agano la kale hapo ntakuelewa ila kama hakuna kabila hta moja sasa ni kipi kipya walichofanya hao wapalestina hadi utoke mapovu humu

Israel imeshaishi kwenye mataifa 10 tofauti kwenye biblia na hta hii israel ya sasa imepita nchi zaidi ya 50 toka watawanyike ila walipokelewa tu vzuri ila hawa wapalestina ndio unasema warudi kwao?? Kwao wapi??
 
Hyo mipaka ya kanaan mbona wameshaivuka ila bado mnaita ni nchi ya ahadi??? Hivi golan heights ipo ndani ya nchi ya ahadi??? Walipoikalia eneo la lebanon tokea miaka ya 80 na yenyewe ipo ndani ya nchi ya ahadi?? Vipi sinai peninsula na yenyewe ilikuwa ndani ya nchi ya ahadi??? Hivi mipaka ya nchi ya ahadi kibiblia kama haifuatwi kwanni mnasema bado ni nchi ya ahadi hadi maeneo ambayo hayapo kibiblia???
Mungu alimwambia Abrahamu kutokana na usikivu wako kwangu nitakubariki na wazawa wako wataimiliki miji ya adui zao mwanzo 22/17
So hao waarabu wa kiislamu wanaoichukia Israel hiki ndicho kitakachwapata
 
Kwahiyo unakubali kuwa wamevamia hata nchi isiyo ya ahadi ila ni nchi ya adui?? Ssa kama ni nchi za adui kwanni mnadai israel wanaishi nchi ya ahadi na huwa hamsemi wanakalia pia kinyemela nchi za maadui wao?? Why mnaficha hili

Kingine nimekuiliza kwanni hawafuati Mipaka ya nchi ya ahadi ..... Nchi ya ahadi kibiblia inafika hadi iraq mbona sijaona wakiidai ila huwa wanaida palestina pekee??
 
...asipo elewa hii kuhusu uhuni wa wayahudi...basi karogwa
Wangoni wali-settle vipi pale walipo? Waingereza wa sasa? Waarabu wa kaskazini yooote ya Afrika ni wa asili ya hapo? Waliingiaje pale? Jamii nyingi duniani ziko maeneo ambayo kiasili yalikaliwa na jamii nyingine zilizoshindwa. Kwa nini hawa watetezi wa wapalestina hawazisemi hizo?!
 
Israel
Hao waarabu wangebaki huko kwao tu
Mfano hapa kwetu tanzania wenyeji hasa walikuwa mbilikimo wenyewe tu wakaona hawawezi kujichanganya na watu wa Jamii zingine wakasepa sehemu nyingine
Hivi unajua Abraham alitokea wapi?.
Unajua Jacob alikwenda kuoa wapi,ambao ndo chimbuko lao?
Unajua asili ya Rebeka mamake Jacob?
 
Kumbuka kanaan inayotajwa haikuwa tu na wakanaan Bali ilikuwa na makabila mengine madogo dogo kama wahiti, waamori, waperizi, wahivi, na wayebusi
Hawa wote walikuwa wenyeji wa kanaan katika nchi ambayo abraham aliambiwa akaishi kama mgeni na ataipewa iwe yake katika kizazi cha NNE cha uzao wake
 
Kwahiyo unakubali kuwa wamevamia hata nchi isiyo ya ahadi ila ni nchi ya adui?? Ssa kama ni nchi za adui kwanni mnadai israel wanaishi nchi ya ahadi na huwa hamsemi wanakalia pia kinyemela nchi za maadui wao?? Why mnaficha hili

Kingine nimekuiliza kwanni hawafuati Mipaka ya nchi ya ahadi ..... Nchi ya ahadi kibiblia inafika hadi iraq mbona sijaona wakiidai ila huwa wanaida palestina pekee??
Sio kinyemela ndivyo itakavyokuwa kwa wote waichukiao Israel kwa mujibu wa Mungu
 
Hivi unajua Abraham alitokea wapi?.
Unajua Jacob alikwenda kuoa wapi,ambao ndo chimbuko lao?
Unajua asili ya Rebeka mamake Jacob?
Hivi vyote unavyouliza navielewa sana mkuu sijui hoja yako ni ipi
 
Wwe umesema wapalestina ni waarab waliohamia tu ila unasahau wapalestin ni uzao wa Abraham pia kiufupi waisrael na wapalestina wote ni watoto wa baba mmoja hata utafiti wa DNA wa American journal of human genetics umethibitisha hilo sasa kwanni muwatenge hao kutoka urithi wa baba yao?? Nani alisema baraka ni za Yakobo peke ake hadi ajimilikishe ardhi??
Mkuu, hawa waisrael unaowasema hapa kuwa wao na wapalestina baba yao ni mmoja, ndio walewale uliosema kuwa ni wayahudi feki wa kizungu au hawa ni wengine?!
 
Wakanaan hawapo
Waperisi hawapo
Wapalestina halisi hawapo
Waliopo eneo hilo ni wavamizi wa kiislamu wa kiarabu wanaojiita wapalestina wakati sio wapalestina halisi
Mi nawashauri warudi kwao la sivyo watakufa wote au wakubali masharti ya Wenye ardhi israel
Mkuu jamii huwa haipotei,Bali inadilika,wafilist wa Leo ndo haohao wapalestina,wamoab wa zamani ndo haohao wapalestina,in short jamii iliyokuwepo eneo hilo,ni wapalestina,
Fanya research kitu inaitwa arabization,soma kwa makini utajua kwanini wapalestina wanaongea kiarabu,kisha google islamisation in the middle east au islamisation in Palestine,Fanya tu research jibu utalipata,
Jamii huwa haipotei Bali inabadilika,
Leo
Miaka 100,ijayo atakuja MTU dar es salaam na kuuliza anawatafuta jamii ya watanganyika,
Nawe utajibu,watanganyika walishapotea,extinct hawapo tena,kuna watanzania tu,
Wakati watanzania ndo haohao watanganyika.

Hats ile habari kuwa makabila 10 ya Israel yalipotea ni usanii tu wa wayahudi,jamii haipotei Bali INA evolute
 
Sasa kama unaamini Jamii haipotei inabadilika sasa unaposema hawa ni wayahudi fake unamaanisha nini au hujui unachokitetea mkuu wewe na zito junior
 
Hivi vyote unavyouliza navielewa sana mkuu sijui hoja yako ni ipi
Hoja tangu ni kuwa Abraham mwenyewe ni mwarabu
Rebeka asili take ni Syria,
Unaposema sijui wapalestina warudi wapi,ujue hakuna exodus ya wapalestina toka uarabuni,Bali hawa wapalestina waliadopt Arab way of life na pia lugha,ndo hiyo inaitwa Arabization and islamisation of Palestrina.
Mji kama Gaza umeendelea kuwepo,uninterrupted tangu Abraham akiwa na miaka mitano,enzi za zama za mawe
 
Sasa kama unaamini Jamii haipotei inabadilika sasa unaposema hawa ni wayahudi fake unamaanisha nini au hujui unachokitetea mkuu wewe na zito junior
Lakini hawa hawa kuwa pale,Palestine,
Wamekuja toka Europe,wamekuta native pale wapi kwa miaka zaidi ya 1000,wanawatoa na kudai wao ndo wamiliki halisi.
Wayahudi waliokwenda utumwani ni sehemu ndogo tu ya wale waliobaki Palestine na wakati adopt tamaduni zingine,na ama wakaendelea na zao.
Watu waliounda modern Israel ni wazungu wa europe
 
Hoja tangu ni kuwa Abraham mwenyewe ni mwarabu
Rebeka asili take ni Syria,
Unaposema sijui wapalestina warudi wapi,ujue hakuna exodus ya wapalestina toka uarabuni,Bali hawa wapalestina waliadopt Arab way of life na pia lugha,ndo hiyo inaitwa Arabization and islamisation of Palestrina.
Mji kama Gaza umeendelea kuwepo,uninterrupted tangu Abraham akiwa na miaka mitano,enzi za zama za mawe
WEWE NI GOYIM TUU,
 
Kumbuka kanaan inayotajwa haikuwa tu na wakanaan Bali ilikuwa na makabila mengine madogo dogo kama wahiti, waamori, waperizi, wahivi, na wayebusi
Hawa wote walikuwa wenyeji wa kanaan katika nchi ambayo abraham aliambiwa akaishi kama mgeni na ataipewa iwe yake katika kizazi cha NNE cha uzao wake
Mkuu jana nlikuuliza kwanni unadai laana ya canaan ndio imesababisha watawaliwe nikakuhoju canaan laana aliitoa wapi yaani alifanya kosa gani hadi alaaniwe bado nasubiri jibu alafu usiseme makabila mengine madogo madogo hayo sio makabila ni familia ya Canaan hao ni watoto wake sio makabila madogo madogo kama unavyotaka kupotosha hapa
 
Mkuu, hawa waisrael unaowasema hapa kuwa wao na wapalestina baba yao ni mmoja, ndio walewale uliosema kuwa ni wayahudi feki wa kizungu au hawa ni wengine?!
Yeah hawahawa feki ndio kwenye tafiti zimeonyesha wao na wapalestina wana match DNA ikimaanisha kama mtoa mada anadai wapalestina pale sio kwao basi ajue waisrael pale pia sio kwao maana wote wana chimbuko moja yaani ni sawa useme mkono wako wa kushoto ni wa mwili wako alafu ukatae wa kulia sio wa mwili wako inaingia akilini kweli mwili mmoja alafu mikono isiwe ya mwili wako???

Soma hapa juu ya hiyo tafiti
Blood brothers: Palestinians and Jews share genetic roots
 
Hoja tangu ni kuwa Abraham mwenyewe ni mwarabu
Rebeka asili take ni Syria,
Unaposema sijui wapalestina warudi wapi,ujue hakuna exodus ya wapalestina toka uarabuni,Bali hawa wapalestina waliadopt Arab way of life na pia lugha,ndo hiyo inaitwa Arabization and islamisation of Palestrina.
Mji kama Gaza umeendelea kuwepo,uninterrupted tangu Abraham akiwa na miaka mitano,enzi za zama za mawe
Mwarabu kwa kuwa alitokea eneo ambalo leo linajulikana kama iraq ndio unaamini alikuwa mwarabu? Hebu nionyeshe sehemu kwenye historia ya mesopotamia inayoonyesha wakazi wake walikuwa waarabu kabla abraham hajaingia kanaan
 
Back
Top Bottom