Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

Yaani kwako wewe laki 2.5 za kupewa na mwanaume hauwezi kwenda salon ukapendeza?

Basi jigharamie kwa kipato chako cha mshahara kisha uje na ushahidi wa receipt halali za huduma ili tuutathimini ukweli wako.

Humu Jf watu tunajikweza sana lakini kiuhalisia wengi wanaishi maisha hohehahe.
Isiwe tabu. Olewa na huyu muhuni upewe hiyo 250.k
Shida iko wapi dada?
 
Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao.

Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana.

Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo, anivumilie Mimi na mapungufu yangu.

Nitaweka Kila kitu ndani, kifurushi kikubwa cha DSTV, umeme wa kutosha, vyakula na Kila kitu.

Mke atapewa pocket money ya sh. 250,000/ kwa mwezi. Gari sina, ukiniona naendesha ujue ni la ofisi. Usiahoboke nalo.

Wadada karibuni sana, single mothers watapewa kipaumbele.
Elimu Yako kaa nayo hukohuko, hata ukiwa na PhD Yako, kwangu wewe ni mke tu sawa na wa darasa la saba. Zingatia sana hili kabla hujaja PM.
Namba ya simu itapatikana PM.
Unafanya kosa la kiufundi!itakugharim na mateso juu!!
Zeeka na mwanamke mwenye mtoto wako was kumzaa!!Tena ikiwezekana mzalishe kengine ka uzeeni!!
Unajua laana gani unaenda pata!!?laana ya kutokulea wanao kwenye paa la nyumba yako!!

NAKUHAKIKISHIA HAKUNA MTOTO ATAKAE KUWA TAYARI KUKUJALI UKIWA NA MWANAMKE AMBAE SIYO MAMA YAKE!!!!

NA TAMBUA AT ONE POINT HUKO UENDAPO UTAHITAJI UPENDO WA WATOTO WAKO NA HUTOUPATA!

LABDA HUYO SINGLE MOTHER UMZALISHE TENA MTOTO MWINGINE WA KWAKO!!
 
Wanaume wengi wanalalamika tunawajali mama zetu kuliko wao
Siwezi toa pesa yangu kumpa ilihali najua anaenda kula mwanamke mwingine... nitajitahidi kununua vitu vinavyomuhusu yeye tu.
Aiseh kufanya maendeleo makubwa nyumbani wakati mama aliekuzaa hayupo ni ngumu sana Kwa wengi!!

Kuna nguvu ya hisia negative inavuta nanmhusika kushindwa!!

Ni kweli wanaume hatupendwi SI na watoto Wala jamii Bali tunahitajika tu!!Tunajitahidi kupunguza athari za uzeeni TU!lakini sio uhalisia!!nimeliona hilo mapema kabisa kabla hata 40 sijafika lakini naliona Kwa kasi Sana MAMA NA WATOTO WANAPENDANA SANA MI NI KAMA OUTSIDER TU!
 
Aiseh kufanya maendeleo makubwa nyumbani wakati mama aliekuzaa hayupo ni ngumu sana Kwa wengi!!

Kuna nguvu ya hisia negative inavuta nanmhusika kushindwa!!

Ni kweli wanaume hatupendwi SI na watoto Wala jamii Bali tunahitajika tu!!Tunajitahidi kupunguza athari za uzeeni TU!lakini sio uhalisia!!nimeliona hilo mapema kabisa kabla hata 40 sijafika lakini naliona Kwa kasi Sana MAMA NA WATOTO WANAPENDANA SANA MI NI KAMA OUTSIDER TU!
Mgeni mwenye nyumba
 
Ni bora kubaki single kuliko kuhudumia bao la mwanaume/wanaume wenzako

Siku ukiwa unaoa nenda kamwambie mama au dada zako unaoa single maza watasikitika na kukushangaa sana

Hata kama mama yako amekulelea kama single maza hakuna siku atakuuunga mkono uoe single maza mwenzake anaweza akalia sana

Ndio ujue wanawake wanajuana

Mungu naye akiwa mbinguni anakushangaa amemuagiza mwanaume aanzishe familia yake wewe unaenda kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzako!

Imagine siku umemuoa single maza halafu unawatembelea wazazi wako ukiwa na watoto wa mwanaume mwenzako. Then unawaambia watoto wa mwanaume mwenzako msalimie bibi na babu yenu. Lazima baba yako na mama yako wakuone mpumbavu na mjinga.

Learn or perish
Umeongea kwa uchungu sana
 
Back
Top Bottom