Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

Isiwe tabu. Olewa na huyu muhuni upewe hiyo 250.k
Shida iko wapi dada?
 
Unafanya kosa la kiufundi!itakugharim na mateso juu!!
Zeeka na mwanamke mwenye mtoto wako was kumzaa!!Tena ikiwezekana mzalishe kengine ka uzeeni!!
Unajua laana gani unaenda pata!!?laana ya kutokulea wanao kwenye paa la nyumba yako!!

NAKUHAKIKISHIA HAKUNA MTOTO ATAKAE KUWA TAYARI KUKUJALI UKIWA NA MWANAMKE AMBAE SIYO MAMA YAKE!!!!

NA TAMBUA AT ONE POINT HUKO UENDAPO UTAHITAJI UPENDO WA WATOTO WAKO NA HUTOUPATA!

LABDA HUYO SINGLE MOTHER UMZALISHE TENA MTOTO MWINGINE WA KWAKO!!
 
Wanaume wengi wanalalamika tunawajali mama zetu kuliko wao
Siwezi toa pesa yangu kumpa ilihali najua anaenda kula mwanamke mwingine... nitajitahidi kununua vitu vinavyomuhusu yeye tu.
Aiseh kufanya maendeleo makubwa nyumbani wakati mama aliekuzaa hayupo ni ngumu sana Kwa wengi!!

Kuna nguvu ya hisia negative inavuta nanmhusika kushindwa!!

Ni kweli wanaume hatupendwi SI na watoto Wala jamii Bali tunahitajika tu!!Tunajitahidi kupunguza athari za uzeeni TU!lakini sio uhalisia!!nimeliona hilo mapema kabisa kabla hata 40 sijafika lakini naliona Kwa kasi Sana MAMA NA WATOTO WANAPENDANA SANA MI NI KAMA OUTSIDER TU!
 
Mgeni mwenye nyumba
 
Umeongea kwa uchungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…