Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

Aisee hii inafikirisha sana hasa hapo kwenye kutembelea bibi na babu dah.
 
Watoto wanne kila mmoja na mama yake.
Ina maana umeachana na wanawake wanne Ila wa tano mtawezana.
Bro. Jipime Tena.
Halafu Tsh 250,000 huyo mwanamke atakwenda saluni gani ili umpende zaidi?
Ubahili na wanawake wanaojielewa havikai nyumba moja.
Mwanamke hadi aende saluni ndio umpende? Hii ni kwa mchepuko tu.

Mke anabaki kuwa Mke. Kikubwa Kuoga, kusafisha nguo, kupiga maswaki na kitanda kisafi.
 
Haha..
Na ukute huko pm ya mwamba warembo washafurika tayari.
Inasemekana wanawake wanapenda "bad guys"
 
Wamekutenga!πŸ˜„
Jitahidi usiwe mkali, warekebishe kwa upendo...
Cheza nao ikibidi, waulize taarifa za shule
Baba marafiki zao ni watoto wa kike, sema tukikua mnaondoa ukaribu sijui mnaogopa nini.

Mtoto wa kiume ningumu kukujali wao wanawapenda mama zao.
 
Sasa kipi bora.....punyeto au mwanamke?
 
Hao mama huenda wana maisha yao tayari, wameshaolewa hivyo inabidi yeye aanze upya.

Na kwa vile kuna wanaume wanalea watoto wake, na yeye achukue singo mama asaidie malezi ya watoto wa mwanaume mwenzake, its both teams to score in both halves, option ngumu kwenye game ila hana jinsi.
 

Ikiwa bayana hivi mwanzoni ni vyema, huko mbele hakuna kusimangana wala kunyanyasana.

Sometimes this life needs us to have people surrounding us just for comfortability, it doesn't matter they are your blood or strangers, as long as they are nice and treat you well....

Being humble and live simple life.
 
Akiwa ni mmoja wa ma X wako utawΓ pokea kama single mother au mzazi mwenzio,
Kama vipi rudi kwa mzazi mwezio mwenye kukaribia hiyo sifa.
 
Tangazo limejaa ubabe...
 
Eeehehehehheee Babuuuu....

Sasa unaishiaje kuniangalia tuu hivihivi wakati wenzako wanatafuta mrembo wa kuzeeka nae....😁😁😁😁

Kumbe kuzeeka singo ni ishu eeehhh......πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Fainali uzeeni...
Nikimwachia Mungu, usinilaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…