Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

Hivi uliielewa biolojia vizuri kweli, au na wewe ndio wale mliokariri kwamba mwanamke kujua siku zake basi anaweza kuzuia mimba muda wowote, hata hivyo kuna cases ambazo wanaume husababisha au hushawishi mwanamke abebe ujauzito
Kwa nini ukubali kutiwa mimba na irresponsible man?

Sehemu safe ya kubeba mimba ni kwa mwanaume aliyecommitted kwako. Wewe unajua kabisa ni mume wa mtu unakubalije kwenda raw during sex?

Nyinyi mnashindwa kuelewa sisi wanaume tunasex na baadhi ya wanawake wengi ni just for fun sasa wewe chanua mapaja hovyohovyo bila tahadhari utaishia kuwa single maza

Na hizo mambo za nikimzalia atanioa kisa ana kibunda mtatombwa sana na kuzalishwa na kuishia kuwa baby mamas

My advice every woman not to get pregnant for any man who hasn't legally married you
 
Kweli kabisa mkuu,watu tu hawajui na Huwa wengine wanafanya maamuzi bila kufikiria matokeo ya kizazi Chao Cha baadae,waathirika wakubwa ni watoto pale wazazi wanapotengana,hata vitabu vya dini havipendi watu kuachana sema tu binadamu sie hatuelewi,Mungu atusaidie
 
Okay kwahiyo unachotaka kusema ni kwamba wanawake sasa waache kuwapenda wanaume kwa dhati bali wakiingia kwenye mahusiano wakae kimachalemachale, maana haya yote yanayotokea ya wanawake kufanya yale ambayo wanaume wanataka ni kutokana na mapenzi waliyonayo kwa wanaume kwahiyo wanaume ni kama wana take advantage ya huo upendo, wanawake wengi wanafanya yale wanayotaka wanaume kwa sababu wanaogopa kuachwa tu na wanaume wanajua hilo ila wanafanya makusudi kuwachezea wanawake sasa msiwa provoke wanawake wafikie msipopapenda
 
My advice every woman not to get pregnant for any man who hasn't legally married you
 
hapo kwenye gari kweli wasishoboke, namfahamu jamaa angu fulani, ameoa, ila yeye ni dereva wa magari ya serikali, sasa jumapili utaona anakujana v8 kapakiza mkewe pale mbele anapokaaga boss, anamshusha kanisani, anarudi kulipaki home, yeye anarudi tena kanisani. nikasema siku huyu mke ajichanganye apande pale mbele aende naye ofisini kwa mumewe.
 
So you are even mentioning god here, and why does it look like women are the only ones supposed to obey the principles of god, what are men supposed to do
It's up to you women, keep in your mind that women are always the biggest losers when it comes to sexual relations between unmarried couple
 
Dereva wa magari ya serikali mbona mkali sana?
 
It's up to you women, keep in your mind that women are always the biggest losers when it comes to sexual relations between unmarried couple
Losers according to who, is that a universal principle or only based on african perceptions, and do you think women of this generation look like they care
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Oya punguza sauti basi 🀣
 
Oya punguza sauti basi 🀣

Kabuuuu mambooo.....!!???

Upooo....!??


Long time aiseeeh.....!!! Nakuja kuvuna si unajua mie ni misosi tuu kulima hapana...1😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…