Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahiiiii amekwambia ye ni bahili alafu pocket money ya 250k itatosha kweli
Kwani akinipa hiyo 250k katikati ya mwezi sipati Tena bakshish bakshish?mahiiiii amekwambia ye ni bahili alafu pocket money ya 250k itatosha kweli
si umeona amesema ananunua kila kitu😂😂Kwani akinipa hiyo 250k katikati ya mwezi sipati Tena bakshish bakshish?
Mmmh basi nimekoma😌😌si umeona amesema ananunua kila kitu😂😂
😂😂😂😂😂😂Mmmh basi nimekoma😌😌
Mahii huipendi PhD yako 🤣🤣🤣
Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao.
Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana.
Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo, anivumilie Mimi na mapungufu yangu.
Nitaweka Kila kitu ndani, kifurushi kikubwa cha DSTV, umeme wa kutosha, vyakula na Kila kitu.
Mke atapewa pocket money ya sh. 250,000/ kwa mwezi. Gari sina, ukiniona naendesha ujue ni la ofisi. Usiahoboke nalo.
Wadada karibuni sana, single mothers watapewa kipaumbele.
Elimu Yako kaa nayo hukohuko, hata ukiwa na PhD Yako, kwangu wewe ni mke tu sawa na wa darasa la saba. Zingatia sana hili kabla hujaja PM.
Namba ya simu itapatikana PM.
🤣🤣🤣Ila huyu mume wa safari hii kiboko eti PHD niache nyumbani mie std7 tuMahii huipendi PhD yako 🤣🤣🤣