Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korea wameanza kutumia kikorea kwenye maandishi mwaka 1444,Kwani zimeanza kutumia lugha zao baada ya kujiweza au toka kabla katika hali kama ya kwetu ?
Wao Wana vingi vinavyohitajiwa na wengi, hivyo wale wandohitaji hulamika kujifunza lugha yake.Kwa nini China, Japan, Korea lugha ya kufundishia sio kingereza wao hawataki hizo fursa za kimataifa unazo ziona wewe peke yako kwa sababu ya kingereza ?
Kwa hiyo tatizo lako ni kuchelewa kuanza na kuwahi kuanza sio kitu kingine ?Korea wameanza kutumia kikorea kwenye maandishi mwaka 1444,
Tanzania tumeanza kujifunza kiswahili cha kuongea (sio kuandika) 1961,
Ukiacha na pwani maeneo mengi ya ndani watu walikuwa hawakijui kiswahili hadi miaka ya 2000 mwanzoni, sasa unataka kulinganisha mataifa hayo mawili?
China walianza way back before wakorea, same to wajapani
Kuandika tu kunakupa shida. Aiseeh! una matatizo mengi kuliko hiki unacho jadili.Wao Wana vingi vinavyohitajiwa na wengi, hivyo wale wandohitaji hulamika kujifunza lugha yake.
Ndiyo maana Vuta vya Urusi na Ukraine vimetikisa Uchumi wa dunia. Lakini kama ingelikuwa ni Vuta vya Uganda na Burundi, wala isingekuwa na athari kubwa sana Kimataifa.
Hayo yote uliyoyataja ni Mataifa "makubwa".
sub-atomic particles zinaitwaje kwa kiswahili,
Chembe asighani za atomu au chembe asighari za atomuChembe ziada za atomiki
Ni ccm na mauzauza yao. Wanyonge kama wanavyopenda kuitwa, watasomeshwa kwa Kiswahili, wenye nchi (ccm) wanawasomesha wa kwako kwa lugha za duniani ili watawale milele.Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa.
Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote.
Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike?
Kwa wale wanaotaka Kiswahili kitumike wana nia gani hasa? Wanasukumwa na uzalendo au hawakijui Kingereza fasaha?
Mkuu, ukizungumza kwa fact hakuna advantage yeyote ya kutumia kiswahili katika taifa hili katika ulimwengu ambao kila kukicha unazidi kuwa kijiji,Kwa hiyo tatizo lako ni kuchelewa kuanza na kuwahi kuanza sio kitu kingine ?
Mkuu, ukizungumza kwa fact hakuna advantage yeyote ya kutumia kiswahili katika taifa hili katika ulimwengu ambao kila kukicha unazidi kuwa kijiji,Kwa hiyo tatizo lako ni kuchelewa kuanza na kuwahi kuanza sio kitu kingine ?
Sijui wale wazee wa Bakita wanafanya nn ofisini,na mshahara wanakula,imagine Lugha imekosa mvuto endelevu ndio maana asilimia nyingi ya Watanzania wanawasiliana Kwa lugha zisizo rasmi ikiwemo kiswakinge.Ukitaka kujua hili Baraza linafanana na jipu chukulia mfano wa maneno mapya ya kizazi hiki Cha teknlojia,Decoder hawa watu wameamua iitwe kishumbuzi.
Unajiuliza walilipata wapi neno la ajabu ajabu hivyo for such cool invention??Je walichukua kisu Waka jumlisha na mbuzi au ilikuwaje?
🙏🙏🙏Chembe ziada za atomiki , tafuta vitabu ya biology, Chemistry, na geography vya kiswahili uone Kama Kuna neno limeachwa aununua Lambert iliyoandikwa kwa kiswahili ukishindwa tafuta kamusi ya sayansi na teknolojia. Ukweli kuhusu lugha nikuwa lugha yeyote hujitosheleza kwa watu wake na misamiati unaweza kuongezwa wakati wowote hushangau Kwanini Misamiati mingi ya geography katika kingereza Ni ya lugha za kilatini au Hesabu lugha za kiarabu?
Fact ni kwamba mtu afundishwe kwa lugha yenye matumizi ndani ya taifa lake kwa asilimia zaidi ya 90%.Mkuu, ukizungumza kwa fact hakuna advantage yeyote ya kutumia kiswahili katika taifa hili katika ulimwengu ambao kila kukicha unazidi kuwa kijiji,
Kuna vitu sio lazima tuvilazimishe sana, halafu kiswahili sio lugha ya watanzania wengi, ni lugha ya kuja tu kama zilivyo English na zinginezo, lugha zetu ni za kikabila, then tunaanza kujifunza kiswahili ambacho kwenye historia ni mchanganyiko wa lugha ya kiarabu na watu wa pwani ya East Africa, so mtu wa kigoma zote English na Kiswahili ni lugha za kuja
✅✅✅English is International language,
Daktari usome udaktar kwa kiswahili, uambiwe labia majora ina shavu nene 🤣 kisha uende interview ya UN wakuulize labia majora ni nini ushindwe 🤣🤣🤣🤣
Tusome tu English tuwe international people, no proud in being local ppl
Iko kiswahili chenyewe unaijua mpk unaenda gombania lugha za watuNi mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa.
Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote.
Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike?
Kwa wale wanaotaka Kiswahili kitumike wana nia gani hasa? Wanasukumwa na uzalendo au hawakijui Kingereza fasaha?
Maswali matatu muhimu:Fact ni kwamba mtu afundishwe kwa lugha yenye matumizi ndani ya taifa lake kwa asilimia zaidi ya 90%.
kati ya kingereza na Kiswahili ni lugha ipi ina asilimia hizo za matumizi ndani ya Tanzania ?