Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Sijui ni kwa nini sijawahi kuvutiwa kuishi maeneo ya Kusini ya jiji la Dar kama huko Mtoni, Mbagala, Chanika, Tabata, Lumo, Mtoni, Temeke, G/Mboto n.kMtoni Kijichi ndiyo eneo lenye maghorofa ya kisasa. Hayo ya Salasala, Mbezi beach yameshapitwa na wakati.