Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Ok mkuu, shukran kwa kufunguka kuhusu maeneo hayo. Hao waswahili wa salasala wanatakiwa wauze maeneo yao kwa watu wenye fedha ili wakajenge katika maeneo yanayoendana na hadhi zao. Hapo wawaachie watu wenye pesa zao waigeuze salasala ulaya ndogo.
 
Siku zinavyokwenda washua watawahamisha tu
 
Kweli mkuu, nasikia kuna maeneo ukifika unaweza fikiri umeangukia LA kumbe uko bongo land yetu.
Ulipotaja LA umenikumbusha wenzetu Marekani, likizo kadhaa nimekuwa nikiwatembelea watu wa familia California mtaa wao unaitwa Eagle Rock.

Nikajifunza wenzetu wamejitahidi sana kwenye ujenzi maeneo ya residential streets wameacha sehemu zenye coverage ya miti.

Na si tu California ni karibu maeneo mengi ya Marekani

Unaweza kukuta nyumba zimezungukwa na miti au miti inakuwa kando ya barabara na ndivyo Wakoloni walivyofanya Oysterbay na Masaki

Huwa naona hiyo huwa inaongeza mvuto wa eneo
 
Yah ni kweli, mpangilio mzuri wa miti katika mitaa au nyumba zinazoishi watu huleta mvuto na muonekano mzuri katika eneo au sehem husika.
 
Direction imekaa kushoto, ila Kijichi(mtoni) ni paukweli kuliko hata mbezi,kimara,madale, goba etc...
Yah kijichi napakubali sana japo sina uhakika kama inashinda maeneo yote uliyotaja hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…