Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Jamaa kamaliza kila kitu salasala nmetoka jana tu mm sijaona kipya ambacho mivumoni na madale hakipo eg mivumoni pita bravery hill street, hope kwa zulu sasaa plus huku uswahili upo kidogo sio km salasala
Tanzania yetu maeneo mengi ni hivyo. Ni vigumu sana kuwakwepa wenye mji wao (waswahili)
 
huko kuna kit luxury kuliko uapopapnda, sailings kinda chini Luna Mani sari. Waliokuwa MA mashamba kuelekea Mkuranga wanafaidi. Ukichimba Kiana no Mani safi, Maui no Issi. Je huko ukupendapo swala la maji so moans ukapige Makoti Dawasso!
Hiki ni Kimkuranga au?
 
Sijui ni kwa nini sijawahi kuvutiwa kuishi maeneo ya Kusini ya jiji la Dar kama huko Mtoni, Mbagala, Chanika, Tabata, Lumo, Mtoni, Temeke, G/Mboto n.k
Vipi kuhusu tabata makuburi maana kwenyew kumejitenga kidogo na maeneo ya kusini?
 
wazo, salasala, madale, ununio, kilongawima, kunduchi ni mitaa iliyopo ndani ya kata ya kunduchi huko salasala unakozungumzia kimaendeleo kunaweza kuwa kupo vizuri lakini ununio na kilongawima ambayo imepakana na africana kupo vizuri kuliko huko uliposema.
 
Mkuu mimi sijazungumza kuwa Salasala ndio imeendelea tu kuliko maeneo mengine tajwa, bali nilikuja kuuliza kwa wale wanaofahamu zaidi maeneo hayo wanijuze ili nikamalize ubishi uliokuwepo siku ile.
 
HAYO MAENEO YOTE KUNA MAJUMBA MAZURI NA YA KISASA NA YA GHARAMA KUBWA , SWALI WAMEJENGA NA PESA HALALI?
 
HAYO MAENEO YOTE KUNA MAJUMBA MAZURI NA YA KISASA NA YA GHARAMA KUBWA , SWALI WAMEJENGA NA PESA HALALI?
Mkuu kidodosi maeneo mengi niliyoyataja hapo juu wanaishi viongozi wa kitaifa wastafu na wale ambao bado wapo serikalini.

So kama ilivyo kwa binadam kwamba hauwezi kumpata binadam aliekamilika, ni lazima kila binadam awe na kasoro.

Ndo hivyo hivyo kwa hayo maeneo kwamba wapo waliojenga kwa fedha halali, na wapo waliojenga kwa fedha ambazo sio halali.
 
Ubishi wa kitoto na wa kufungia mwaka huu..!!
 
Sawa Mr Akilihuru, kwahiyo 50/50?
 
Are you sure mkuu?
 
Mtoni Kijichi ndiyo eneo lenye maghorofa ya kisasa. Hayo ya Salasala, Mbezi beach yameshapitwa na wakati.
Bila shaka wewe hauijui Salasala. Kule ni uzunguni ndugu. Hata mimi napakubali sana, mijengo ya maana, hali ya hewa nzuri nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…