Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Kama kawa, mtu na shoga lake/boo wake wanauza sura, wakiambiwa ukweli, utawasikia oooh.............!!!!! Ovyoooo.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kutetea kwamba baadhi ya sera za Ujamaa zilikuwa mbovu. Sio zote. Hilo nimeshasema. Kitu ambacho baadhi ya watu hapa hawataki kuona ni kwamba Tanzania iliadhibiwa kiuchimi kwasababu ya siasa zake za ndani na mambo ya nje. Kwa wale ambao wamelala kwenye mambo ya "economic warfare" wakasome kitabu kinaitwa Confessions of an Economic Hitman. Haongelei Tanzania, lakini najua for a fact kwamba Tanzania ilikuwa victimized kiuchumi.

I heard, it's a good book....thank you!!! Najenga taifa, baada ya kazi nitakurudia!!
 
Siwezi kupoteza muda wangu kutetea kwamba baadhi ya sera za Ujamaa zilikuwa mbovu. Sio zote. Hilo nimeshasema. Kitu ambacho baadhi ya watu hapa hawataki kuona ni kwamba Tanzania iliadhibiwa kiuchimi kwasababu ya siasa zake za ndani na mambo ya nje. Kwa wale ambao wamelala kwenye mambo ya "economic warfare" wakasome kitabu kinaitwa Confessions of an Economic Hitman. Haongelei Tanzania, lakini najua for a fact kwamba Tanzania ilikuwa victimized kiuchumi.

Kwani nani amekataa hilo suala. Tulitaka kuusambaza ujamaa duniani na tujitafutia maadui sisi wenyewe. Hiyo ndio sababu kubwa. Darwin theory: Natural Selection or Survival of the fittest. Ujamaa ulikuwa INFERIOR na siasa zingine zimeshinda.
 
Mhhhh,

Kumbe Tanzania ilitaka kusambaza ujamaa duniani?

Wewe Nyerere wewe, umeanzisha ujamaa Tanzania, ukaupeleka urusi na china, ukaupeleka Cuba, ukaupeleka India, karibu robo tatu ya ya dunia ikachagua ujamaa over ubepari bila kujua kuwa natural selection itakumaliza?

Unajua nilipendekeza hii thread iwe Nyerere vs Kambona lakini sana naone iitwe - Huyu Nyerere inabidi akae muda mrefu jehanum kuliko madikiteta wengine.
 
YourName,Maswali,Bin Maryam,Mwanakijiji,QuickMover,

Naona hii mada imegeuka tena kuwa VIBWEKA...i will see you over the weekend!!

Joka kuu,

Kwani umegundua leo kuwa hii mada iko kwenye vibweka? Ukirudi weekend labda utakuta imekuwa closed na watu wameenda kuparry! shauri yako.
 
Kama kawa, mtu na shoga lake/boo wake wanauza sura, wakiambiwa ukweli, utawasikia oooh.............!!!!! Ovyoooo.

ukinyakua mawazo ya watu wengine neno kwa neno hakikisha unaweka quote au unasema siyo mawazo yako. Ni uungwana wa kitaaluma.
 
Maswali,

Totally not in the Nyerere vs Kambona beef, as far as I am concerned Nyerere was a tyrant and Kambona was a coward.

Sijui unataka kusema nini kuhusu "Confession of an Economic Hitman" lakini kama unataka kuwatetea viongozi wa Afrika kama kina Nyerere think again.

Kitabu kina document jinsi gani Wamarekani walivyo wa dupe viongozi wajinga na sehemu nyingine kutumia hongo ili kuingia mikataba feki inayowagharimu watu wa mataifa mengine hela nyingi.It is more like IPTL na Richmond, kweli unaweza kuwaondolea responsibility viongozi wetu kwa mikataba hiyo?

Unaongea kama vile Nyerere alikuwa victim wa economic espionage wakati yeye mwenyewe ndiye alikuwa kichwa ngumu aliyeweka mbele siasa kuliko uchumi mpaka kungoa nyaya za simu za mjerumani?

Hakuna nchi ambayo iko katika "...Economic Hitman" kama victim ambayo wamarekani wangefanikiwa kuitafunia hela zao bila ushirikiano wa viongozi wao.

Come correct on that one or explain yourself better.
 
Ktk fani yangu haijalishi umeandikaje.......what matters ni substance. Ujumbe ulikuwa umekwishapata ila kujishaua tu. Sio kila mtu mwandishi wa habari kama...........mie nipo kwenye healthcare, nini unachokijua huko????!!! Ovyoooooo.
 
Sasa kama viongozi wanashirikiana na wamarekani, kuna sababu gani ya kuwa na hitman? Common sense na kitabu hicho kinasema kuwa hitman wanatumika pale viongozi wanapokataa kushirikiana na global corporations.

Well huyu Nyerere ni kichwa ngumu na inauma kwamba ndio amesaini hiyo mikataba ya IPTL, Richmonduli, Buzwagi, nk. Kama ni hivi basi hao economic hitman hawaitajiki. Watanzania peke yao inabidi wamwadhibu Nyerere na chochote kilichobakia kuhusu huyu Nyerere ili nchi iendelee!

gooosh, this guy bado anaendeleza ujamaa hadi leo? ama kweli Nyerere kichwa ngumu.
 
Mkjj,

inaonekana kuna mwana JF anajua profession yako ya sasa hivi! nakuambia kuna kazi kweli kweli hapa! Yote haya amesababisha huyu dikiteta Nyerere.

hadi mwanakijiji hajui chochote kuhusu healthcare kwa sababu Nyerere alikuwa bize kungoa nyaya za simu za wajerumani na kueneza ujamaa duniani!
 
Sasa kama viongozi wanashirikiana na wamarekani, kuna sababu gani ya kuwa na hitman? Common sense na kitabu hicho kinasema kuwa hitman wanatumika pale viongozi wanapokataa kushirikiana na global corporations.

Hitman anahitajika kama viongozi wachache au mmoja anajua deal lakini wengi wanakuwa wanapinga.Then anatoa ki-briefcase na data feki na mlungula kazi kwisha.My point ni kuwa kama uongozi wa nchi unasimama ngangari huwezi kusingizia hitman kwa sababu hitman anahitaji upenyo wa angalau kiongozi mmoja mwenye bashasha.
 
Ktk fani yangu haijalishi umeandikaje.......what matters ni substance. Ujumbe ulikuwa umekwishapata ila kujishaua tu. Sio kila mtu mwandishi wa habari kama...........mie nipo kwenye healthcare, nini unachokijua huko????!!! Ovyoooooo.

YNIM, plagiarism has no boundaries, na kuhusu Afya, you have no idea nini nakijua. I'm a jack of many trades. Wakati nafanya Clinical Psychology pale Bugando jambo la kwanza walilotufundisha ni pamoja ya jinsi ya "kucite" sources na yule Padre Mkurugenzi alituambia ni jinsi gani kwenye ulimwengu wa taaluma plagiarism haivumiliwi. Unless mwenzetu huko kwenye "afya" mnaruhusiwa kuibia mawazo ya watu.
 
Hitman anahitajika kama viongozi wachache au mmoja anajua deal lakini wengi wanakuwa wanapinga.Then anatoa ki-briefcase na data feki na mlungula kazi kwisha.My point ni kuwa kama uongozi wa nchi unasimama ngangari huwezi kusingizia hitman kwa sababu hitman anahitaji upenyo wa angalau kiongozi mmoja mwenye bashasha.

Kulingana na maelezo ya kwenye kitabu. Kazi ya economic hitmen ni kuharibu na kusubotage kila kinachoendelea kiuchumi kwenye victim wao.

Hawa mara nyingi ni hatua ya mwisho baada ya negotiation kushindwa. Labda usome tena kitabu ndugu yangu. Hitman anatumiwa pale ambapo hakuna upenyo.
 
Maswali,

Totally not in the Nyerere vs Kambona beef, as far as I am concerned Nyerere was a tyrant and Kambona was a coward.

Sijui unataka kusema nini kuhusu "Confession of an Economic Hitman" lakini kama unataka kuwatetea viongozi wa Afrika kama kina Nyerere think again.

Kitabu kina document jinsi gani Wamarekani walivyo wa dupe viongozi wajinga na sehemu nyingine kutumia hongo ili kuingia mikataba feki inayowagharimu watu wa mataifa mengine hela nyingi.It is more like IPTL na Richmond, kweli unaweza kuwaondolea responsibility viongozi wetu kwa mikataba hiyo?

Unaongea kama vile Nyerere alikuwa victim wa economic espionage wakati yeye mwenyewe ndiye alikuwa kichwa ngumu aliyeweka mbele siasa kuliko uchumi mpaka kungoa nyaya za simu za mjerumani?

Hakuna nchi ambayo iko katika "...Economic Hitman" kama victim ambayo wamarekani wangefanikiwa kuitafunia hela zao bila ushirikiano wa viongozi wao.

Come correct on that one or explain yourself better.

Niliona mahojiano ya mtunzi wa kitabu. Unayoyasema ni kama summary ya mahojiano hayo.

Katika posti yangu moja nimesema u-Naivette katika mambo ya financials yalituingiza kwenye mkenge na hiyo ni fair game.
 
Labda usome kitabu wewe, mimi nimesoma kitabu na kwenda kumsikiliza.Pasipokuwa na upenyo hata CIA hawezi unless wanaangusha missile au kumtungua mtu kutoka ndege, wewe unasema hitman.

AMY GOODMAN: Can you explain how Torrijos died?

JOHN PERKINS: Omar Torrijos, the President of Panama. Omar Torrijos had signed the Canal Treaty with Carter much-and, you know, it passed our congress by only one vote. It was a highly contended issue. And Torrijos then also went ahead and negotiated with the Japanese to build a sea-level canal. The Japanese wanted to finance and construct a sea-level canal in Panama. Torrijos talked to them about this which very much upset Bechtel Corporation, whose president was George Schultz and senior council was Casper Weinberger. When Carter was thrown out (and that's an interesting story-how that actually happened), when he lost the election, and Reagan came in and Schultz came in as Secretary of State from Bechtel, and Weinberger came from Bechtel to be Secretary of Defense, they were extremely angry at Torrijos-tried to get him to renegotiate the Canal Treaty and not to talk to the Japanese. He adamantly refused. He was a very principled man. He had his problem, but he was a very principled man. He was an amazing man, Torrijos. And so, he died in a fiery airplane crash, which was connected to a tape recorder with explosives in it, which-I was there. I had been working with him. I knew that we economic hit men had failed. I knew the jackals were closing in on him, and the next thing, his plane exploded with a tape recorder with a bomb in it. There's no question in my mind that it was C.I.A. sanctioned, and most-many Latin American investigators have come to the same conclusion. Of course, we never heard about that in our country.

Hii inaonyesha kama hamna upenyo wanatumia military na intelligence means kama kumlipua mtu na dege lake, siyo economic hitmen.
 
YNIM, plagiarism has no boundaries, na kuhusu Afya, you have no idea nini nakijua. I'm a jack of many trades. Wakati nafanya Clinical Psychology pale Bugando jambo la kwanza walilotufundisha ni pamoja ya jinsi ya "kucite" sources na yule Padre Mkurugenzi alituambia ni jinsi gani kwenye ulimwengu wa taaluma plagiarism haivumiliwi. Unless mwenzetu huko kwenye "afya" mnaruhusiwa kuibia mawazo ya watu.

Childish, mawazo gani nilioibia?? huwa sinaga time na watu wa psychology kama wewe, sasa ninakuelewa na upuuzi wako hapa kila siku. Kumbe ni MWANASIASA.....the "P" word you used ni kubwa sana, kuna uwezekano hujui maana yake!!

Yani kwa akili zako unategemea niandike hapa kama naandika paper ya research ya maana tena kwenye "APA FORMAT"!!!!? huoni kama huo ni uchizi, unadhani kila mtu kafanya hii ni carrier?? sina muda wa ku-prove anything to you, endelea ku-demize kwani huo nao ni mchongo wa Nyerere.
 
Hii mada naona inachukua turns kila kukicha, naona tunaelekea kwenye battle of wits..Ngoja niende zangu kuangalia soka.
Ila kwa kifupi ujamaa hautoondoka Tanzania at least sio leo wala kesho wala keshokutwa, nchi yetu ni maskini sana kuweza kumudu mikimiki ya ubepari(mwisho wa siku tutaishia kutanga tanga tu).
 
Labda usome kitabu wewe, mimi nimesoma kitabu na kwenda kumsikiliza.Pasipokuwa na upenyo hata CIA hawezi unless wanaangusha missile au kumtungua mtu kutoka ndege, wewe unasema hitman.

Hii inaonyesha kama hamna upenyo wanatumia military na intelligence means kama kumlipua mtu na dege lake, siyo economic hitmen.

Yap,

now you are talking.

Negotiations za kwanza hufanya na watu wa kawaida na wala huitaji economic hit men kama wewe unataka kujenga kiwanda cha chumvi kule Lushoto.

Economic hit men wanatumika pale ambapo chochote kinachofanyika hakina faida yoyote kwa faida ya nchi husika. Kazi yao kubwa ni kusubotage na kuharibu uchumi wa nchi husika. That's why the name hitmen lilitumika. Hawa huja kwa nia moja tu ya kuharibu nchi husika no wonder wengi wao ni special recruitment.

Ile Interview yake ya NY kwenye Barnes and Noble alisema kuwa wakienda nchi yoyote hawaitaji kujua mtu yoyote in advance kwa sababu wataingia kwa gia yoyote ile ikiwemo cover ya kufanya kazi benki ya dunia nk.

Military intervention ni hatua ya mwisho kabisa - Sadam etc
 
Maswali,

Totally not in the Nyerere vs Kambona beef, as far as I am concerned Nyerere was a tyrant and Kambona was a coward.

Sijui unataka kusema nini kuhusu "Confession of an Economic Hitman" lakini kama unataka kuwatetea viongozi wa Afrika kama kina Nyerere think again.

Kitabu kina document jinsi gani Wamarekani walivyo wa dupe viongozi wajinga na sehemu nyingine kutumia hongo ili kuingia mikataba feki inayowagharimu watu wa mataifa mengine hela nyingi.It is more like IPTL na Richmond, kweli unaweza kuwaondolea responsibility viongozi wetu kwa mikataba hiyo?

Unaongea kama vile Nyerere alikuwa victim wa economic espionage wakati yeye mwenyewe ndiye alikuwa kichwa ngumu aliyeweka mbele siasa kuliko uchumi mpaka kungoa nyaya za simu za mjerumani?

Hakuna nchi ambayo iko katika "...Economic Hitman" kama victim ambayo wamarekani wangefanikiwa kuitafunia hela zao bila ushirikiano wa viongozi wao.

Come correct on that one or explain yourself better.

Kuhusu Kambona na Nyerere kila mtu ana haki yakusema opinion yake. Na naweza kuheshimu yako.

Kuwatetea viongozi wa Africa ni kitu kimoja, kusema ukweli kuhusu mambo yaliyofanywa na nchi za ulaya hapa Afrika ni kitu kingine. Wengi wanataka kulaumu viongozi wetu tuu bila kuangalia sababu nyingine. Tunaweza kulaumu viongozi wetu, na kwenye mengi tuna sababu kutoa lawama, lakini tusisahau kulikuwa na mkono wa nje uliosaidia kuturudisha nyuma. Bila kujifunza hilo somo, tutazidi kurudi nyuma na kamwe hatutaendelea.

Hicho kitabu nimekisoma. Kuondoa/kutoondoa responsibility kwa hao viongozi ni kitu kimoja. Narudia tena, jee hao majambazi wa kiuchumi responsibility yao vipi? Should they be absolved? Naona hata kukubali mchango wao katika kutudidimiza mnakataa.

Kwamba Tanzania iliadhibiwa kiuchumi na nchi za magharibi, hio ni fact. Ukweli ni kwamba Tanzania iliadhibiwa. Data zinazoonyesha hicho zipo.
 
Childish, mawazo gani nilioibia??

Kwa vile umesahau mawazo uliyoibia na kuyafanya ya kwako na hivyo kwa makusudi kutunyima nafasi ya kuyaweka kwenye context yake ni haya hapa:

Well, mtu anaweza ku-spin atakavyo...............

In fact, ujamaa villages were generally failures as satisfactory human communities and, above all, as units of production. What the high-modernist planners of the Tanzanian state failed to realize was that the prior dispersion and movement of the population was a finely-tuned and long-practiced response to a very stingy semi-arid environment. Similarly, the complex forms of poly-cropping they practiced were generally quite productive and ecologically sound, despite having been judged, partly on aesthetic grounds, to be "backward" by agricultural planners. The mono-cropping mandated in its place typically failed. As the failures of the ujamaa became more manifest and the fiscal capacity of the regime to subsidize them weakened, communal production was abandoned and many of the villages broke up altogether. Where the new villages persisted it was due more to the improvisational skills and kinship networks of those resettled than to the logic of the planners' design.

Like the Soviet state, the Tanzanian state had replaced an independent, migratory, and illegible rural population with a regimented, fixed peasantry. In the process it damaged, if not destroyed, a preexisting human capital of working knowledge and social connective tissue. By making an abstraction of the peasant farmer and insisting on a vastly simplified, mono-cropping regimen, its own scheme proved a recipe for failure.

There u go!!!!.

Maandishi hayo yanalingana na hoja ya Prof. James C Scott wa Yale ambaye aliandika kile alichokiita kuwa ni "Politics of Social Planning".

Katikati ya hoja yake anaandika hivi:

In fact, ujamaa villages were generally failures as satisfactory human communities and, above all, as units of production. What the high-modernist planners of the Tanzanian state failed to realize was that the prior dispersion and movement of the population was a finely-tuned and long-practiced response to a very stingy semi-arid environment. Similarly, the complex forms of poly-cropping they practiced were generally quite productive and ecologically sound, despite having been judged, partly on aesthetic grounds, to be "backward" by agricultural planners. The mono-cropping mandated in its place typically failed. As the failures of the ujamaa became more manifest and the fiscal capacity of the regime to subsidize them weakened, communal production was abandoned and many of the villages broke up altogether. Where the new villages persisted it was due more to the improvisational skills and kinship networks of those resettled than to the logic of the planners' design.

Like the Soviet state, the Tanzanian state had replaced an independent, migratory, and illegible rural population with a regimented, fixed peasantry. In the process it damaged, if not destroyed, a preexisting human capital of working knowledge and social connective tissue. By making an abstraction of the peasant farmer and insisting on a vastly simplified, mono-cropping regimen, its own scheme proved a recipe for failure.

Sasa aidha yeye amekukopy wewe, au wewe umemkopi yeye kwani nimepata nafasi ya kusoma paper yake nzima na mtu yeyote anaweza kuisoma na kuona anavyokosoa mfumo wa kijamaa au ule wa kisoshalisti. Bonyeza HAPA UONE ALIKOKOPI YNIM

Inawezekana kama binadamu wengine wenye kukosea kama Mwalimu na Kambona na wewe unaweza kuwa ulipitiwa kidogo kutokana na jazba, uzembe, au kutokuwa mwangalifu. Hivyo kukiri makosa na siyo kuyatafutia udhuru ndio uungwana wenyewe ndugu yangu.

huwa sinaga time na watu wa psychology kama wewe, sasa ninakuelewa na upuuzi wako hapa kila siku. Kumbe ni MWANASIASA.....the "P" word you used ni kubwa sana, kuna uwezekano hujui maana yake!!

Sasa, upande mmoja unajifanya ni mtu wa hoja lakini upande mwingine unaoneshwa kuwa hoja zinakuzidi kichwa na unabakia kuleta vioja! Hata hivyo kutokana na wema wa moyo wangu sitasita kuendelea kukufundisha uungwana katika kujibu hoja kwa hoja.

Yani kwa akili zako unategemea niandike hapa kama naandika paper ya research ya maana tena kwenye "APA FORMAT"!!!!? huoni kama huo ni uchizi, unadhani kila mtu kafanya hii ni carrier?? sina muda wa ku-prove anything to you, endelea ku-demize kwani huo nao ni mchongo wa Nyerere.

Sidhani kama kuna mtu anatakiwa aandike kama academic paper, the least we can do na tumekuwa tukisema sana hapa ni kuonesha source ya info ili kama kuna mtu anataka kuifuatilia hoja basi aifuatilie zaidi. Is that too much to ask? apparently according to you the answer is in the affirmative.

wizi huwa hauhalalishwi kwa vile tu mwizi anakuwa amevaa tai na suti au amevaa marapurapu. Kuandika kwenye mtandao haina maana utoe mawazo kama vile ya kwako kama alivyofanya yule bwana aliyeleta copy ya Wikipedia bila kusema imetoka wapi. Unafanya hivyo ili kuwapa watu nafasi ya kufuatilia hoja hizo kutoka kwenye source.

Nadhani somo hili litakutosha kwa leo.
 
Back
Top Bottom