Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Alikufa kwa sababu gani? Yan alikufa kwa ugonjwa au ni nini kilipelekea kifo chake? Vipi watoto wake kwa sasa wanaendeleaje na wanafanya shughuli gani? Hao wanaweza kuwa na story nzuri juu ya uhasama wa baba yao na Nyerere.

Story nzuri pamoja na uvivu wangu kusoma nimeisoma yote. Kambona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makala nzuri japo umeweka maneno mengi ya kimbea na kipashkuna...
Kitu pekee ambacho jiwe anafanana na Nyerere ni udikteta tu.
Nyerere alikuwa hahangaiki kuua washindani wake! Enzi zile kumtumia watu wa kumuua Kambona London ilikuwa rahisi sana, pia uondokaji wa Kambona mara ya kwanza Mwalim alijua lkn hakufanya kitu alimuacha aende tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikufa kwa sababu gani? Yan alikufa kwa ugonjwa au ni nini kilipelekea kifo chake? Vipi watoto wake kwa sasa wanaendeleaje na wanafanya shughuli gani? Hao wanaweza kuwa na story nzuri juu ya uhasama wa baba yao na Nyerere.

Story nzuri pamoja na uvivu wangu kusoma nimeisoma yote. Kambona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana wake alipigwa shaba London ila binti yke yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Nyerere Moja ya madhaifu yake I kinyongo
Alikuwa hajui kusamehe

Hata Siku Mwili wa Oscar Kambona unaletwa Dar kwa MaZiko alikataa kushiriki akaamua kwenda Butiama hadi umalizike ndio akarudi

Ma Rais wa Kanda ya Ziwa wana tabia Za kanda ya Ziwa ( Visasi Na Vinyongo na kutopenda kukosolewa).
 
Nyerere alikuwa hahangaiki kuua washindani wake! Enzi zile kumtumia watu wa kumuua Kambona London ilikuwa rahisi sana, pia uondokaji wa Kambona mara ya kwanza Mwalim alijua lkn hakufanya kitu alimuacha aende tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayati Mzee Karume Na Hayati Moringe Sokoine wamesikitika Sana kusoma comment yako bila Shaka
 
Back
Top Bottom