Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?


Ila rais mkwere yeye hujifanya anacheka cheka kinafiki huku anakumaliza.

Ujinga daraja la kwanza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kambona alikuwa ana tayarishwa na waingereza wa anglikana wenye siasa za mrengo wa kati kuwa kiongozi wa Tanganyika. In case machifu wenye siasa za centre right hawata kubalika machoni mwa wanyonge wa Tanganyika.

Nyerere alikuwa ana tayarishwa na waingereza wenye siasa za mrengo wa kati kushoto (hususan Fabian Society), pamoja na waingereza, waskotchi na wa irish wakatoliki kuwa kiongozi wa Tanganyika.

Alliance ilikuwa shule ya waanglikana. St Mary's na St Francis zilikuwa shule za wakatoliki.

Nyerere na Kambona walikuwa ma rafiki wa waingereza. Marais wote wa Tanzania ni marafiki wa waingereza bila kujali ni mkristo au muislamu.

Coalition hii ndio imezuia upatikanaji wa rais mprotestanti Tanzania. Kwasababu rais huyo ana weza kuwa mlutheri, na hivyo rafiki zaidi wa wajerumani kuliko waingereza.

Mutiny ya 1964, ili kuwa ujanja ujanja wa Kambona na wa baadhi ya wa anglikana waliokuwa kwenye system.

Ukicheki wengi wao 'wanao onekana' kuzima mutiny hiyo ni waanglikana waliosoma Alliance.

Ilikuwa rahisi sana kwa Julius, aliesoma vitabu vya Shakespeare, na aliekuwa ana shauriwa na majesuit, na aliekuwa na damu ya kitutsi kutoka kwa mababu zake wazanaki wa vizazi vya nyuma sana, kuusoma ujanja huo.

From then Julius aka wa out manouvre jamaa kwa ujanja wa hali ya juu sana (nadhani aki shauriwa na majesuit).

Akawa tumia walutheri kuwatoa waanglikana/wapresbyterian kwenye sensitive posts. Baadae akawatumia waislamu kuwatoa walutheri. Na baadae akawatoa waislam akawa weka wakatoliki.

Na vyombo vya ulinzi na usalama vikawa dominated na watu wa eneo lake na dhehebu lake.


Moral of the story.

Faction inayotaka kuongoza nchi inabidi iwe imejiandaa kikamilifu. Iwasomeshe watu wake shule nzuri kwenye nyanja zinazo husiana na uongozi. Na isiwe imegawanyika. Na iwapende maskini. Na pia ichague viongozi wajanja sana lakini wema, wanaojitambua, na wenye uwezo wakushtukia ujanja ujanja, hata kama ni ujanja ujanja wa hali ya juu sana.

Waingereza wange andaa a coalition ya centre left protestant politicians, including anglicans and lutherans etc, mapema sana. Wangeachana na machifu ambao walikuwa wanaonekana hawako upande wa wanyonge.

Flora Moriyo. Tunajua kwamba mke wake Kambona ni mchagga.

Hilo Morio ni la upande wa baba yake au mama yake. Morio maanake ni mwanamke kutoka ukoo wa Urio. Ukoo wa Urio ndio ukoo wa Mangi Horombo wa Keni (Rombo), ambae alitawala uchagga yote, kwa mkuki, na ngao. Alitawala mpaka upande wa Kenya unaopakana na Rombo, vile vile maeneo ya kule longido (yanayo pakana na West Kilimanjaro), vile vile upande wa Ugweno. Alikuwa ni mtu mrefu sana, giant.

Familia karibia zote za kimangi za uchaggani zina undugu wa namna moja au nyingine na Mangi Horombo.

Of course siku hizi koo nyingi za kimangi zimefulia kimaisha. Labda kwasababu baadhi yao hawa kupenda kusoma mpaka level ya chuo kikuu. Baadhi yao walipenda starehe. Wengine walifanyiwa hila ili wasiendelee. Baadhi yao walifanya dhuluma zamani sana, so vitukuu vyao vina ugulia upungufu wa baraka.

Ni muhimu sana kwa wachagga (na watanzania wote) ku acquire competencies and skills zitakazo wawezesha kufanikiwa kwenye uchumi wa utandawazi. Inaweza ikawa ni business skills, elimu nzuri, political and leadership skills, or millitary/security skills.

Of course wasimsahau Bwana na rafiki yao Yesu Kristo (Yahushua Masiha) anaewapenda watu wote.
 
Ben mungu aendelee kukupambania popote ulipo.
 
Wakati Niko shule nakua nilikua nikisimuliwa,kusoma na kufundishwa ujamaa na nasharia za Marx niliona iko powa baada ya kusoma implications ya hizo style kwenye uchumi na Uhuru nimegundua ni useless kabisa ndio maana duniani kote ukomunist umefeli yaani umejikita kwenye imani kuliko actual things on ground
Ndo maana naishangaa hata awamu ya tano kuiga mambo yaliyowashinda watanguliezi
 
lakini hapa kuna kajambo kananitafakarisha!, kama lengo lilikuwa kuondokana na Kambona who was OBJECTIVE na kumpromote Kawawa who was YES man, kwa nini Nyerere hakutumia nafasi hii kumnyamazisha kabisa Kambona?!?, kwa sababu he has all the powers on his hands to do so, kwa nini hakumwabia Kenyata kamata huyo na mrudisheni hapa!!!!
 

Kweli mkuu, Nyerere ndiye muasisi wa Christians dominance katika nafasi nyingi za utumishi wa umma nchini!
Amewahi kuwa confronted na waislamu katika vikao vya ndani lakini alikaa kimya juu ya hili jambo!. He was loyal to his Catholic church na alilipa mazingira mazuri mno ya kuoperate ndani ya Tanzania!
 
Kwa kifupi, baada ya Waingereza kuondoka na kutuachia Uhuru, Kambona alitaka kuvaa viatu vya hao wakoloni, jambo ambalo halikumfurahisha Nyerere kwakuwa sio maana ya Uhuru waliopambana kupata. Kwa kipindi kifupi(within5yrs) mbali na kutoka ualimu hadi kiongozi wa juu, aliweza kumiliki mali/utajiri mkubwa kv fedha na nyumba (ghorofa) msasani beach2, kinondoni makaburini3 nk akimuona Nyerere mshamba kwa kutojilimbikizia mali. Kauli ya Nyerere hawakumuondoa mkoloni ili wao wachukue nafasi ya wakoloni. Nyerere aliushtukia mchezo mapema na kumuacha Kambona akiishia kunufaika na zawadi ya bahati nasibu ya dunia (sijui kwa mchezo gani aliocheza) na kuzeekea Uingereza.
Hapa sio suala la kufuata siasa za Ujamaa au kumpenda Kambona, bali ni vita ya wakubwa na maslahi binafsi au Umma baada ya uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kambona kaelezewa sehemu nyingi, lakini tukumbuke Msimamizi wa Harusi ya Kambona huko Uingereza alikuwa J. K Nyerere na walikuwa marafiki hasa.
Hofu ilimuingia JK pale wanajeshi walipoasi na kupata kuungwa mkono na Mapinduzi ya Zanzibar hivyo Kambona akawa na mashabiki wengi hata wale wa zamani tunakumbuka ile way kwenye nywele zake huyu Mngoni zilivyoigwa na mashabiki wengi, hii lazima ilimshtua JK na KARUME
Kitabu cha Ghasany (Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru) kinamtaja sana Kambona alivyopata umaarufu na kwa kazi alizoziongoza na hii ndio iliyomuogofya Kambarage
https://kwaheri.files.wordpress.com/2010/05/kwaheri-ukoloni-kwaheri-uhuru.pdf
 
Mtanzania was Kwanza kushinda bahati na sibu uingreza na kuwa tajiri
 
Dahhhh....
Kumbe kuna wakati mwingine nimekua na muinekano tofauti eehhh...!!
By the way, ahsante sana mkuu. Na amini mimi ni mtu poa tu, tena mwema kuliko pengine ulivyowahi kutarajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…