Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Nyerere kwanza alivyoambiwa kwamba Kambona anamsema vibaya, hakuamini.

Ilimchukua mhariri wa magazeti ya serikali, Benjamin William Mkapa, mtu aliyekuwa na waandishi wa habari wanaofuatilia mambo ya Kambona kwa karibu, juhudi kubwa sana kumfanya Nyerere akubali habari kwamba Kambona anamsema vibaya Nyerere.
 
Nyerere alikuwa hahangaiki kuua washindani wake! Enzi zile kumtumia watu wa kumuua Kambona London ilikuwa rahisi sana, pia uondokaji wa Kambona mara ya kwanza Mwalim alijua lkn hakufanya kitu alimuacha aende tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana eti, how come Kwa mtu kama yeye kudrive mpaka Nairobi bila kushtukiwa kweli
 
Mwandishi sema ukweli kuwa shahada ya sheria ilimshinda Kambona kwa hiyo hakuwa bright sana kama unavompotray. Pia kwa kipindi kile Nyerere alikuwa sahihi kuchanganya kaudictator fulani ili kujenga umoja Wa kitaifa na alitaifisha shule zote za misheni akaziacha seminari tu. Kwa hatua hiyo Nyerere alisomesha bure watoto Wa maskini. Kambona alikuwa na charisma sana lakini tamaa ya Mali asingesaidia maskini. Pia Kbona alikuwa na haki ya kutoa msimamo wake dhidi ya ujamaa lakini siamini angekuwa rais bora Wa Tanzania kumshinda Mwalimu Nyerere. Uzalendo Wa Nyerere hatutampata kiongozi Wa aina yake kwa muda mrefu. Mungu aziweke mahali panapostahili roho za Kambona na Nyerere walitimiza wajibu kutuletea Uhuru ingawa Nyerere alishindwa na hakutaka kutuachia katiba bora Tz, kwa hilo litamtesa aliko maana yanayofanyika Leo angesikitika
 
Dah kweli siasa sio Uadui! ingekuwa zama hizi za 5 angekula risasi magazine 5
Siasa ni uadui ndio maana Nyerere aliwachukia wale wote ambao walionekana kupingana na mawazo yake. Cha kushangaza leo hii kuna watu wanafanya mchakato wa kumtangaza mtakatifu. Sijui Nyerere atakuwa mtakatifu wa aina gani ambaye hawezi kusamehe waliomkosea.
 

Mkuu catholic imekuja tz kabla hata ya nyerere kuzaliwa wameshiriki kumlea na ndo mana baada ya hapo kweny uongozi wake mashule yake mengi yalikuja kuwa ya serikali chini ya uongozi wa nyerere catholic ilisomesha sana tz sasa lazima jamaa awe msikivu kwa jamaa hawa ni alikua kijana wao kiimani
 

Asante sana kwa mada mororo bila longolongo
 
Jioni ya Ijumaa ya tarehe 13.8.1925, huku mvua kubwa na radi kali zikirindima kijijini Kwambe

Kamba!

Agosti 13, 1925 haikuwa Ijumaa! Tuanzie hapo kwanza.

Which means probably hata hayo mengine ya mvua kali ilikuwa inanyesha, jioni radi kali akiwa anazaliwa, nayo ni kamba tupu!




Nyerere hawezi kuwa msimamizi wakati hata kwenye harusi hakuwepo.

A picture is worth a thousand lies!
 

attach hiko kipeperush bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…