Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Bin Maryam,
Karibu jamvini ndugu, post yako hapo juu ni maridadi sana.........umewapeleka way back ktk historia, lakini (wasi)2 wangu wanaweza wasielewe.

Adam Smith(the father of modern economics), kama anavyojulikana ktk dunia ya magharibi....lived btn 1723-1790, ktk ile article yake "Of the Natural Progress of Opulence," miaka hiyooooooo aliandika kuhusu China as econimic power to be recogn na kwanini wakati huo haikuwa on top!!!! I hope jibu lipo obvious!!!. Sasa Mwalimu kakurupuka anataka kuiga China, ataweza wapi?? au leo hii mtu anashangaa ati mbona China inafanya vizuri/kusema ati na wao pia walikuwa wajamaa kama sisi, ebo, are u out of your mind??? hawa watu walikuwa na misingi kitambo ago, hao China wana watu kama Lao Tzu(551-479 B.C) au Tsun Tzu ambao wameandika kuhusu goverment(jinsi utakavyoporomoka na wapi pa kutokea) miaka kibao ilopita!!!! watu walikuwa wanajua nini wanafanya sisi tulikuwa tunaiga.....kuna ule msemo, "muiga kunya kwa tembo................"

Kama una muda soma Lao Tzu's, " Thoughts from the Tao-te Ching." Goodluck!!.

Mimi huwa nafurahi sana jinsi watu wanavyomkoma Nyani bila huruma,big up sana YOURNAME IS MINE.

wachina wanaye Mwanafalsafa wa miaka maelfu iliyopita CONFUCIOUS,
ambaye tafakuri zake zimesaidia kushepu society ya wachina,

leo hii hata wachina hawang'ang'anizi ukomunist kavukavu, wao ukomunist wao wanauita "communism with chinese characteristics", katika ukomunisti wao kama kuna jambo zuri katika ubepari wanalichukua wanablend na jambo jingine zuri kutoka katika ukomunisti wanatengeneza style yao.

wachina walifanya mabadiliko makubwa sana katika style ya ukomunisti wa mzee Mao, sasa hivi uchumi wao unabase zaidi katika theory ya Deng xioping, wakati mzee Mao aliifunga China dhidi ya mataifa ya nje, Deng xioping akaifungua na akahimiza investment inayobase katika win-win situation, wachina hawana nonsense kabisa katika masuala ya maslahi makubwa kwa Taifa lao.
 
Wana JF,

Huyu nae vipi, mbona hawataki kumzungumzia na kumpa nafasi yake kwenye historia???? wanasema Karume ndio alofanya mapinduzi Zanzibar, kumbe ni Okello!!!!!!!!!!!!!!. Kuna "ufisadi" wa historia pia hapa unaendelea.

John Gideon Okello (1937, Lango District, Uganda, – 1971?) was one of the most eccentric revolutionaries (and also one of the least known) from Africa. In 1964 he led the Zanzibar Revolution that overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah, and led to the proclamation of Zanzibar as a republic.

John Okello was baptised at two years old (his baptised name being Gideon). From his eleventh year, he was an orphan and he grew up with other relatives. When he was fifteen, he left his house in order to search for work and he worked in several places in East Africa. He worked from 1944 as clerk, manservant, gardener and worker. He later learned the trade of bricklaying and was active as a bricklayer. He was arrested in Nairobi (Kenya) for unclear reasons (he himself stated that he was arrested for a crime of sexual nature) and stayed in prison for two years. During his incarceration he became a revolutionary.
Speculations are abound about Okello having held residence and being trained in the communist Cuba of Fidel Castro, although this has not been confirmed by Okello himself.

In 1959 Okello left for the island of Pemba, where he tried to find work on one of the farms, but became a police officer instead. Okello joined the Afro-Shirazi Party of sheik Abeid Karume. This party opposed the domineering position of the minority Arabs on the islands of Zanzibar and Pemba.

Okello left for Zanzibar in 1963, where he contacted the leaders of the Afro-Shirazi Youth League, the youth organisation of the Afro-Shirazi Party. The Youth League strived for a revolution in order to break the power of the Arabs. On Zanzibar, Okello was also a member of the Painters Union, being a house painter. In his free time he built up a small army of determined African nationalists. This army was required to hold themselves to the strict rules of Okello: sexual abstinence, no raw meat and no alcohol.

The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found the revolutionary state on Zanzibar and Pemba. On the night before the “revolution”, Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins.

12 January 1964 With popular support from the island's oppressed native African majority, Okello and his men fought their way to the capital of Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived. Approximately 10,000 people were killed.[citation needed] Even though they were poorly armed, Okello and his man surprised the police force of Zanzibar and they took power. During a speech on radio, Okello dubbed himself the “field marshal of Zanzibar and Pemba" He gave the sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself. However, the sultan had already brought himself to safety later to be harboured in Britain. The prime minister and other ministers also managed to escape.

Okello created a Revolutionary Council and named the leader of the Afro-Shirazi Party, Abeid Karume, as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheik Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice-president). Both Karume and Babu had not been informed of the coup. Both residing in Tanganyika, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume or Babu wanted anything to do with him. When Okello left for the African mainland they forbade him to return and he was deported both from Tanganyika and Kenya.

Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the Ugandan president Idi Amin in 1971 and vanished afterwards. In the book “Revolution on Zanzibar”, written by Don Petterson, it is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals" and had arranged his assassination. This remains speculative, however.

o
 
Mimi huwa nafurahi sana jinsi watu wanavyomkoma Nyani bila huruma,big up sana YOURNAME IS MINE.

wachina wanaye Mwanafalsafa wa miaka maelfu iliyopita CONFUCIOUS,
ambaye tafakuri zake zimesaidia kushepu society ya wachina,

leo hii hata wachina hawang'ang'anizi ukomunist kavukavu, wao ukomunist wao wanauita "communism with chinese characteristics", katika ukomunisti wao kama kuna jambo zuri katika ubepari wanalichukua wanablend na jambo jingine zuri kutoka katika ukomunisti wanatengeneza style yao.

wachina walifanya mabadiliko makubwa sana katika style ya ukomunisti wa mzee Mao, sasa hivi uchumi wao unabase zaidi katika theory ya Deng xioping, wakati mzee Mao aliifunga China dhidi ya mataifa ya nje, Deng xioping akaifungua na akahimiza investment inayobase katika win-win situation, wachina hawana nonsense kabisa katika masuala ya maslahi makubwa kwa Taifa lao.

gambalanyoka, umesoma maandishi gani ya Nyerere? hivi leo hii sisi Tanzania hatuna wasomi ambao wangeweza kusynthesize idea za ujamaa na kuziweka katika mazingira yetu ya Tanzania? Hata kama siyo Ujamaa ina maana hatuna wasomi ambao wanaweza kufuse mawazo ya Ubepari na mawazo ya Kijamaa kama zilivyofanya nchi kadhaa ambazo zinajulikana leo kama zinafuata "mlengo wa Kati" au "njia ya tatu"?

Binafsi naamini kabisa kuwa kama tutakaa chini na kusoma maandishi ya Mwalimu emperically tutaweza kuona ndani yake mambo kadhaa ambayo tunaweza kabisa kuyatengeneza kama nadharia mpya ya kisiasa ambayo itakuwa uniquely Tanzania. Tatizo ni kweli, mifano ya wana falsafa ni ya wengine sisi wa kwetu tunawaita madikteta!
 
Mwanakijiji anajiita msomi mzuri wa historia lakini nina wasiwasi anachanganya historia na siasa.

Bin Maryam, sijawahi kujiita "msomi mzuri" wa kitu chochote. Elimu yangu ni ya darasa la saba tu. Wasomi wazuri wapo hapa.
 
Bin Maryam, sijawahi kujiita "msomi mzuri" wa kitu chochote. Elimu yangu ni ya darasa la saba tu. Wasomi wazuri wapo hapa.

Nani mwanafalsafa anayeitwa dikteta? i hope siyo Nyerere, he was just a copy cat ndio maana akatuingiza mkenge.

Alikuwa warned multiple times na wafaransa na maskandinavia juu ya sera zake lakini alikuwa mbishi asiyetaka kusikia.........inasikitisha kijana kama wewe unakumbatia siasa za mwalimu blindly, nipo disappointed.!!! Nina amini Tanzania haitatoka shimoni kwa mtaji huu.
 
maskini wa Mungu YNIM, yaani Wafaransa ndio watu wa kuchukulia mfano... ndiyo haya haya ya kuabudu wazungu na kukimbilia wanafalsafa wa "ng'ambo" wakati wa kwenu wenye hata hamuwatambui.

Hivi unamjua mwanafalsafa yeyote wa Kitanzania?
 
maskini wa Mungu YNIM, yaani Wafaransa ndio watu wa kuchukulia mfano... ndiyo haya haya ya kuabudu wazungu na kukimbilia wanafalsafa wa "ng'ambo" wakati wa kwenu wenye hata hamuwatambui. Hivi unamjua mwanafalsafa yeyote wa Kitanzania?

Ukiambiwa unajifanya mjuvi na msomi wa historia kushinda kila mtu unabisha!!! sasa swali gani hilo la "kitoto" unauliza?? nani ana abudu wazungu? ushani-Judge na kuni-stereotype......halafu una amini kabisa wewe upo fair na utashinda mapambano ya kifkra!!!!??.............mie nimeishia darasa la nne, simjui mwanafalsafa hata mmoja wa kitanzania. Wapo millions, tena woooooooooooote wana-ideas nzurinzuri, masikini ya mungu mie YNIM kilaza, simjui hata mmoja na kazi yangu kuabudu wazungu!!!! Amen.
 
hahahah wakati mwingine kama hujui ni bora useme hujui kuliko kujifanya unajua wakati hujui. Sijui nani anamhukumu nani kumstereotype.. haya we! Angalau nina maswali ya kitoto, tatizo ni majibu ya kitoto!
 
Tatizo lako ni ushindi, na ni lazima ushinde....ndio maana sasa sishangai kwanini wewe ni mshabiki wa Nyerere!!!.

Mie nilishasema hapa, kuwa si mwanasiasa, sipendi siasa na sina mpango wa kuwa kwenye fani hiyo!!!!! huwezi kushindana na mimi, siwezi kushindana na wewe, kwani tupo kwenye fani tofauti sana mazeeeee.........................endelea kushindana, mie simo!! naomba unitajie wanafalsafa kumi wa kibongo ambao inabidi wananchi wawasikilize, ili wapate kufanyia kazi mawazo yao na kusonga mbele kimaendeleo. Nakusaidia, wa kwanza Mwanakijiji wa JF.....sasa wewe malizia hao tiisa walobaki!!.
 
mzee sasa nikufanyie kazi hiyo mimi; mimi siyo msomi na sina uanafalsafa wowote ule; ni mkulima tu wa kawaida. Sasa nyinyi wasomi ambao mnajua endeleeni tu mimi nawafuata. Halafu ushindi siyo kitu kibaya hasa unapoupata kwa haki. Ushindi wa mezani hautambiwi.

Kwa mtu asiyependa siasa, unavutika rahisi kweli kwenye siasa mazee!
 
"Ushindi ni lazima," alibweka Mwanakijiji yule..............habari zaidi posts zilizotangulia!!!.

Una-hangout na watoto kama MWK, na wewe umeanza kuwa na mambo ya kitoto..........toka lini watu ktk fani mbili tofauti wakashindana??? Muujiza wa mwalimu wa historia anakandia ma-doctor wamekosea operesheni, wakati dokta anaweza kuongea historia anytime akitaka while mwalimu wa historia hawezi hata kudunga sindano!!!!!!..........get it???

we endelea kumsifia Kimungu ntu Nyerere, wakati huo huo ati pia ni mpinzani wa CCM....halafu unashangaa kwanini sisiem wanawapiga bao kila siku!!. Ndio maana Senator and Dr Bill Frist made a good politician out of himself.!!!!!!!!
 
haya wacha nikupe ushindi basi; naona bila kejeli na dharau huwezi kujenga hoja. Labda hiyo ndio tofauti kati ya msomi kama wewe na mimi mkulima.
 
maskini wa Mungu YNIM, yaani Wafaransa ndio watu wa kuchukulia mfano... ndiyo haya haya ya kuabudu wazungu na kukimbilia wanafalsafa wa "ng'ambo" wakati wa kwenu wenye hata hamuwatambui. Hivi unamjua mwanafalsafa yeyote wa Kitanzania?

Mi nawajua wawili.....Mwanakijiji na Nyerere....
 
haya wacha nikupe ushindi basi; naona bila kejeli na dharau huwezi kujenga hoja. Labda hiyo ndio tofauti kati ya msomi kama wewe na mimi mkulima.

sawa.....mmeng'ang'ania(wewe na mwk) msomi msomi, kila siku mna-recycle kitu hicho hicho, vipi jelous nini???. Hiyo tabia yenu ya kuzodoa watu, kujaribu ku-demize na kufanya walivyonavyo au mafanikio na maneno yao kuyatumia against wao........ndio yanawatia matatizoni.!! Mmekuwa hamu aminiki, limekuwa kama chezo la kuigiza na cha kusikitisha zaidi mnatabirika nini mtaongea ktk hatua inayofuata!!!.

Sipo ashamed of who iam, nitaendelea kutoa mawazo yangu hapa kama ninavyofikiria na sio kama anavyofikiria mwingine yeyote akiwemo na MKJJ na boo wake MWK. Nita-share chochote ninachojua na wengine zikiwemo life xperience zangu. Nipo proud na mimi.......kwahiyo NYIE endeleeni na hiyo HARVARD sijui msomi, mnatabaki hivyo na majungu yenu!!!.

I don't give a shit bro........my name is YNIM....ushindi ulonipa baki nao mwenyewe!!!.
 
Bin Maryam, sijawahi kujiita "msomi mzuri" wa kitu chochote. Elimu yangu ni ya darasa la saba tu. Wasomi wazuri wapo hapa.

Mwanakijiji:

Kuna posti yako moja ulisema unaielewa vizuri historia. Tukiachana na mambo ya usomi.

Kwa upande wangu Ujamaa ni mbaya. Pamoja na ubaya wa Ujamaa, sioni kwamba Nyerere alifanya vibaya kufikiria Ujamaa.

Wagiriki walikuwa na wanafalsa wazuri sana kama vile Aristotle. Na mpaka sasa watu wanamsifia sana. Lakini waliosoma mambo ya Cosmos (sayansi ya ulimwengu) wanaelewa kuwa ni Aristotle alianzisha nadharia ya kuwa DUNIA NI CENTER YA UNIVERSE (Jua, Nyota na sayari zinazunguka dunia).

Nadharia hii ilikubalika kwa zaidi ya miaka 1500 mpaka Copernicus alipokuja na kusema kuwa DUNIA SI CENTER YA UNIVERSE.

Mafanikio ya Copernicus yalitokana na yeye kupitia kazi za Aristotle na kuweza kugundua mapungufu ya nadharia DUNIA NI CENTER YA UNIVERSE.

Deng Xiaoping aliona mapungufu ya Mao Tse-Tung na China inaendelea sio kwa ujamaa wa Mao. Kwa sababu yale aliofanya Mao yalifikia saturation point (au bubble burst) na juhudi zozote zilikuwa zinaleta hasara zaidi kuliko faida.

Nyerere alitaka tuupokee ujamaa kama absolute truth (Ujamaa ni Imani). Mliopokea ujamaa kama imani mna haki ya kuamini bila kuuliza ukweli.

Kuna baadhi yetu wakina Copernicus au Deng Xiaoping uchwara tunaochukua Ujamaa na siasa zingine kama njia za kuleta maendeleo ya kijamii. Hivyo, tunaposhindwa kuyaona maendeleo tunarekebisha au tunabadilisha mfumo mzima kabisa.
 
Bin Maryamu, pointi nzuri na unachosema ndicho Nyerere alisema. Tunajifunza tulikotoka, tunayaacha mabaya na mapungufu na tunashikilia na kuyaendeleza yaliyo mema. Nyinyi mnataka tuyaache hata mema!

Ni kushindwa kwa nyinyi wasomi wetu kuweza kujenga hoja ya kifalsafa ya kwanini tunaweza kujenga TAifa la kisasa lenye kutufaa sisi wenyewe na badala yake tumekuwa ma copy cats of western thoughts! Tunaogopa kuukosoa Ubebapari kwa kuhofia kuonekana wajamaa. Marekani yenyewe na kuwa kilele cha Ubepari mwakani sitashangaa kama watawapa watu wenye mlengo wa kijamaa uongozi wa nchi (by the way, Democrats kimsingi ni mawazo ya ujamaa katika ubepari).

YNIM, kwa mtu anayeongozwa na hisia kama wewe naweza kuelewa kwanini unareact unavyo react kwenye post zako nyingi. Sasa ninaelewa kwanini mimi na wewe hatuwezi kujadiliana kiakili.
 
Waungwana Thread Hii kwa nini isirudishwe kwenye Jukwaa la Siasa?Kuna mambo mengi na muhimu ya kujifunza katika Historia yetu!

Kuna wengi wamepitia humu na kusifu Upeo wa wanachama humu kwa uelewa wa Historia ya Nchi yetu.P/se Wahusika irudisheni Thread hii kwenye Siasa, bado ina nguvu na umuhimu kuliko baadhi ya thread zilizopo kwenye Jukwaaa la siasa.
 
Heshima kwa wakubwa wote!
Duu hii mada ina mielekeo mingi tofauti. Kwa mtazamo wangu, Kambona alikuwa na mazuri na mabaya yake. Anayeangalia mazuri tuu bila kujadili mabaya, anapotosha ukweli. Na anayeangalia mabaya tu bila kukubali mazuri nae anakosea.

Nyerere nae ana mazuri na mabaya yake. Kuhusu sera za Ujamaa, kuna vitu alikosea, lakini kwa ujumla naona Ujamaa ulikuwa na nia nzuri. Kusema kwamba mali za nchi zimilikiwe na wananchi wenyewe ni sawa. Wazungu wao wanataka kuchukua sehemu zote zenye mali asili muhimu na kuingilia siasa za nchi za watu. Kwa mfano, Lumumba na Congo. Tanzania ingewezaje kuwa na uhuru wa kufuata sera za mambo ya nje wanazotaka kama makampuni yote muhimu yangekuwa yanamilikiwa na watu wa nje? Wengi wanapenda kusema kwamba Ujamaa ulikufa kwasababu ulikuwa na sera mbaya. Katika mizunguko yangu, nimegundua kwamba nchi za Ulaya na Marekani walifanya kila waliloweza kuhakikisha Ujamaa unakufa. Kuna makosa yalifanywa nakubali, lakini tusisahau kwamba nchi za Kibepari zilihakikisha Ujamaa hauendelea. Msimamo wangu kwenye hili ni kwamba nchi za kibepari hazikuipa Ujamaa nafasi ya kufanikiwa.

Kitu kingine ningependa kuwakumbusha ni kwamba kuna nchi za Ulaya zinazofuata sera za kijamaa na wana mafanikio makubwa, kwa mfano nchi za Scandinavia. Sio sera zote za Kijamaa zina upungufu. Ubepari una mengi mapungufu na nina ukakika kwamba hiyo system itakufa. Wachache matajiri watazidi kuwa matajiri, na wengi masikini watazidi kuwa masikini. Matoke yake ni mapinduzi. It is inevitable.
 
Maswali, unachosema ni kweli kabisa; Ubepari ni kinyume na ujamaa na ujamaa ambao siku hizi unafuatwa kwa jina la "liberalism" kimsingi ni ujamaa wa Mwalimu ambao msingi wake hauko katika umilikaji wa njia kuu za uzalishaji mali (ownership of means of production) na unaelekea sasa hivi kwenye ugawanaji wa mali inayozalishwa (distribution of wealth).

Leo hii kati ya tofauti kubwa ya Republicans (ambao ni watetezi wakubwa wa mfumo wa Ubepari) na wale Democrats (watetezi wa social capitalism a.k.a Ujamaa Mamboleo) ni kuwa democrats wanaangalia na kutaka kutoa nafasi kuwa katika nchi yenye utajiri basi kila mtu ananufaika na utajiri huo wakati wale Republicans bado wanazungumzia suala la individual profit na kingine chochote ni hisani tu ya wale walio matajiri.

Nchi za Kiskandinavia zimeweza kufika kwenye balance hiyo kati ya economic capitalism na hii social capitalism na ndio maana utaona kuwa Nchi kama Marekani kwenye Human Deelpment Report siyo ya kwanza na nchi za Skandinavia zimekuwa zikiongoza kwa muda mrefu sasa.

Ninaamini kabisa kuwa endao tutaangalia nadharia ya Ujamaa kama Mwalimua alivyouona intellectually tunaweza kutengeneza nadharia mpya kabisa ya ujamaa ambayo haitapingana moja kwa moja na mfumo wa Ubepari. Hapa ndipo tunahitaji wasomi wetu kutusaidia kuchambua na kunyambulisha suala hili.
 
Back
Top Bottom