mguu ndama
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 263
- 121
Huyu alikuwa mtanzania mwenye fikra pevu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweliHata Gorbachev nae ana watu wake wanaomkubali. Hata Fisadi mkuu au jambazi nae akiwa mtoaji mkuu wa msaada katika jamii, siku akikamatwa, hakosi watetezi.
Ndugu zanguni,Mjadala mzuri sana.
Matusi tu ndio hatuyataki kwakuwa tunajifunza mengi sana ambayo hatukuyajua.
Good question. Mimi kuwa mfuasi wa jumuiya fulani ya dini na nikawa mkereketwa wa chama Fulani cha siasa kuna kosa?Asante kwa taarifa hii, where is the interlinking?.
P.
Hakuna kosa lolote sababu dini sio siasa.Good question. Mimi kuwa mfuasi wa jumuiya fulani ya dini na nikawa mkereketwa wa chama Fulani cha siasa kuna kosa?
Kama hivyo ndivyo, basi historia ya TAA isihusishwe na Uislamu.Hakuna kosa lolote sababu dini sio siasa.
Paskali
Ukiona watu wana nasibihisha dini na siasa hao wote ni muflisi wa kisiasa.Kama hivyo ndivyo, basi historia ya TAA isihusishwe na Uislamu.
Swadakta.Ukiona watu wana nasibihisha dini na siasa hao wote ni muflisi wa kisiasa.
Muflisi wakiona wamefilisika hivyo kushindwa kujihalalisha kisiasa, watatumia ukanda, ukabila na udini ama kutaka kujihalalisha au baada ya kushindwa, wakatumia hoja hizo kutafutia scapegoats wa kushindwa kwao.
Mwalimu Nyerere aliwaita watu hawa ni wajinga tuu.
P