Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ni muhimu kuandika historia upya kwa mambo mengi tuliyo ambiwa kiimla.Watu tumekalilishwa mambo bila kujua ukweli,hongera JF kwa kutufumbua wengi.Kwa mfano hivi kweli yule jamaa aliongoza mapinduzi pale kisiwani? mbona kuna habari kuwa Mganda mmoja ndiye aliyeongoza na hakuna anayekanusha? Au jina Tanzania ni nani alitunga mbona hatuambiwi? Hivi ni kweli jamaa alijiuzulu Uwaziri mkuu wa kwanza au kulikuwa na mshikeli ndani ya bunge kuhusu Wazawa wenzake? Jamani wenye uwezo waandike historia vizuri.

it is true according to my capacity of understanding. however here at JF and in tanzania at large nothing will be left unturned.
 
Samahani jamani sio kwamba nataka kutoka katika mada, naomba mada iendelee, lakini nina swali, kuna mtu anamfahamu Eli Anangisye? ni mmoja wa watu waliowekwa kuzuizini wakati huo, mimi ni mtoto wake lakini sielewi mengi kuhusu yeye kwa sababu alikufa wakati mimi ni mtoto mdogo. Kwa wanaomjua au wanajua lolote kuhusu yeye please. Samahani kwa kuingilia hapa, ila naona na yeye alikuwepo kwenye kundi la Kambona kwa sababu niliambia alikuwa anaupinga ujamaa kwamba usingelifikisha taifa popote. Alikuwa ni Mbunge wa Rungwe na Katibu mkuu wa umoja wa vijana wa CCM miaka hiyoo.
 
Tunatambua kuwa kuna watu muhimu sana katika nchi yetu moja ya watu hao ni aliyekuwa waziri wa ulinzi Mh OSCAR KAMBONA,Sijui historia yake imepotelea wapi,kwani toka nasoma shule ya msingi sijawahi on maandishi yanamzungumzia waziri huyu.Naomba na nyadhifa zingine alizowahi kuzitumikia kwa wale waliomfahamu.
 
Mkuu,
Histori yake imebakia vichwani mwa watu wachache ambao wanaweza kufa nayo hiyo histori,kuna kundi la watu ambao watakua tayari kumziba mdomo mtu yoyote atakaye zungumzia historia ya ukweli ya Nchi na watu muhimu kama Kambona na wengine, kinyume na propaganda nyingi zilizo kwisha tolewa.
 
...Othman Shariff na Abdallah Kassim Hanga(last PM of Zenjj)...historia zao alienda nazo marehemu Col.Seif Bakari
 
...Othman Shariff na Abdallah Kassim Hanga(last PM of Zenjj)...historia zao alienda nazo marehemu Col.Seif Bakari
Mkulu Safari,

naelewa unacho kisema.
Nibaadhi ya watu wachache wanajua mambo muhimu kama hayo na ukita kuyaweka wazi basi vikwazo rundo vitajitokeza
 
Tujue kua kizazi hiki hakimfahamu kabisa,tunaomba mtusaidie tumfahamu huyu mtu.
 
Mkulu Safari,

naelewa unacho kisema.
Nibaadhi ya watu wachache wanajua mambo muhimu kama hayo na ukita kuyaweka wazi basi vikwazo rundo vitajitokeza

Inadaiwa Mwalimu alimkabidhi Col watu hawa awatunze baada ya kuuwawa Karume....baadae alipomuuliza walipo na hali zao zilivyo akamjibu hajui...na hakufanywa kitu...mpaka leo hata kaburi zao hazijulikani zilipo...Tanzania sometimes historia yake ni weird enough...
 
Mzee Jumbe yuko Mji Mwema miaka na miaka lakini hamna anaye thubutu kuuliza kwanini harudi hata Zanzibar kutembea mpaka anazeekea hapo.na shughuru za kiserikali anapaswa kuwepo lakini hata moja haudhulii.
Hivi waandishi wako wapi,wale wanaaojiita wa Habari za kipelelezi,nimewapa angle ya habari fanyeni hima.
 
Wanaogopa wasifikwe na ya Jerry Muro
 
Yule jamaa image yake ilikuwa tarnished mbele ya jamii toka enzi hizo za ..zidumu fikra sahihi za Mkiti..., kwahiyo ni kama alizirwa na jamii ya kitanzania, ndo maana hakuna waliojihusisha katika kuandaa maandiko yake, wala kuyatafuta.
 
nime i-google hii kitu,nimeona ilishakuwa posted here ila kitambo kidogo.
Kuna watu wamejaribu jaribu kufatilia kidogo PJ kuna mwandishi fulani wa vitabu jina limenitoka kidogo wa Tanga alishawahi kuzungumzia haya maswala.kitu cha ajabu huyu bwana alishawahi kuwa swahiba wa Julius Nyerere wakati fulani
 
Tujue kua kizazi hiki hakimfahamu kabisa,tunaomba mtusaidie tumfahamu huyu mtu.
Was Kambona That Bad?

This article originally appeared on my blog, but given its importance, I thought it would be nice for all of us to share.
An old respectful Tanzanian lady dropped by for a visit last night. She dropped her hello for my brother who just moved to the US from Tanzania. That was a wonderful courteous Tanzanian gesture. Quite naturally, the conversation touched on politics and maendeleo topics. Given that my brother just landed, we all expected a fresh perspective from Tanzania. Obviously, when you talk about maendeleo you cannot avoid throwing Mwalimu Nyerere into the mix.

I have had a taste of what it meant to live in the Nyerere era. I understand the mystique around this late dude. This lady happened to be an old guard who strongly believe that Nyerere is the best thing that has ever happened to Tanzania.

Really?

How do we know that Nyerere was the best thing? See the problem I have with folks who regard Nyerere highly is that we dont the alternatives, at his time, to make a logical, objective comparison. I am not even sure if we know Nyerere for who is or what he wanted Tanzanians to believe. He managed to create an aura of admiration and worship. He created an atmosphere where no one would question his ideas.

Remember the days when we couldnt read anything other than Uhuru, Mzalendo, Daily News and Sunday News before Mfanyakazi came into existence to provide some kind of an entertainment relief? You remember the days when the 8:00 PM RTD news bulletin would be followed up by a Ujumbe wa Leo propaganda? I have to give it up to Nyerere. He ensured that Tanzanians couldnt run or hide from his ideology. If you feed someone junk for twenty (20) years, they would believe that crap. He even went as far as insulting our intelligence by putting a hoe against himself in the election. A hoe or a hammer, can you believe that? Who elects a hoe as the president?

What ticks me off is the fact that he forced us to sing derogatory songs against Oscar Kambona. We sang this tune during our morning mchakamchaka routines in High School, Kambona ameolewa! Wapi?! Wapi?! Uingereza! Was Kambona really that bad? What is the historical truth?

Since I was born past the time Kambona took off, I had to dig into the history materials to find out for myself. This is what I found.

When the TANU National Executive Committee met in Arusha January 26-29 1967 it turned out to be a stormy session. At this meeting Nyerere proposed that Ujamaa become the official policy of the government. Oscar Kambona objected strongly to this policy. Twice during these sessions, the Executive Committee adjourned in order to allow their three leaders, Nyerere, Kambona and Kawawa to go into private session. Each time that they returned to the Executive Committee it was apparent that Kawawa had supported Nyerere to defeat Kambona. The result was that the Arusha Declaration was adopted.

Source: Maryknoll Africa

It gets me mad to realize that I actually sang derogatory songs against an individual who did nothing wrong. If at all, his crime was to express his opinion against Nyereres utopian dreams. The worst part is the fact that the introduction of free market economy has proven that Kambona was right and Nyerere's ideas were just a disaster in the making.

This artile is not whether Kambona was better than Nyerere, and vice versa. It is intended to push us into taking a very hard look at our history and what we have been long taught and gauge whether our perspective and perceptions are correct. But in order to effectively do that, we have to be objective and let go of our political biasness. Unfortunately, the Tanzanian history is tangled with Nyereres legacy.

In order for us to create the right future, we have to unearth some of the wrong foundations and beliefs that we have held on for so long. I dont want my children to grow up thinking that Nyerere was the best think that has ever happened to Tanzania, while that could not an objective assessment. I dont want my kids to grow up thinking that Oscar Kambona, Mzee Mapalala, or Kassanga Tumbo were villains simply because they didnt fit into Nyereres thinking. That is the point.
I strongly believe that we owe it to ourselves to query as to whether the little we know, particularly on Kambona's disagreement on Ujamaa, is enough to sideline this man and negatively portray his contribution the way Nyerere did.

So the question of the day is: Was Kambona that bad?

nimeito hapa OFFICIAL HABARI TANZANIA,www.habaritanzana.com
 
najua kutakuja watu hapa hapa JF kupinga haya lkn Mkulu TICHA waweza kuchambua mchele na pumba
 
Tunatambua kuwa kuna watu muhimu sana katika nchi yetu moja ya watu hao ni aliyekuwa waziri wa ulinzi Mh OSCAR KAMBONA,Sijui historia yake imepotelea wapi,kwani toka nasoma shule ya msingi sijawahi on maandishi yanamzungumzia waziri huyu.Naomba na nyadhifa zingine alizowahi kuzitumikia kwa wale waliomfahamu.

Hitoria yake yaweza patikana hapa chini,japo kwa uchache;

http://en.wikipedia.org/wiki/Oscar_Kambona
 
huwa nachukia sana nikikumbuka niliimba nyimbo za kumkashifu kambona huko primary school from 1992 -1996.Seriously tunahitaji kujua historia nzuri ya kambona

Kuna mahali nilisoma kwamba alishawahi kuwa waziri wa ulinzi na mambo ya nje

Pia alikua katibu mkuu wa TANU
 
Toka alipovurugana na mzee wa kifimbo, jamaa walimfuta kabisa kwenye ramani ya walowahi kuwa viongozi wa nchi!
 
Wikipedia wamejitahidi japo kwa uchache kuizungumzia historia ya mzee Kambona...Ukigonga link hiyo hapo juu utamuelewa Kambona ni nani...
Balantanda... hii profile imeandikwa vizuri sana, kikubwa zaidi imekua relatively neutral, which is what we need!!! Mimi ni mmoja wa watu tuliosoma enzi zile za mchakmchaka na kejeli kwa ndugu yetu kambona, ingawa nilipata bahati ya kujua ndugu zake wengisana

personally nilikuja jifunza kwamba kambona meant well for this nation ila tu alikua 30 years ahead of time!!!

may his soul rest in eternal peace
 
Toka alipovurugana na mzee wa kifimbo, jamaa walimfuta kabisa kwenye ramani ya walowahi kuwa viongozi wa nchi!
absolutely, na hili ndio tatizo la historia ya tanzania, vitu vingi vinahitaji re-writing!!!

wako wengi sana wamefutwa kwenye historia ya nchi yetu, I AM PRAYING THAT COMPANERO HAS THIS AS ONE OF HIS PROJECTS!!! NAMUAMINIA SANA DOGO
 
Back
Top Bottom