Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Hivi baada ya Mwl.Jk nyerere kukiri kwamba ile sera ilishindwa,mbona hakutaka kugusia hata tofauti ya kisera kati yake na Kambona ,na kati yake na Edwin Mtei?

Jk Nyerere alikua kiongozi mzuri lakini alikua na hulka za kutotaka kupingwa,pengine ufuasi wake wa socialism ulijenga kahulka ka kidikteta fulani

Hata hivyo,mimi bado naona Kambona hajafanyiwa fair ktk history ya Taifa hili...bado tunadaiwa sisi kama watanzania.najutia tu nikiwa nursery 1992 nimeimba sana wimbo wa kumkejeli kambona,huku tukibadilisha kwa kuimba wa kumtukuza Nyerere, kawawa na karume.yaani kambona aliwekwa kundi moja la kejeli na Idd Amin.Kweli serikali yetu ilitufanyia experiment...natamani hata sasa niwa-demand an apolgy
 
Wabongo baadhi bwana kwa mkumbo!! kitu kikisemwa wanakibeba hivyo hivyo!!
Hivi watu wamewahi kujiuliza kuwa Afrika kusini alieanzisha vuguvugu la kupinga ubaguzi ni Mandela tu? mbona anatajwa yeye tu? yaani kabla yake watu wooote walikuwa wanafurahia ubaguzi wa rangi!!! Kwanini Mandela zaidi! wakati walikuwepo wengine kabla hata Mzee Madiba HAJAZALIWA?
 
huwa nachukia sana nikikumbuka niliimba nyimbo za kumkashifu kambona huko primary school from 1992 -1996.Seriously tunahitaji kujua historia nzuri ya kambona

Kuna mahali nilisoma kwamba alishawahi kuwa waziri wa ulinzi na mambo ya nje

Pia alikua katibu mkuu wa TANU

Yaani wewe uliimba nyimbo za kumkashifu Kambona mwaka 1992 hadi 1996 wakati tayari yeye alikuwa ni Rais wa chama halali cha siasa cha TADEA kilichoshiriki kikamilifu kwenye uchaguzi wa mwaka 1995?

You must be kidding
 
"Tanzanian Affairs"

KAMBONA RETURNS

January 1, 1993 at 12:57 am · Filed under Issue 44, Politics

Former Foreign Minister Oscar Kambona finally returned to Tanzania after 25 years in exile on September 5th. The Government had earlier announced that it would allow him into the country for three months during which time he would have to clear the question of his citizenship. He travelled on a United Nations document issued by the British authorities. He arrived smiling, with his daughter Neema, and was apparently, surprised at the number of people at the airport to welcome him.

But his appearance, according to ‘Africa Events', greyhaired and overweight, was a shock to Tanzanians ‘who remembered him as the debonair and jaunty side-kick of Nyerere, whose distinctive hair style was copied by the dashing young men of the time. His press conferences have revealed him as out of touch and preoccupied with settling old scores. '

"Millions in Foreign Banks"

Addressing a public rally of his party (TADEA) in Dar es Salaam on November 21 he alleged that Mwalimu Nyerere, former CCM Vice Chairman Rashidi Kawawa and Ambassador Amir Jamal had "millions of money deposited in foreign banks" He claimed that if the money was returned to Tanzania the country would not require to borrow again for the next ten years. For failing to support his allegations with any written evidence some people attending the rally complained that "Kambona amekwishatuacha kwenye mataa."

Mwalimu Nyerere later denied Kambona's allegations and challenged him to produce evidence. He told reporters that Kambona's utterances at his mass rally constituted a breach of the law. Mwalimu declared before the press that he doesn't have a penny abroad.

Later, Kambona was required by the lawyers of the three leaders to produce, within fifteen days from December 80, evidence to support his allegations. The letter from the lawyers demanded an apology. If Kambona failed to substantiate his claims he was threatened with legal action.
The Break with Nyerere

The Dar es Salaam ‘Express' published, two weeks after his return, a lengthy interview in which Kambona gave his version of the main reason why he broke his political partnership with Nyerere, It was because of Mwalimu's glorification of Mao Tse Tung, he said. On his return from a visit abroad, Nyerere had wanted to appoint him Minister of Rural Development to establish the kind of communal farming that Mwalimu had seen in China. Kambona refused the offer of the post and was not offered another one. "Why did you not just become a back bencher in Parliament. Why did you go to England?" "In order not to create instability. I had a large following especially among the youth. I had to make a statement that I had resigned because of ill health". Kambona also indicated in the interview that he was opposed to Nyerere on a number of other issues including the One Party State. He also answered a question about what he had been doing in London these past years. "I did business. I used to go to the Arab countries. But this did not last…. I then depended on income support in Britain. Every Tuesday you take your book to the Post Office".

The Army Mutiny

Asked in an interview in the ‘Business Times' why he had handed back power to Nyerere after the 1964 army mutiny he replied that it was because he believed that a leader must be elected by the people and Nyerere had been elected. Kambona, who was Minister of Defence at the time when Nyerere disappeared temporarily from the scene, said that he had been asked by foreign embassies and also by Mzee Jomo Kenyatta whether he was going to seize power. No, he had replied, it was his duty to see that the country remained peaceful. Are you still friends with Nyerere?" "I think that Nyerere is still my friend. We had no personal differences. Our differences were political. He believes in nationalisation and in the control of the economy.. , . I believe that the economy must be free,. . .when my party is registered we will bury the Arusha Declaration".

‘Stop Blowing Your Own Trumpet'

An irate reader of the Business Times', Balinagwe Mwambungu, found what he described as ‘all this mudslinging against our leader and father' too much to bear. He wrote, in a prominently displayed letter to the editor: ‘Kambona, history has recorded that you were at one time involved in a plot to overthrow the Government of Tanzania by force of arms – ready to spill the innocent blood of the very people you profess to love. Deep in your heart you know that you did us wrong. Your vaulting ambition to rule would have led this country into chaos….If Tanzania was under a tyrant, as you claim, and the Arusha Declaration oppressive (why did you have to) go into exile? (Are you) a shepherd that runs away when a wolf attacks the flock? I admire leaders who, despite the country's poverty, refused to let anyone die of hunger. Acquaint yourself with the realities prevailing in the rural areas before unveiling the London-made Tanzania Democratic Alliance. Tanzania is a vibrant nation holding itself in esteem. It has a glorious history … I call you a hypocrite because you were the one who led the massive rally that demonstrated in support of the Arusha Declaration two days after its announcement on Sunday February 5th 1967. Remember? You wore a white ‘chou en lai' and had a megaphone in your hand and your voice went hoarse because of the singing and dancing, I was there…..

www.tzaffairs.org/1993/01/
 
Kambona has been discussed elsewhere by many Tanzanians, among them Professor Joseph Mbele, who had the following to say about Nyerere and Kambona in a discussion on the Internet; his presentation is just one among several on this web site:

mettyz-bongoland-reflections.blogspot.com/.../leadership-is-nyerere-ultimate-standard.html

Hello Jaduong

Your comments exemplify very well the prevailing state of discourses on Nyerere among Tanzanians. Rather than reading Nyerere directly, they depend on second-hand sources, hearsay and their own imagination.

You say that we all agree that Nyerere's dream about Ujamaa "tanked. The truth is that many people around the world still believe that dream. Only recently, for example, Nobel Laurent Wole Soyika visited Dar es Salaam, where he defended Nyerere's dream.

Hearsay has become, for Tanzanians, the way to learn about Nyerere. People don't read his writings. I regularly hear Tanzanians saying, for example, that Nyerere conceded that Ujamaa had failed. The truth is that Nyerere never said such a thing. However, even among supposedly educated Tanzanians, the belief is widespread that Nyerere made such an admission. I challenge anyone to mention a speech by Nyerere, an interview, or a paper he wrote, in which he said that Ujamaa had failed.

Tanzanians regularly mention Kambona to back up their claim that Nyerere was intolerant of dissenting views. Again, people just make the claims, without evidence. They never present the specific ideas Kambona supposedly articulated which Nyerere opposed.

In the meantime, despite the absence of such evidence, regarding Kambona's thoughts and vision, the rumour continues, that Nyerere was intolerant of criticism.

I was at the University of Dar es Salaam from 1973, and a number of times Nyerere came there to debate with professors and students. We used to criticize him as an utopian socialist and we particularly scorned his view of class-less traditional African societies and his disdain for the notion of class struggle.

Numerous papers and books were published by people at the University of Dar es Salaam which were highly critical of Nyerere's ideas. Nyerere did not stop them. You can read those books, such as Issa Shivji's "Silent Class Struggle." You can read the various other publications, such as the "Maji Maji" journal.

Nyerere was an intellectual. As such, respected thinkers. He was also a teacher; he had no patience with intellectual laziness. The people who complained that Nyerere was muzzling them are probably still around. How come they are not writing their ideas so we can read them? Are they still afraid of Nyerere? I believe the problem with these people was, and remains, intellectual laziness.
 
The history is beautiful!

Nimekuwa nikiwaeleza wale mnaotaka kumlinda Nyerere au Kambona au sokoine au Kawawa au ...au....au.....

Dunia tunayoenda people will question these issues! haijalishi nani atasema au kuuliza at that time kiu ya kujua ukweli itakuwa kubwa sana.People have reached a stage of asking existence of God! still kuna watu wanaamini wanaweza kuzima watu kuuliza failure za historia ya Tanzania! nilitype kwenye google kujua failure za baba wa tafa la marekani 'george washington failures' just imagine miaka hiyo ya 1732!!!!!!!!!!!!!!!!!!! watu wanauliza leo na document zipo yet kuna watu wanafikiri Nyerere failure zake hazitasemwa, you must be mad even to try perevent that!!

Naandika hivi kwani siku za karibuni wamezuka kundi la watu kutuka kutukumbusha enzi za zidumu fikra za mwenyekiti wa chama, leo watu wakiuliza issue za ujamaa, arusha declaration, mambo kama haya ya akina Kambona, basi hao watu wanaonekana irritated na waulizaji wanaonekana wasaliti!! free thinking and laws of human rights demands fredome of expression!

Moto huu hamuwezi kuuzima, I repeat, hauzimiki, I adore JKN kila siku nasema hivyo ila haitatokea hata siku moja kutomkosoa alipokosea!
 
Mkuu mbona unachanganya madesa? kufeli masomo kuna relation gani na akili? and how much are you believing in publications? Halafu je condition ya muda huo ilimruhusu ku-publish? hivyo vitabu si vingechomwa moto?
Waberoya,
Basi kwa mantiki hiyo mimi ndiye nisiyeelewa maana ya kuwa na akili. Katika shule niliyosoma mtu aliyekuwa na akili hakuwahi kushindwa darasa au mtihani. Ndivyo ninavyoelewa maana ya kwua na akili. Kuhusu uchapishaji vitabu Kambona alikuwa Uingereza, nani angeweza kupiga marufuku machapisho yake nchini Uingereza? Marehemu Babu alipoondoka nchini aliendelea kuchapisha makala akiwa Marekani na Uingereza.Hazikupigwa marufuku huko au kuchomwa moto. Angalia muda wote ambao Kambona aliishi Uingereza mpaka aliporejea nyumbani. Hakufanya kitu. Hakuacha legacy yeyote. Endeleeni kum explore kama unavyosema lakini ukweli huo msiukwepe.
 
kwa hiyo wale wanaofaulu daraja moja mfano msingi kisha sekondari mambo yanawaendea kombo wanakuwa wamepoteza akili? mbona wapo
jamaa walikuwa wakali sekondari na wakifika chuo "wanashikwa mashati" na wale ambao walikuwa wanyonge wanapeta? ina maana hao wanaoshikwa
mashati wanakuwa wamepoteza akili na hao wengine "wamepata" akili?
 
Mkuu mbona unachanganya madesa? kufeli masomo kuna relation gani na akili? and how much are you believing in publications? Halafu je condition ya muda huo ilimruhusu ku-publish? hivyo vitabu si vingechomwa moto?
Waberoya,
Basi kwa mantiki hiyo mimi ndiye nisiyeelewa maana ya kuwa na akili. Katika shule niliyosoma mtu aliyekuwa na akili hakuwahi kushindwa darasa au mtihani. Ndivyo ninavyoelewa maana ya kwua na akili. Kuhusu uchapishaji vitabu Kambona alikuwa Uingereza, nani angeweza kupiga marufuku machapisho yake nchini Uingereza? Marehemu Babu alipoondoka nchini aliendelea kuchapisha makala akiwa Marekani na Uingereza.Hazikupigwa marufuku huko au kuchomwa moto. Angalia muda wote ambao Kambona aliishi Uingereza mpaka aliporejea nyumbani. Hakufanya kitu. Hakuacha legacy yeyote. Endeleeni kum explore kama unavyosema lakini ukweli huo msiukwepe.

naamini tatizo la kutoandika ni kubwa zaidi na si la kambona pekee yake. humtendei haki kambona kwa kufanya kutokuandika kwake ni kipimo
cha udhaifu wake. je ni viongozi wangapi tanzania wameandika vitabu?
 
Mkuu mbona unachanganya madesa? kufeli masomo kuna relation gani na akili? and how much are you believing in publications? Halafu je condition ya muda huo ilimruhusu ku-publish? hivyo vitabu si vingechomwa moto?
Waberoya,
Basi kwa mantiki hiyo mimi ndiye nisiyeelewa maana ya kuwa na akili. Katika shule niliyosoma mtu aliyekuwa na akili hakuwahi kushindwa darasa au mtihani. Ndivyo ninavyoelewa maana ya kwua na akili. Kuhusu uchapishaji vitabu Kambona alikuwa Uingereza, nani angeweza kupiga marufuku machapisho yake nchini Uingereza? Marehemu Babu alipoondoka nchini aliendelea kuchapisha makala akiwa Marekani na Uingereza.Hazikupigwa marufuku huko au kuchomwa moto. Angalia muda wote ambao Kambona aliishi Uingereza mpaka aliporejea nyumbani. Hakufanya kitu. Hakuacha legacy yeyote. Endeleeni kum explore kama unavyosema lakini ukweli huo msiukwepe.

Jasusi nakusikitikia kwanza kwa uelewa wako wa akili na kufaulu mitihani...sitakusaidia hapo unless uniombe nifanye hivyo! akili na kufaulu mitihani ni vitu viwili tofauti kabisa!! waliofeli darasa la saba(kwa maoni yako hawana akili!)...naomba hili tuliache hapa

Ukija kwenye publications kama alivyosema Kafara hapo juu, siyo criteria ya kujua kiongozi huyu mzuri au mbaya kwa sababu ya publications!!!!!! Mkwawa, Mirambo, Mputa, Rumanyika, Kimweri hawa wote walikuwa viongozi shupavu yet hawakuandika kitu!!, Sokoine ana publications zipi? au criteria yako inalenga kwa Kambona tu? ulichosem is NA-Not Applicable kwa kujua uzuri au ubaya wa mtu, try another criteria!!! JKN singeandika vitabu yet angekuwa kiongozi m'baya?? you must be kidding here! Au Mkapa kuandika vitabu then vitamsafisha kwenye matuhuma ya rushwa??
 
Waberoya,
Mimi labda sina akili. Ndio maana naendelea kujifunza. Lakini Nkrumah alipopinduliwa Ghana aliendelea kuandika vitabu akiwa Guinea. Huyu namweka kwenye kundi la wasomi na watu wenye akili. Nitajie kitu kimoja tu alichofanya Kambona ambacho kinathibitisha alikuwa brilliant, intelligent, visionary and what in my world naona kuwa ni mtu mwenye akili. Nitakusikiliza.
 
historia ya tanzania imepindishwa mno kiasi cha sisi wananchi kushindwa kuelewa ukweli ni upi.....its a shame
 
Waberoya,
Mimi labda sina akili. Ndio maana naendelea kujifunza. Lakini Nkrumah alipopinduliwa Ghana aliendelea kuandika vitabu akiwa Guinea. Huyu namweka kwenye kundi la wasomi na watu wenye akili. Nitajie kitu kimoja tu alichofanya Kambona ambacho kinathibitisha alikuwa brilliant, intelligent, visionary and what in my world naona kuwa ni mtu mwenye akili. Nitakusikiliza.

Ebu tuache ya kambona, Nyerere aliyeandika vitabu kama smart leader nani anavisoma? vinatumika wapi leo hii?

Kama nature yako na yangu siyo wasomaji wa vitabu( na ndivyo tulivyo) waandishi wa vitabu watatokea wapi?

Alifanya nini??

1. Alikuwa kiongozi aliyepigania uhuru wa taifa hili yeye pamoja na wenzake akina Nyerere, Kwawa n.k
2. First foreign affair minister
3. Ni mtu aliyepinga ujamaa at that time na hakuna aliyemsikiliza na ujamaa wa CCM ulifeli, na wewe ni shahidi!

Katika hayo huoni kuwa alifanya kitu??? sidhani kama kuna ubishi hapa.

Kosa unalotaka kufanya ni lile lililofanywa na vizazi vilivyopita, akina Kawawa wameheshimiwa unaweza kuuliza kaifanyia nini nchi hii?

Ili mradi mtu alikuwa katika serikali then lazima alifanya kitu fulani mr.Jasusi ukisomahistoria ya kambona sidhani kama swali lako lina mantiki! eti ameifanyia nini nchi hii!!!!!!!!!!!!

swali ni kwa nini historia ya nchi imejaribu kumfuta, je ubaya wake ulikuwa ni nini? je yaliyosemwa kuhusu yeye ni kweli? je..je...unapojibu haya msawali unakuwa fair na wewe mwenyewe na nafsi yako siyo swala la ushabiki hainiingii akilini wala watoto wako haitawaingia akilini kujua historia ya awali ya kambona kuhusu nchi hii na kwa nini imefutwa??? hupo??

Umesema kuhusu Nkrumah haujajibu akina Mkwawa waliacha vitabu gani!!!!!! I told you criteria yako ya kusema kiongoi mzuri kwa sababu ya kuandika vitabu iondoe, it does not work, yaani kama circuit breaker ukiwasha in trip down

Ukija kwenye dunia yako unayoisema ni kuwa siasa ya Nyerere ilishindwa! no matter how many books he wrote no matter how he was good in speech! he failed!!.period!

Free market economy aliyoisema Kambona na wenzake ndiyo it was the same solution! don't take me wrong walitakiwa wakae chini na kuona how each method could bring benefit to the people, hata hiyo free market it may have negative impacts at that time, how we as leader we can take advantage of each method and minimise weakness of each method!!!!

Socialism haina tatizo swala ni how you handle economy! this was a point of Kambona!

Soma hii article tujue tulinguka wapi:
http://www.empereur.com/tanzania.html

Ukimaliza kusoma hiyo article you will get two things!FAILURE IS A FAILURE NO MATTER WHO FAILED?

Kwenye riadha ukishindwa umeshindwa hajalishi ulikuw na speed gani hapo mwanzo. REASONS of failure is another thing

Ujamaa wa Nyerere na sera zake ulishindwa! period. kuwa ilitokea nini soma hiyo article. hawa wengine kwenye scholars'world wanaonekana walikuwa na akili kwa sababu simply mawazo yao ndiyo yanatumika sasa! baada ya awali kushindwa! ujamaa wa Nyerere ungefanikiwa mawazo ya akina Kambona na Mtei yangesahaulika na vizazi vyote vingeona yalikuwa batili! but it is no like that , just in one generations what they said seems right for current world!

Kama kweli Nyerere, Kawawa na wengineo waliamua kwa makusudi kabisa kutosikiliza hoja za Kambona kama ambavyo ilikuwa kwa Mtei then we had serious problem in leadership, we can only reach our best levels kwa discussion.

Hata leo wewe unaposema hauna akili( hauko hivyo najua)! just try to discuss with your fellow over the same topic, you will find how deep you are, even if you are weak you can be strong because what you know is what others know! discussion is a goal toward excellence kama hii theory Nyerere hakuwa nayo kama inavyoripotiwa basi hatukuwa na kiongozi mzuri. sidhani kama hili linapingika unless umweke Nyerere kwenye level ya Masiha au malaika!
 
Waberoya,
Tunarudi pale pale. Unasema ujamaa ulishindwa. Sawa. Unasema free market ya Kambona ndiyo iliyokuwa solution. Lakini hakuna mahali naweza kwenda kufanya reference ya free market ya Kambona na jinsi ambavyo ingetumika Tanzania. Hakuacha written record yeyote na alikuwa na muda mzuri tu alipokuwa mafichoni London kuiweka hiyo rekodi kwenye karatasi. Hakufanya hivyo. Kilichopo ni mahojiano tu ya magazeti akilaumu socialism na udikteta wa Nyerere. Hakuna mahali ambapo msomi leo anaweza kwenda na kupata mwelekeo kuwa this is what Kambona would have done. Na kuhusu ushauri wake ninavyofahamu hakutoa ushauri wowote wakati wa mjadala wa Azimio la Arusha. Yeye alipinga tu hasa kifungu cha viongozi kutomiliki majumba ya kupangisha na kuwa wakurugenzi katika kampuni. Kama alikuwa na mchango zaidi ya hapo angeuweka kwenye maandishi na leo tungekuwa tunazunguzia falsafa zake. Huo ndio mtizamo wangu na nitakubali kuwa mimi ndiye nisiyekuwa na akili kwa kumwona Kambona kuwa hakuna na akili.
 
Jasusi do not hide under that Umbrela ya kuwa una akili au la, wewe una akili na please from next post dont write that world, usijishishe sana kiasi hicho, we are all learning here ndiyo maana ya forums, we all bound to ask na kupata insight kutoka kwa watu wengine.

Ukirudia post yangu ya mwisho paragrapha za mwisho nimesema kuwa JKN, Kambona na wengineo walikuwa na uwezo wa kukaa chini na kutafuta suluhisho mbadala. strength za free market zinaingia kwenye sociliasm na wekaness za za free market zinazikwa na socialism. we had to had hybrid and robust systems na hii ingewezekana tu kama kungekuwa na kukaa chini na kuwa na majadiliano, ukisoma historia inainyesha babu yetu alikuwa yeye anajua kila kitu ' kumbuka 'zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama' that was violation of human righ yet JKN he expressed this in years.

Tusije tukatumbukia kwenye dimbwi la ubishi usio na tija kwa taifa letu, mazungumzo yengakuwepo kusingekuwa na migongano iliyotokea, na lack of open discussions na decision-making mpaka leo zipo na tunaona athari zake.

Naona umebana kwenye swala la alitakiwa 'kuandika' how free market was supposed to be done, swali angeandika wapi na nani angemsikiliza? inaonekana haujui Kambona alichukiwa kwa kiasi gani. Free market aliileta Mwinyi 1985 alisomea wapi? free market was there evene before Kambona! he needed not to write anything! Ujamaa wa JKN ulihitaji publications nyingi kwa sababu ulikuwa unique na alichanganya siasa za ujamaa nyingi sana za dunia hii, ule ulikwa ujamaa wa Tanzania na siyo worldwide , na sio kuwa JKN alikosea no it was right he did that na mimi na-mpa masifa mengi tu, hata kama ulifeli, but he meant good.

So Kambona hakutakiwa kuandika publications yoyote kuonyesha kuwa mawazo yake yalikuwa sahihi narudia tena ...Idea is an idea even if it comes from dump person. Kambona hata kama hakuwa na clear picture how and what he could do he still had IDEA na kama viongozi wanasema wanaongoza kwa teamwork it was good time to discuss that idea and to move with it or leave it lakini baada ya discussions lakini siyo fulani kumweka kwenye chungu la trators simply kwa sababu ana idea tofauti!!!!

I once again denouncing your standpoints, that publications is and should not be a criteria to show someone is a good leader or not. Kuna theory nyingi sana ambazo Einstein hazikuzidevelop alizisema kama idea na leo watu wanashinda maabara waki-experiment.

Unless kama unafanya direct comparison ya Nyerere na Kambona! no, no, just be outside of this box you will see clearly!

Lingine Jasusi waandishi wa falsafa ni wengi sana na wengine hawakuwahi kuwa viongozi na wala hawawezi kuwa viongozi ,hali kadhalika wewe Jasusi usipoandika kitabu leo sio kuwa huna akili na haitakuwa hivyo! If you believe that human should work together in this planet ndiyo utaona kuwa kila mmoja ana akili na ni kiungo, so futa hiyo statement ya kuwa Kambona hakuwa na akili, maana you may be pointing 4 fingers to you unknowingly! maana na wewe unahitajika kuandika falsafa zako at least uwaachie watoto! Lingine ili usiwe kwenye inferiority complex Nyerere kuandika vitabu haimaanishi alikuwa na akili kuliko wewe Jasusi! la kama ukisema kuwa na akili ni kuweka falsafa yako kwenye maandishi basi utaanza kuvua Umasiha wa Yesu na utume wa Muhammad because they never wrote they just said na walioandika ni wengine kabisa waliokuwa karibu nao. Wala haiwafanyi wale walioandika habari za hawa mitume kuwa na akili! wengine hawakuwa na muda wa kuandika ila kutekeleza. Mwinyi hakuhitaji maandiko alijua freemarket is needed akaiweka kwenye action what else do yo need? japo alipitiliza free ikawa freely! I insist kusikilizana kulitakiwa kuwepo!

Kama sijakuridisha kwenye 'dunia 'yako basi please tuzungumzie maada zingine kwa kuelimishana na siyo issue za kuwa 'alitakiwa kuandika falsafa yake' kuwa ndiyo kigezo cha mtu kuwa na akili!!! ukisimamia hapo kaka umeshinda will certainly discuss issue zingine , you may be free to choose what you believe. ukishikilia msimamo wako shikilia tu hakuna tatizo mkuu but I believe JF is a place to learn na kujifunza huko ni pamoja na kujenga hoja globaly.

However thanks for your kind advice kuwa ili binadamu uonekane na akili then andika kitabu. ukisema Kambona hakuna na akili then umesema binadamu wote! unless kama ilikuwa proved ana kichaa!
 
I Kufukuzwa kwa kambona kwa sababu ya kutofautiana kimawazo na Nyerere ulikuwa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, na it takes only foolish one to say that very act was right! '' zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama' was a wrong statement. Kama unampenda sana mtu aliyedidimiza na kuona mawazo yako hayafai ili hali ukiitwa baba wa familia!! mwenye ndevu na manhood!, still unasema unampenda huyo mtu,then this manifests that brains damage caused by that very statement is beyond repair!
 
Kambona hakufukuzwa, ama kutoka TANU au kutoka Tanzania. Kilichotokea baada ya ule mkutano uliopitisha Azimio la Arusha, Kambona alichaguliwa kuwa waziri wa Rural Development. Yeye, (nadhani) aliona hiyo kuwa ni demotion. Alimfuata Mwalimu na kumwambia kuwa ana matatizo ya afya na angependa kupumzika kidogo. Hakusema kuwa ana resign au haitaki hiyo post. Mwalimu akamshauri aende amwone daktari mmoja Holland ambaye alikuwa rafiki ya Mwalimu, na alikuwa tayari kumtibu Kambona gratis (without charge). Months later, in 1967 Kambona akaomba likizo nyingine. Akaenda Moshi. Wakati huo marehemu Lucy Lameck akamtaarifu Mwalimu kuwa Kambona ana mpango wa kujiuzulu. Mwalimu alinyamaza. Kambona left Tanzania baada ya "watu wake" katika jeshi na usalama wa taifa kuanza kukamatwa mmoja mmoja na kuwekwa kizuizini. The rest you know. Hakufukuzwa kabisa.
 
ukiona ndugu, jamaa, rafiki zako wanakamatwa na kuwekwa
kizuizini wewe utabaki?
 
Jasusi,
Umenena yote na wala hamna cha kuongezea, ni historia ambayo wengi walikuwa hawajui
 
Waberoya,
Kambona hakufukuzwa, ama kutoka TANU au kutoka Tanzania. Kilichotokea baada ya ule mkutano uliopitisha Azimio la Arusha, Kambona alichaguliwa kuwa waziri wa Rural Development. Yeye, (nadhani) aliona hiyo kuwa ni demotion. Alimfuata Mwalimu na kumwambia kuwa ana matatizo ya afya na angependa kupumzika kidogo. Hakusema kuwa ana resign au haitaki hiyo post. Mwalimu akamshauri aende amwone daktari mmoja Holland ambaye alikuwa rafiki ya Mwalimu, na alikuwa tayari kumtibu Kambona gratis (without charge). Months later, in 1967 Kambona akaomba likizo nyingine. Akaenda Moshi. Wakati huo marehemu Lucy Lameck akamtaarifu Mwalimu kuwa Kambona ana mpango wa kujiuzulu. Mwalimu alinyamaza. Kambona left Tanzania baada ya "watu wake" katika jeshi na usalama wa taifa kuanza kukamatwa mmoja mmoja na kuwekwa kizuizini. The rest you know. Hakufukuzwa kabisa.

Thanks Jasusi for this new dimensions of what real happened, just see my posts I have been asking questions and judge from information that I have. Na ndio napata shida sana na historia ya nchi yetu, inaonekana kila mmoja anajua kivyake na tunakoenda kweli kabisa tutaipoteza

umeisoma wapi hii? how can I get more and more of this information

It seems we have to know more before concluding anything in this country, na ndio napata shida tunaenda wapi

Thanks Though
 
Back
Top Bottom