Waberoya,
Mimi labda sina akili. Ndio maana naendelea kujifunza. Lakini Nkrumah alipopinduliwa Ghana aliendelea kuandika vitabu akiwa Guinea. Huyu namweka kwenye kundi la wasomi na watu wenye akili. Nitajie kitu kimoja tu alichofanya Kambona ambacho kinathibitisha alikuwa brilliant, intelligent, visionary and what in my world naona kuwa ni mtu mwenye akili. Nitakusikiliza.
Ebu tuache ya kambona, Nyerere aliyeandika vitabu kama smart leader nani anavisoma? vinatumika wapi leo hii?
Kama nature yako na yangu siyo wasomaji wa vitabu( na ndivyo tulivyo) waandishi wa vitabu watatokea wapi?
Alifanya nini??
1. Alikuwa kiongozi aliyepigania uhuru wa taifa hili yeye pamoja na wenzake akina Nyerere, Kwawa n.k
2. First foreign affair minister
3. Ni mtu aliyepinga ujamaa at that time na hakuna aliyemsikiliza na ujamaa wa CCM ulifeli, na wewe ni shahidi!
Katika hayo huoni kuwa alifanya kitu??? sidhani kama kuna ubishi hapa.
Kosa unalotaka kufanya ni lile lililofanywa na vizazi vilivyopita, akina Kawawa wameheshimiwa unaweza kuuliza kaifanyia nini nchi hii?
Ili mradi mtu alikuwa katika serikali then lazima alifanya kitu fulani mr.Jasusi ukisomahistoria ya kambona sidhani kama swali lako lina mantiki! eti ameifanyia nini nchi hii!!!!!!!!!!!!
swali ni kwa nini historia ya nchi imejaribu kumfuta, je ubaya wake ulikuwa ni nini? je yaliyosemwa kuhusu yeye ni kweli? je..je...unapojibu haya msawali unakuwa fair na wewe mwenyewe na nafsi yako siyo swala la ushabiki hainiingii akilini wala watoto wako haitawaingia akilini kujua historia ya awali ya kambona kuhusu nchi hii na kwa nini imefutwa??? hupo??
Umesema kuhusu Nkrumah haujajibu akina Mkwawa waliacha vitabu gani!!!!!! I told you criteria yako ya kusema kiongoi mzuri kwa sababu ya kuandika vitabu iondoe, it does not work, yaani kama circuit breaker ukiwasha in trip down
Ukija kwenye dunia yako unayoisema ni kuwa siasa ya Nyerere ilishindwa! no matter how many books he wrote no matter how he was good in speech! he failed!!.period!
Free market economy aliyoisema Kambona na wenzake ndiyo it was the same solution! don't take me wrong walitakiwa wakae chini na kuona how each method could bring benefit to the people, hata hiyo free market it may have negative impacts at that time, how we as leader we can take advantage of each method and minimise weakness of each method!!!!
Socialism haina tatizo swala ni how you handle economy! this was a point of Kambona!
Soma hii article tujue tulinguka wapi:
http://www.empereur.com/tanzania.html
Ukimaliza kusoma hiyo article you will get two things!FAILURE IS A FAILURE NO MATTER WHO FAILED?
Kwenye riadha ukishindwa umeshindwa hajalishi ulikuw na speed gani hapo mwanzo. REASONS of failure is another thing
Ujamaa wa Nyerere na sera zake ulishindwa! period. kuwa ilitokea nini soma hiyo article. hawa wengine kwenye scholars'world wanaonekana walikuwa na akili kwa sababu simply mawazo yao ndiyo yanatumika sasa! baada ya awali kushindwa! ujamaa wa Nyerere ungefanikiwa mawazo ya akina Kambona na Mtei yangesahaulika na vizazi vyote vingeona yalikuwa batili! but it is no like that , just in one generations what they said seems right for current world!
Kama kweli Nyerere, Kawawa na wengineo waliamua kwa makusudi kabisa kutosikiliza hoja za Kambona kama ambavyo ilikuwa kwa Mtei then we had serious problem in leadership, we can only reach our best levels kwa discussion.
Hata leo wewe unaposema hauna akili( hauko hivyo najua)! just try to discuss with your fellow over the same topic, you will find how deep you are, even if you are weak you can be strong because what you know is what others know! discussion is a goal toward excellence kama hii theory Nyerere hakuwa nayo kama inavyoripotiwa basi hatukuwa na kiongozi mzuri. sidhani kama hili linapingika unless umweke Nyerere kwenye level ya Masiha au malaika!