Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

Khaaa mkuu hebu niombe radhi ili tuendelee na hoja
 
Nimeipenda sana hii,
 
Umesema ilani nia ahadi ya mgombea au chama na si ahadi ya serikali sawa,tukiwa ktk uchaguzi maana yake tuna wagombea na si raisi uchaguzi ukiisha ndio tunapata raisi baada ya kuchaguliwa kwa kula nyingi mpaka apo maana yake ilani inakua imeshageuka kutoka ahadi ya mgombea na chama kuwa ahadi ya raisi kwa wananchi wake apa sasa kwa mujibu wa sheria zetu tunakua hatuna raisi tu bali tunakua na serikali inayoongozwa na raisi ,na kwann naona sio sawa kusema raisi tu katoa iki au iki tunapokusanya kodi hatuangalii apa uyu raisi na chama chake walishinda au hawakushinda na hatukusaji kodi kwa kuangalia vyama na kubwa zaid kodi haikusanywi kwa ajil ya raisi bali kwa ajili ya serikali ambayo kiongozi wake ndio raisi ata misaada inayotoka nje iwe fedha au chochote haletewi raisi inaletewa serikali ya tz kwa ajil ya watz kusema raisi katoa iki sawa je katoa alikua nacho katoa ktk mshahara wake au katoa kwa sababu ndio kaz yake na ndio msimamiz wa kila ktu jibu ni kwa kwamba inatamkwa ametoa ni kwa sababu ana mamlaka ayo kwaiyo ni vzur tusikie inatamkwa kwamba serikali inayoongozwa na raisi fulan imetoa au imefanya iki na iki,maana unakuta inatamkwa tu raisi amefanya iki au ametoa iki wakat mwingne iko kitu hakitok au akifanyik kwa sababu sio kwamba anakua anatoa kwa mkono moja kwa moja au anafanya kwa mkono moja kwa moja ila kwa kaur yake na mamlaka yake kuna watekelezaj apo ambao muda mwangine wanafanya vingine
 
Nimeelewa
 
Hata USA utasikia,"the New Joe Biden Decree will put $10,000 every month in the hands of low income families"
 
Imekaa vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…