Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

Chaguzi zingekuwa huru na haki maneno hayo yanaakisi sawia hoja hii.Kwa chaguzi hizi za uporaji maneno hayo si sahihi kabisa kuyatumia,ni batili.Naelewa ulilijua vema hili.
 
Chaguzi zingekuwa huru na haki maneno hayo yanaakisi sawia hoja hii.Kwa chaguzi hizi za uporaji maneno hayo si sahihi kabisa kuyatumia,ni batili.Naelewa ulilijua vema hili.
Chaguzi zinaondoa nini hapo mkuu?
 
Ilani ni ya chama na siyo serikali! Endapo chama kitashinda Uchaguzi hapo kinalazimika kuwasilisha ilani yake bungeni ili itengenezewe mpango wa utekelezaji na bajeti.
Mkuu unabisha nini,

Mgombea atoe ahadi then ashinde,

Atekeleze then tuseme ni serikali,
 
Labda nikuulize "ilani inayotekelezwa ni ya Rais au ya chama kilichi0unda serikali"? Ilani anayotumia rais wenu wa sasa ni ile ile aliyotumia rais wenu jpm? Naomba uliyeanzisha uzi unisaidie kujibu.
 
Labda nikuulize "ilani inayotekelezwa ni ya Rais au ya chama kilichi0unda serikali"? Ilani anayotumia rais wenu wa sasa ni ile ile aliyotumia rais wenu jpm? Naomba uliyeanzisha uzi unisaidie kujibu.
Yote kwa pamoja,

ahadi za mgombea +ahadi za chama

Ilani ni hii hii tangu enzi za JPM,
 
Hongera
 
MAMLAKA YOTE HAYO ANAYATOA WAPI?NI MAMLAKA YA WANANCHI LAKINI MAMLAKA HAYA YANATUMIWA VIBAYA NA WACHACHE WALIOPEWA MAMLAKA HAYO.NA NDIO HAO WANOLAZIMISHWA KUITWA WAHESHIMIWA
 
Chadema na upinzani upo mioyoni hata kikifa leo upinzani na kutopenda madudu ccm kuko mioyoni milele.....
 
Upupu mtupuu...
 
Hata USA utasikia,"the New Joe Biden Decree will put $10,000 every month in the hands of low income families"
Umeelewa vizuri hiyo sentensi? Au kiingereza kinakupiga chenga.
Huwezi kufananisha na kauli kwamba eti samia atoa fedha za ujenzi wa vyumba vya madarasa
 
Mtoa mada nshauri atafute alichoongea Jaji Mstaafu Warioba juzi Kwenye kipindi cha dk 45 ITV atajifunza kitu
 
Umeelewa vizuri hiyo sentensi? Au kiingereza kinakupiga chenga.
Huwezi kufananisha na kauli kwamba eti samia atoa fedha za ujenzi wa vyumba vya madarasa
Wewe unaleta hair splitting,lakini nimekuelewa.
Yes, indeed, wakati wa uongozi wa Kikwete walisema mara moja tu katika kipindi chake chote cha uongozi,"mamilioni ya Kikwete".
Lakini sasa,hata mwaka haujaisha tunasikia mara kumi,mara ishirini,mara thelathini,"mamilioni ya Samia",
Wakati mamilioni yalitolewa mara moja tu,wakati Lowassa anagombea urais kupitia Chadema.
 
pingapinga FC
Hatari sana hii kitu
 
Safi Sana Mama
 
Jamaa inawauma kweli, wanatamani kula wembe
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…