Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Huko CCM mumejaa mazuzu tupu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni serikali ndo imefanya, sasa michawa aswa ya humu jf na kule twitani ndo utayasikia mama samia hivi mala vile.
 
Tayari jibu unalo ...

Umeuliza alafu umejijibu ....

....anyway ww ni chawa promax
 
Huyu hajafanya lolote lenye kutumia rasirimali za nchi kwa manufaa ya wananchi kwahiyo kudai ametoa pesa sio sahihi ni bora isemwe serikali kuu imetoa kiasi hicho kwa kuzingatia mahitaji na uwezo uliopo wa mapato.

Kifupi kila kiwango cha pesa kinachotajwa kutolewa na rais hakifanyi shughuli iliyokusudiwa zaidi ya kuwanufaisha wachache na miradi kukwama au kutumia muda mrefu maana hakuna mfuatiliaji utekelezaji kwa vitendo.

Mfanohuko Mbeya, barabara ya mchepuo kukwepa mlima Mbalizi kwa ajuili ya magari makubwa ya mizigo imekwama kukamilika licha ya pesa kutolewa muda mrefu na hakuna mfuatiliaji.

Wamachinga katika eneo la Mwanjelwa na Kabwe wamefukuzwa na kuelekezwa kwenda kwenye uwanja wa ndege wa zamani karibu na Mafiati eneo ambalo ni chafu wa vinyesi, vichaka na hakuna miundo mbinu kuwawezesha kufanya biashara na wateja wakawafuata kwa hiari.

Boboda nao wamekumbwa na zoezi hilo lisilozingatia haki ya ya kila raia kujitafutia kipato cha kila siku.

Barabara za jiji la Mbeya ni mbovu utafikiri uko kwenye kijiji wakati serikali ipo na huku wakijua kwa muda mrefu miundo mbinu yake haijarekebishwa miaka nenda rudi ndio upinzani wa chini kwa chini na bayana ni mkubwa mno.

Hebu taizama miundo mbinu iliyoko huko Njombe, Makambako na Iringa wakati ziko kanda ya nyanda za juu kusini na ni tegemeo kwa uchumi wa nchi.
 
Akili za kuambiwa changanya nazako,Kati ya rais na serikali ya wananchi Nani ana hela?
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Maneno ya Rais kafanya badala ya Serikali yalikuwepo Awamu ya Kwanza, tano na sasa ya sita
 
Nzuri sana hii
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Serikali imefanya. Rais anafanya toka wapi nyumbani au. Tuacha hulka potofuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…