Ukweli tuuweke hapa kuhusu Kassim Mganga!

Mimi nilijua nimepata mupenzi hodari mwenye tamu kuzidi asali anayejua kupenda na kusitiri mamii

Kuongeza mwingine sidhani japo naruhusiwa na dini
Mazoea matamu usije niacha honey ....

Muache bana yule mpare sijui sogea hapa Lushoto
Haha na wewe una undugu na Kassim?
 
Huu kwangu ndio wimbo bora kabisa kutoka kwa Cassim Mganga.
Jamaa anajua kuimba jamani tuache utani.
 
Kichwa kinaniuma kwa ajili ya Mawazo,Na wewe ndo Dawa yanguu
Tazama mwili wangu unavyodhoofika, na wewe ndo chakula changuu .......
 
Huu wimbo umenipa funzo kubwa sana maishani.
[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Haha
Haiwezekani niakuache wewe
Unayenipendeza niende kwa mwingine

Kidogo chetu mimi na wewe
Kikubwa cha barabuuu
Mali zao zisifanye upagawe
Kuniweka roho juu .....

Sikiza sweet nikuelezeee yamoyoni nikutoe wasiwasiiii
Sikiliza kipenzi mwenye sura ya upoleee nibembelezee ili nisiwe na wasi
sikiliza kisuraa mwenye sifa ya upolee mwenye mapenzi hi hiii ya kweli kwangu
Kama shida mamy bas vumilia shida wewe
Kama njaa wote tutashinda mamaa
 
hebu ngoja kwanza,wewe sio nanihii wangu wa zamani ambae tulikua tunaupenda sana huu wimbo?smtm ulikua unatoa na machoz ukiusikiliza!!
 
Naomba kuweka ukweli wa fikra zangu za dhati mbele ya kadamnasi.....

Kizazi hiki cha sasa kimebakiwa na watunzi wa muziki mahiri wawili tuu.
1÷Q chilla
2÷kassim mganga.
Chilla ni zaidi ya wote maana huko versatile...anapita na kila style na pia ana msg nzito kwenye nyimbo zake.
Kaasim ni mtaalam wa tungo za mwambao na hasa zenye ujumbe wa mahabat...
Swali la kwann hawatoboi....mara nyingi hata vipanga darasani huwa hawatoboi kimaisha na wanaishia kuajiriwa na vilaza. Ila kutokutoboa kwao haiwafanyi kutakuwa mabingwa na mahiri katika idara zao....
Tuweke ushabiki pembeni nyie timu wcb na timu king kiba leteni tungo za wasanii wenu zenye kuweza kushindana na tungo za chilla au mganga.
 
Kwenye hiyo list Barnaba hayupo kweli?
 
Siwez kusahau wimbo wake unaitwa awena... Siwezz kukufuta machoz bali ntalia nawe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…