Sasa kipind kile ndo alikua kazaliwa, alikua na moto nae. Mtoto wake wa kwanza. Sasa ulitaka brand yake iendelee na moto ule ule wakat katoto hakajui hata kuongea vzur?. Hata Asahd wa Dj Khaleed itafika wakat mtamwona wa kawaida tu. Hakunaga kiki za milele
Pambana na hali yako mkuuUsipo muandika mond basi utaiandika WCB usipoiandika wcb basi ataandikwa mmoja kati ya wasanii waliochini ya mondi.
Au itakuwa kuhusu zari au itakuwa kuhusu muziki wake.au itakuwa kuhusu karanga zake,ki ukweli DIAMOND Atabaki miaka 10 na zaidi.
Sasa kama hana maana yoyote kwanini kakuganda kichwani mpaka unashindwa kuuza kitimoto huko Kimara unakuja kumjadili hapa ?Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo
Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile
Kweli watu hawapendi ujinga!!!!
Hahahahahah dah! 🙂Sasa kama hana maana yoyote kwanini kakuganda kichwani mpaka unashindwa kuuza kitimoto huko Kimara unakuja kumjadili hapa ?
Malizia pia,na bwana yooo kiba kapotea sasaaa kwa hyo team imebaki moja,team nyumbu ya kiba imepotezana sa hivi wamegawana mbao na nataka the ptince