Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

Ukweli: Umaarufu wa Mtoto wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!
 
Sasa kipind kile ndo alikua kazaliwa, alikua na moto nae. Mtoto wake wa kwanza. Sasa ulitaka brand yake iendelee na moto ule ule wakat katoto hakajui hata kuongea vzur?. Hata Asahd wa Dj Khaleed itafika wakat mtamwona wa kawaida tu. Hakunaga kiki za milele
 
true!
 
Ndo hivyo ila nacho mkubari baba Tiffa huwa anafanya vitu kwa wakati muhafaka,huyo mtoto kamwingizia sana mpunga jamaa na huyu kijacho wa Hamisa kama kweli ni wake atamwingizia tena mtonyo.

-Ndumilakuwili-
 
Usipo muandika mond basi utaiandika WCB usipoiandika wcb basi ataandikwa mmoja kati ya wasanii waliochini ya mondi.
Au itakuwa kuhusu zari au itakuwa kuhusu muziki wake.au itakuwa kuhusu karanga zake,ki ukweli DIAMOND Atabaki miaka 10 na zaidi.
 
Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!
Sasa kama hana maana yoyote kwanini kakuganda kichwani mpaka unashindwa kuuza kitimoto huko Kimara unakuja kumjadili hapa ?
 
Cute baby
20589686_2041764699387250_7530024757421408256_n.jpg
20634627_1419047461463986_3761974245547048960_n.jpg
20589684_252718328570464_2111306644544552960_n.jpg
 
Back
Top Bottom