Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

Hilo bwawa linaendeleaji jamani nyie watu mnaoishi huko rufiji?
 
Pumbafu kabisa, njoo ulambe ujings wako hapa, Magufuli was right
 
Mna akiri mriopinga huu mlad?
Makamba, fatuma karume asiyejua hata mto huko visiwani zanzibar, Maria sarungi na tundu lisu walipinga sana huu mradi. tusubiri kuona wanavyofurahia umeme wake sasa. walijiunga na wazungu ati mradi unaharibu mazingira, unaharibu mazalia ya samaki kamba na unaharibu mbuga ya selous, nilishangaa sana.
 
Pumbafu kabisa, njoo ulambe ujings wako hapa, Magufuli was right
Mimi siyo Luqman Maloto mkuu. Lakini pia hoja yake ijibiwe kwa mvua hizi zisizotabirika je umeme wa maji ni suluhisho la kudumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…