Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Hizi ni baadhi za facts kuonyesha kuwa sisi mashabiki wa Simba El de colo ni mbumbumbu;
1. Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha.
2. Kuendelea kuwaamini wazee kwenye kikosi.
3. Usajili mbovu - timu ilijisifu kupata uwekezaji mkubwa wa 26b + 80billion za mudi lakini cha ajabu wameshindwa Kuvunja Mkataba wa Manzoki mwenye thamani ndogo ya 300million.
4. Ushirikina - Makolo kwa ushirikina mna degree kabisa japo hauwasaidii.
Ogezea facts zako.