Ukweli unaoonesha Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu

Ukweli unaoonesha Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu

Si mlisema Simba atashika mkia katika kundi lake?
Hii story ya Kuvuka Robo Fainali imetoka wapi?

By the way, Hivyo vigezo ulivyotumia si vigezo sahihi kupima U-mbumbumbu wa mtu yeyote.

Na mashaka sana na uwezo wa akili yako.

N.B. Being Soccer's Fan is more emotional investment than intellect/logic.
Mwanzoni msemaji wenu akisema mnaenda kuchukua kombe


Juzi kasema at least tufike robo fainali
 
HAPA NDIPO UNAPODHIRIKA UKWELI KUWA NYINYI NI MBWA "ASSUME VIPERS ASINGEKUWEPO"

LUC EYMAEL APEWE PHD YA HESHIMA.
Bora mngepata point hata Moja Kwa timu nyingne .....point zote Kwa kibonde
 
Mwanzoni msemaji wenu akisema mnaenda kuchukua kombe
Juzi kasema at least tufike robo fainali
Mkuu tupe ratiba ya mikutano ya CHADEMA walau ubadilishe upepo, soka litakutoa uhai au kudhoofisha ustawi wa familia yako (kama ipo lakini)
 
Mkuu unajishushia heshima kumuunga mkono mtu huyu ambaye huwa hana msimamo, yaani kwa ufupi huwa anafuata upepo unakovuma. Mtu makini huwa anasimamia hoja zake, na hata kama zitafeli, atakubali kuwajibika kwa kile alichoongea. Kabla mechi za makundi hazijaanza, huyu jamaa alisema hivi:
[emoji23][emoji23]
 
Attention!!!!!!!!!!!

Neno: neno mbumbumbu sio matusi ......Bali ni kielezi Cha namna/ ulivyo ( Kwa wale mliokimbia SoMo la lugha)

Nimeona nitoe SoMo mapema
 
VIPERS unayoidharaui hii hii iliyokukojoza ukiwa kwenye siku yako na mbele mashabiki wako au kuna nyingine?
Vipers ya zamani ikiwa na kina bobosi.....manzoki ......

Vper mliyemfunga ni toothless....Hana washambuliaji
 
Hakuna kitu kinaweza kukupa facts kama namba maana hazidanganyi wala hazitegemei hisia binafsi.

1678372614233.png
 
Back
Top Bottom