Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Sasa isingekuepo??ingeenda wapi???we jamaa ni kielelezo tosha cha utopolo yaani hoja zako ni nyepesi sana,kweli wote tungesoma nani angeshabikia yanga ule msemo ni sahihi.Mkuu assume vipers asingekuwepo....mngekuwa na points ngap??
Haya na wewe kama bamako asingekuepo ungekuwa na alama ngapi?(hilo swali ni la kitoto sana mkuu)