Na wanatukana kweli kweliWakija mashabiki wowote wale wa hiyo timu kukutukana kwenye huu uzi wako; basi utambue fika hao ndiyo wale walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wao wa zamani.
Maana hata siku ile ya mkutano wao, walikuwa wanapiga tu makelele na kutukana.
Alinifurahisha pale aliposema badala ya kushangalia Yanalia kama ngedere!Haya nenda kalambane vinyeo na UMBWA WENZIO.
Yani anaeshiriki kombe la WALIOSHINDWA anamkosoa aliyepo LIGI YA MABINGWA.
LUC EYMAEL APEWE ULINZI HAKIKA HAYA NI MAUMBWA ASILIMIA 100.
Mbumbumbu hawataishaHaya nenda kalambane vinyeo na UMBWA WENZIO.
Yani anaeshiriki kombe la WALIOSHINDWA anamkosoa aliyepo LIGI YA MABINGWA.
LUC EYMAEL APEWE ULINZI HAKIKA HAYA NI MAUMBWA ASILIMIA 100.
The end justifies the means.Hakika mkuu.....jitahidini mtoboe robo fainali
Kwa hiyo ulitaka tupate point kwa Bamako ambeye yupo kwenye kombe la LOOSER .Mbumbumbu hawataisha
Sasa point mlizopata Kwa vipers....mnajiona na nyie mabingwa[emoji23]
Si mlisema Simba atashika mkia katika kundi lake?Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha
HAPA NDIPO UNAPODHIRIKA UKWELI KUWA NYINYI NI MBWA "ASSUME VIPERS ASINGEKUWEPO"Mkuu assume vipers asingekuwepo....mngekuwa na points ngap??
[emoji848]Itakua ww ni mwananchi by origin...
Mkuu unajishushia heshima kumuunga mkono mtu huyu ambaye huwa hana msimamo, yaani kwa ufupi huwa anafuata upepo unakovuma.Wakija mashabiki wowote wale wa hiyo timu kukutukana kwenye huu uzi wako; basi utambue fika hao ndiyo wale walioitwa mbumbumbu na Mwenyekiti wao wa zamani...
Simba mkishindwa kutoboa hapo .......mtakua mmezngua sana makundi magumu ni hayo yaliyobaki ....
Hili lenu ni .... kamseleleko
Na ndiyo maana nilitoa tahadhari mapema. Watakaoumiza kichwa kumjibu kwa matusi, ndiyo watajikuta kwenye hilo kundi la madhabiki mbumbumbu.Mkuu unajishushia heshima kumuunga mkono mtu huyu ambaye huwa hana msimamo, yaani kwa ufupi huwa anafuata upepo unakovuma. Mtu makini huwa anasimamia hoja zake, na hata kama zitafeli, atakubali kuwajibika kwa kile alichoongea. Kabla mechi za makundi hazijaanza, huyu jamaa alisema hivi: