Mwanzoni msemaji wenu akisema mnaenda kuchukua kombeSi mlisema Simba atashika mkia katika kundi lake?
Hii story ya Kuvuka Robo Fainali imetoka wapi?
By the way, Hivyo vigezo ulivyotumia si vigezo sahihi kupima U-mbumbumbu wa mtu yeyote.
Na mashaka sana na uwezo wa akili yako.
N.B. Being Soccer's Fan is more emotional investment than intellect/logic.
Mkuu tupe ratiba ya mikutano ya CHADEMA walau ubadilishe upepo, soka litakutoa uhai au kudhoofisha ustawi wa familia yako (kama ipo lakini)Mwanzoni msemaji wenu akisema mnaenda kuchukua kombe
Juzi kasema at least tufike robo fainali
[emoji23][emoji23]Mkuu unajishushia heshima kumuunga mkono mtu huyu ambaye huwa hana msimamo, yaani kwa ufupi huwa anafuata upepo unakovuma. Mtu makini huwa anasimamia hoja zake, na hata kama zitafeli, atakubali kuwajibika kwa kile alichoongea. Kabla mechi za makundi hazijaanza, huyu jamaa alisema hivi:
VIPERS unayoidharaui hii hii iliyokukojoza ukiwa kwenye siku yako na mbele mashabiki wako au kuna nyingine?Mkuu tuwe wa kweli mpira wa bamako unaufananisha na vipers butua butua-??
HONGERA KWA KUKUBALI KUGONGWA BAO MBILI NA KIBONDE VIPERS.Bora mngepata point hata Moja Kwa timu nyingne .....point zote Kwa kibonde
KATIKA ZILE GOLI MBILI ULIZOGONGWA MANZOKI NA BOBOSI WALICHOMEKA NGAPI?Vipers ya zamani ikiwa na kina bobosi.....manzoki ......
Vper mliyemfunga ni toothless....Hana washambuliaji
Vipers hakukugonga mbili kwa mkapa?Mbumbumbu hawataisha
Sasa point mlizopata Kwa vipers....mnajiona na nyie mabingwa[emoji23]
Kaka kwani hatua ya makundi imeisha?Bora mngepata point hata Moja Kwa timu nyingne .....point zote Kwa kibonde
Lkn ndio waliopigania uhuruUtopolo ni mazamwamwa Tangu zamani
Ivo wanarithi Tangu kipnd Cha kudai uhuru
View attachment 2543787
Ata Simba walipigania kwann mkose akili kias ikoLkn ndio waliopigania uhuru